Rais Mstaafu Benjamin Mkapa ameshauri marais nchi za Afrika kuzingatia mambo yaliyofanywa na watangulizi wao, kama kila awamu itaanza upya au wakati mwingine kurudisha nyuma kabisa, kupata maendeleo itakuwa changamoto sana
Kila zama na kitabu chake sawa lakini haimanishi kitabu kilichotangulia hakina maana.
MY TAKE;
Kuachana na Kilimo kwanza tukaenda kwenye awamu ya Viwanda nadhani hapo tulikosea. Ndo maana hadi sasa hatuoni viwanda vilivyojengwa. Kuna Factories tu, just processing.
Kutokana na kwamba asilimia kubwa ya watanzania wanategemea kilimo, tungewawezesha nyenzo walime then tuwatafutie masoko ya nje, tufungue mipaka watu wauze mazao.
Viwanda ni Technolojia, tununue technolojia kwa kuwasomesha Watanzania kwanza. Huwezi anzisha kiwanda kwa kutegemea mzungu ufanikiwe.
Chuma cha Liganga tumeshindwa kuvuna, tutaweza kiwanda kweli?
Kikwete aliona mbali kuendeleza MKUKUTA na MKURABITA. Ni aibu kufufua viwanda vya Nyerere vilivyopitwa na Teknolojia. Majengo tuyabadilishie matumizi.
Tukae pembeni tuangalia huu mchezo unaochezwa kama utafanikiwa, tusijeambiwa tunamyumbisha mkuu au tunataka kumkwamisha.
Rais Mstaafu, Benjamin Mkapa akizungumzia umuhimu wa serikali mpya katika nchi za Afrika kuendeleza yaliyokuwa yakifanywa na serikali iliyokuwa madarakani.
Utakua una MYOPIA weweKuachana na Kilimo kwanza tukaenda kwenye awamu ya Viwanda nadhani hapo tulikosea. Ndo maana hadi sasa hatuoni viwanda vilivyojengwa. Kuna Factories tu, just
Watu walipiga sana pesa za ruzuku ya mboleawalionufaika na ile program ni wapiga dili wachache..hakuna mkulima aliyenufaika...ushahidi upo wa kutosha..ulikuwa ni mradi wa wachache kupeana shavu..
Watoto hawajui..enzi za jk ilikuwa ni kupiga tu..walipata raha sana..only 10% ndio ilienda kwa wakulima kama ushahidi..Watu walipiga sana pesa za ruzuku ya mbolea
Mkulima anasainishwa mbolea mifuko kumi anapata miwili
Alishawajibu kwakutolea mfano wa nchi ya marekani,alisema"Obama hamwingilii Trump,Bali anaachwa aongoze hadi amalize muda wake wa uongozi ndipo ataambiwa kama aliongoza vizuri au vibaya"Alipoitwa ikulu pamoja na wastaafu wengine kwann hakumwambia hili?? Hebu muacheni afanye aonavyo vema
Ndivyo tulivyo
Rais Mstaafu Benjamin Mkapa ameshauri marais nchi za Afrika kuzingatia mambo yaliyofanywa na watangulizi wao, kama kila awamu itaanza upya au wakati mwingine kurudisha nyuma kabisa, kupata maendeleo itakuwa changamoto sana
Kila zama na kitabu chake sawa lakini haimanishi kitabu kilichotangulia hakina maana.
MY TAKE;
Kuachana na Kilimo kwanza tukaenda kwenye awamu ya Viwanda nadhani hapo tulikosea. Ndo maana hadi sasa hatuoni viwanda vilivyojengwa. Kuna Factories tu, just processing.
Kutokana na kwamba asilimia kubwa ya watanzania wanategemea kilimo, tungewawezesha nyenzo walime then tuwatafutie masoko ya nje, tufungue mipaka watu wauze mazao.
Viwanda ni Technolojia, tununue technolojia kwa kuwasomesha Watanzania kwanza. Huwezi anzisha kiwanda kwa kutegemea mzungu ufanikiwe.
Chuma cha Liganga tumeshindwa kuvuna, tutaweza kiwanda kweli?
Kikwete aliona mbali kuendeleza MKUKUTA na MKURABITA. Ni aibu kufufua viwanda vya Nyerere vilivyopitwa na Teknolojia. Majengo tuyabadilishie matumizi.
Tukae pembeni tuangalia huu mchezo unaochezwa kama utafanikiwa, tusijeambiwa tunamyumbisha mkuu au tunataka kumkwamisha.
Rais Mstaafu, Benjamin Mkapa akizungumzia umuhimu wa serikali mpya katika nchi za Afrika kuendeleza yaliyokuwa yakifanywa na serikali iliyokuwa madarakani.
Vision 2025 ina vitu gani ndani yake? Ilishafutwa au bado tumo kwenye mpangilio huo? Je, viwanda vilikuwemo na vilipangwa muda gani?
Kwa hakika hakuna kiongozi yeyote anayeweza kufuata nyayo za kiongozi aliyeondoka katika mambo mbali mbali, kama kiutekelezaji na mtindo wa utekelezaji huo. Kinachotakiwa ni mwelekeo usibadilishwe sana bila ya kuwepo na sababu maalum.
Kwangu mimi kuna vitu ambavyo vilitakiwa kuwa kwenye mpango wa kudumu. Vitimizwe na serikali zote bila ya kuondolewa kwenye "Odhora Muhimu" ya Taifa. Elimu na Kilimo vilistahili na bado vinastahili kupewa umuhimu huo katika kila budget yetu ya kila mwaka.
Elimu na Kilimo vilistahili na bado vinastahili kupewa umuhimu huo katika kila budget yetu ya kila mwaka.
linafikiAlipoitwa ikulu pamoja na wastaafu wengine kwann hakumwambia hili?? Hebu muacheni afanye aonavyo vema
Ndivyo tulivyo
Hahahaha zero brainJPM anaendeleza mengi waliyaacha wengine..na nyie ni mashahidi ndio maana huwa mnabeza na kusema ni miradi ya kikwete anayozindua..
Kilimo kwanza kilijifia na kikwete labda mtoa post hajui tu..walionufaika na ile program ni wapiga dili wachache..hakuna mkulima aliyenufaika...ushahidi upo wa kutosha..ulikuwa ni mradi wa wachache kupeana shavu..
Leo hii JPM anasimamia kuanzia yaliyoasisiwa na nyerere(kuhamia dodoma,stieglers gorge, kulinda rasilimali za madini na ufufuzi wa viwanda), mkapa ( uendelezaji wa viwanda vilivyobinafsishwa na ufufuzi wa mashirika ya umma kama atcl na ttcl), yaliyoanzishwa na jk( kukamilika kwa miundo mbinu ya barabara, uwanja wa ndege, hospitali ya mloganzila, ujenzi wa bandari bagamoyo na kuunganisha miji yote tanzania kwa kiwango cha lami)..
Lakini hakuishia hapo..kwenye kilimo JPM ameondoa tozo nyingi zilizokuwa zinambana mkulima..leo hii korosho inauzwa kwa kilo tsh 4700 kutoka tsh 1500..wakulima wa mkonge wameanza kunufaika na kilimo hicho..bado mikakati ni mingi ya kuhakikisha kilimo kinaenda mbele..uzuiaji wa uvuvi haramu ambao ulikuwa unahatarisha uwepo wa samaki kwa siku zijazo..
Kwahiyo una mbishia Mwinyi mpekuziNijuavyo ilani ya CCM ni endelevu
Waulize wafanya biashara kama Businsss plan yao inaendana na biashara wanayo endesha.Mkuu, kwa Ilani tu, mbona CCM iko vizuri sana. Kwenye utekelezaji sasa...mh!
Kwa mifano michache. Katika Ilani ya CCM ya Uchaguzi Mkuu Mwaka 2015:
1. Uk 72-77: Ilani inazungumzia nishati na uzalishaji wa umeme, ikiainisha aina, namna na maeneo ya uzalishaji na ufuaji. Hakuna hata sehemu moja iliyozungumzia mradi wa Stiegler's Gorge.
2. Uk 100-52 (h) (i) (ii) Wasichana wote wa Elimumsingi wanaoacha shule kwa sababu ya kupata ujauzito wataendelea na masomo;
Laiti kama tungekuwa na uwezo wa kutekeleza tunayopanga kikamilifu..."enewei" niishie tu hapa wandugu.