nahitaji Msaada wenu wanajamvi.

al abry

Senior Member
Feb 5, 2017
161
250
Mie nipo intrested na kufanya kazi katika oil and petroleum industry hasa katika nchi za kiarabu.nahitaji msaada wa contacts au maelekezo yoyote kuhusu any trusted workers agency aneweza kuniunganisha bila kanjanja kwa yeyote anaefaham.napokea ushauri pia

ahsanteni.
 

mjumbe wa bwana

JF-Expert Member
Sep 19, 2016
4,040
2,000
wasubirie ambao washavuka mipaka watakuja kukupa A up to Z jinsi ya kupata ajira huko nje ya nchi
 

king suleman

JF-Expert Member
Jun 28, 2014
1,681
2,000
we umesomea maswala hayo pia dini gan , kumbuka arabs hawatoi ajira kwa dini tofaut na yao pia wabaguz kupita maelezo,
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom