Tanzania Human Rights Defenders Coalition(THRDC) wamtunuku Abdul Nondo zawadi kwa kupigania Haki za Binadamu

Kabla ya 'kutokwa' huyo kijana aliandika ujumbe kwenye facebook akidai maisha yake yako hatarini, ghafla Bavicha wakaanza kusambaza taarifa kuwa ametekwa! mara anaibukia Iringa baada ya abiria mwenzake kumuumbua. Leo tunaambiwa ASASI wakisaidiwa na EU imemtunuku zawadi ya kupigania haki. Hapo ukumbuke mwezi mmoja nyuma CHADEMA walifanyia mkutano wao kwenye ofisi za EU. Sasa jiulize, nani anateka Watanzania?
Huna hoja na unaweweseka
 
Ni


Haina uhusiano na kesi mkuu, hii amepewa kwa kazi alizofanya kwenye utetezi wa haki za binadamu, Indeed the young man deserve it. Anao ujasiri na uthubutu wa kutosha kabisa
..mhakama ikumuhukumu kuwa na hatia ya kuwa dubious (kujiteka kisha kusema uongo kuwa ametekwa (uchochezi), huo ujasiri wake utatafsiriwa vipi. Mtu anayepewa tuzo ya uteutezi wa haki za binadamu hatakiwi kuwa mtu dubious!
 
Safi sana!
Sio uhuni ule uliofanywa na serikali kuandaa mpenzi feki ambaye hajui hata mtaa mmoja iringa!
Walimvisha mabaibui na kumlisha Satet dinner Ikulu ndogo wakasahu kumlisha ramani ya iringa...mawakili wakapita nae kwa mwendokasi...kesi ikaisha.
 
..mhakama ikumuhukumu kuwa na hatia ya kuwa dubious (kujiteka kisha kusema uongo kuwa ametekwa (uchochezi), huo ujasiri wake utatafsiriwa vipi. Mtu anayepewa tuzo ya uteutezi wa haki za binadamu hatakiwi kuwa mtu dubious!
Mkuu waliompa tuzo wamempa kwa aliyokwisha yafanya na si kwa tukio lililopelekea kesi yake ya sasa. Akikutwa na hatia sheria itachukua mkondo wake lakini haifuti yote aliyofanya kabla ya hilo tukio. Unaweza pewa tuzo hata ukiwa gerezani kwa mazuri mengi uliyofanya kabla. Pia hakuna kesi hapo, wanampotezea muda na usumbufu kwa masomo yake tu.
 
Back
Top Bottom