Sex toys ni hatari kwa kizazi chetu Tanzania.

Mnaumia nini sasa wakati mnataka kuwa kama marekani? hiyo ndo kuiga iga ona sasa yanaanza kuwazidi shingoni, na bado.

Ukipenda boga jua na boga nalo linakuhitaji. Hayo ma vidonge mnayopewa, masindano na lesbianism kwako haya hayakuumizi kumbe ila sex toys!

Once in, no way out! pambaneni na hari zenu, mliambiwa "walilieni watoto wenu"
 
Habari zenu jamani, nimeumizwa sana na hii biashara ya sex toys yaani midoli ya kufanyia mapenzi, ni hatari kwa sababu itatengeneza kizazi cha watu wasiotoshelezwa na waume zao,
Nimewaza kama mtoto wa shule akianza kutumia sex toys mpaka atakapokuwa mkubwa na kuolewa atakuwa amekubuhu hivyo hawezi kutoshelezwa na mumewe ni lazima apate lile toy, na pia sehemu zake za uk...... Zitakuwa ni kubwa sana kulingana na toy analotumia.

Jambo hili limeanzia America na sasa limeingi Tz, naomba wanawake tuamke sio slama haya matoy, na hata wenye watoto wakike muwaelimishe kabla mambo hayaja haribika.

Jamani mi nimemaliza.
View attachment 827655
Naona 9 nchi hiyo mkuu.. wakati yangu ni 7 inche nipate aliyezoea hiyo kitu.. yaani nakuwa kibamia wa nchi mbili
 
aghhh hiyo mbona umechelewa mkuu" binafsi najua kuwa hiyo biashara ipo tz tangu 2011.. but mbona ukiachana na hayo ma dildo" wabongo huwa wanatumia Sana matango" na ukiangalia matango nimakubwa kimaumbile kuliko hata hayo madubwasha (sex toys)
 
Habari zenu jamani, nimeumizwa sana na hii biashara ya sex toys yaani midoli ya kufanyia mapenzi, ni hatari kwa sababu itatengeneza kizazi cha watu wasiotoshelezwa na waume zao,
Nimewaza kama mtoto wa shule akianza kutumia sex toys mpaka atakapokuwa mkubwa na kuolewa atakuwa amekubuhu hivyo hawezi kutoshelezwa na mumewe ni lazima apate lile toy, na pia sehemu zake za uk...... Zitakuwa ni kubwa sana kulingana na toy analotumia.

Jambo hili limeanzia America na sasa limeingi Tz, naomba wanawake tuamke sio slama haya matoy, na hata wenye watoto wakike muwaelimishe kabla mambo hayaja haribika.

Jamani mi nimemaliza.
View attachment 827655
hahaaaa mpaka anal plug na vibrator" wameninyoosha aisee
 
Mleta mada nae Popoma tu, ulikuwa na haja gani ya kuleta taarifa halafu ukaficha majina ya wahusika ikiwa una nia ya kuibua uhalifu?
 
Katika chovyachovya yangu kwa watoto kike nilichoona ma 'K' mengi yana sura mbaya basi jibu nshapata.
 
Mleta mada nae Popoma tu, ulikuwa na haja gani ya kuleta taarifa halafu ukaficha majina ya wahusika ikiwa una nia ya kuibua uhalifu?
Ndugu urejee instagram kwa waoongoza kupost mambo ya kimbea
 
Basi akili mbovu na kushauriana ujinga, hivi nikikuuliza "ile kitu" original inambadala kweli Hajar?
Haijawahi kuwa na mbadala Sesten sababu pale Uwanjani mkiwa wawili ndio mechi inachezwa ipasavyo.

Sasa mambo ya kulia na kujibembeleza mwenyewe. Duuuh. Hapana kwa kweli.
 
Haijawahi kuwa na mbadala Sesten sababu pale Uwanjani mkiwa wawili ndio mechi inachezwa ipasavyo.

Sasa mambo ya kulia na kujibembeleza mwenyewe. Duuuh. Hapana kwa kweli.
Ni kama kujitekenya mwenyewe hata ukicheka inakua unajifanyisha tu lakini sio kama umetekenyeka kiukweli
 
Hivi zinapatikana wapi hizo......inabidi nifaham zilipo ili nikaone vzuri ujinga wa watu wanaozitumia aisee.

Zinapatikana wapi??
 
Ungeacha wazi hilo jina la hilo duka ili serikali ijue inaanzia wapi maana hadi bidhaa inafika hapo wakulaum ni mamlaka husika inayoshughulika na mambo hayo
Sasa anaonya watumiaji alafu anaficha muuzaji...yale yale ya mvuvi wa samaki ambao hawastahili na muuzaji wa nyavu zisizoruhusiwa.....naona kama amepromote hapa badala ya kusaidia.
 
Back
Top Bottom