Kama ningejua shemeji yupo hivi nsingeruhusu Dada yangu aolewe naye. Nataka nivunje ndoa yao.

Hahahahaha. Dah mbona mi naona wapo sahihi tu, sema wewe apo ndiyo tatizo.

Kiufupi wana maisha yao na wewe tafuta ya kwako. Usitegemeee cha mtu atasiku moja,

Siku zote Mchumia Juani ulia kivulini. Sasa wewe chumia kivulini ulie juani
 
Pole sana mkuu jitahidi kutafuta kazi kwa bidii ili uondoke hapo kwa Shemeji yako, Dada yako akiachana na Mume wake utamtafutia Mume mwingine?
 
Naomba tuheshimiane. Nyie wengine hamjui machungu tunayopitia sisi wenye ukosefu wa ajira.nmekaa hapa si kwa sababu napenda. Ila napambana kutafuta kazi.mnadhani kuna mtu anapenda kukaa kwa dada yake? Acheni ufala nyie mnaoniponda na wakati hamnifahamu.kama chai au uji mi hainihusu.nyie mnaharibu JF watu tumekuwa tukija huku kutafuta solushoni na kuondo stresi.sasa mnataka kuharibu kwa kujifanya wajuaji.
 
Hii sio chai bali maji ya kunywa
Mtu mwenye umri huo hawezi kuandika hii takataka
Nakupongeza kwa kuipangilia vizuri stori yako..una kipaji cha kutunga na kuandika stori
Huu ni mwandiko wa 40+?
 
Naomba tuheshimiane. Nyie wengine hamjui machungu tunayopitia sisi wenye ukosefu wa ajira.nmekaa hapa si kwa sababu napenda. Ila napambana kutafuta kazi.mnadhani kuna mtu anapenda kukaa kwa dada yake? Acheni ufala nyie mnaoniponda na wakati hamnifahamu.kama chai au uji mi hainihusu.nyie mnaharibu JF watu tumekuwa tukija huku kutafuta solushoni na kuondo stresi.sasa mnataka kuharibu kwa kujifanya wajuaji.

Si unajua watu wakikosa kazi ya kufanya

Inaonesha mtoa mada ni mtunzi mzuri wa simulizi za kusadikika!!
Na wewe siku peleka dem wako muwe mnacheza kama wao watakuheshimu😂😂😂, japo story inaonyesha ya kutunga

Ha ha ha ha ha
Hii ni stori ya uongo kabisa aiseeee

Mtu wa miaka 42 hawezi kulalamiia mambo ya hivi kutoka kwa mume wa dada yake.
Hizi ni stori za watoto wa miaka 17.
 
Rudi kakae na familia yako shirikiana na mwenzio kukuza hiyo biashara mtatoka hapo ni kwa dada yako hutakiwi s uondoke
Sista wangenambia tu ningeondoka. Mimi kulima sijui kwa kweli.nmetoka mkoani lakini ilikuwa mjini siyo kijijini.hata shamba sina. Nyumba nlijenga ndo wanaishi wazazi.

Familia yangu inaishi na wazazi wangu home huko mkoani.wao nliwafungulia biashara.nipo mjini natafuta kazi.
 
Miaka 42 unalialia tu kuwa shemeji yako ana roho mbaya mkuu shemeji yako hakosei hiyo miaka sio ya kukaa kwa dada hata kama umepitia changamoto zipi

We mwanaume pambana toka kabebe hata zege
 
Umri wako unakuhukum..wangekuachia remote wewe ungejisahau tena na vile kua gate kali ungenogewa wacha wakukomeshe.rud kijijin bwana usiwe kubwa jinga
 
Back
Top Bottom