dudus
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 22,126
- 49,385
Misikiti 40 kuzunguka eneo ilipo Ikulu ya leo! Duh!Miskiti 40 ilikuwa mingi sana inamana asilimia kubwa ya maofisi ya kiserikali ni miskiti ya kale..
Misikiti 40 kuzunguka eneo ilipo Ikulu ya leo! Duh!Miskiti 40 ilikuwa mingi sana inamana asilimia kubwa ya maofisi ya kiserikali ni miskiti ya kale..
Huyu Ana agenda yake mwenyewe ila si mwanahistoriaAnadai palikuwa na msikiti ukavunjwa ili kupisha ujenzi wa kanisa wakati mapori yalikuwepo kibao enzi hizo! Ukakasi mtupu Mkuu! And by the way kwanini wvunje msikiti kwa ajili ya kanisa na sio jengo au majengo mengine?
Yote yalikuwa ni mipango ya wakoloni Ottoman wakileta dini ya Islam na European wakileta Christianity kama angekuja Mchina kabla yao leo tungekuwa Temple tunasali..Anadai palikuwa na msikiti ukavunjwa ili kupisha ujenzi wa kanisa wakati mapori yalikuwepo kibao enzi hizo! Ukakasi mtupu Mkuu! And by the way kwanini wvunje msikiti kwa ajili ya kanisa na sio jengo au majengo mengine?
Utajengaje kanisa porini wakati hakuna wasalaji.Anadai palikuwa na msikiti ukavunjwa ili kupisha ujenzi wa kanisa wakati mapori yalikuwepo kibao enzi hizo! Ukakasi mtupu Mkuu! And by the way kwanini wvunje msikiti kwa ajili ya kanisa na sio jengo au majengo mengine?
Nimeshangaa alipodai mwarabu kajenga ikulu ya magogonihistoria yako imejaa upotoshaji, siku zote misikiti au makanisa yanajengwa kwa kuangalia idadi ya waumini lakini unakuja na uongo wa kuwapo misiskiti 40 unataka kutuambia waumini walikuwa ni wangapi?
Ikulu, Ocean road na hata hayo makanisa yalijengwa na Wajerumani, majengo ya waarabu yanajulikana nenda Kilwa na Bagamoyo ukaone magofu yake
Utashangaa mengi khs mzizima maana sio kwenu ni sawa na mie nikubishie historia ya uko kwenu kisa tu nmeenda kufanya kazi au kukaa kwa shemeji yngu nifanye nijafanye mjuaji historia ya mkoa wenu.Nimeshangaa alipodai mwarabu kajenga ikulu ya magogoni
Mimi kwetu Kisangani zaireutashangaa mengi khs mzizima maana sio kwenu ni sawa na mie nikubishie historia ya uko kwenu kisa tu nmeenda kufanya kazi au kukaa kwa shemeji yngu nifanye nijafanye mjuaji historia ya mkoa wenu...
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe mimi ni mzaliwa wa Zairesasa mambo ya kisangani mie nilete ujuaji kaka kisa nmechukuliwa na shemeji kusoma kisangani ndio niwe mjuaji historia kisangani...
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbaya zaidi nimi nimekuja Tanzania hata hujazaliwa so kisa kuzaliwa Dar ndiyo utudanganyeNdio ukae kmy kwenye historia za miji ya watu maana una ukijuacho...
kuja Tanzania kitu kingine kujua historia ya mzizima kitu kingine tatizo lenu mnajua kila kitu nyie. sina neno juu ya ilo maana ni malezi na tamaduni zenu ushauri wngu naomba mpitia life style ya Jakaya Khalifan Mrisho Kikwete na Alhaj Ally Hassan Mwinyi hlf angalia na Baba wa taifa Julias Nyerere Mzee wetu kaka wa taifa Benjamin William Mkapa Na Ngoma ngumu Mh Dk John Pombe Magufuli labda unaweza kuelewa kidogo nina maanisha nn.Mbaya zaidi nimi nimekuja Tanzania hata hujazaliwa so kisa kuzaliwa Dar ndiyo utudanganye
Acha kudanganya watu usijifanye shuleni ulienda pekee yako kusoma sawa kijanakuja Tanzania kitu kingine kujua historia ya mzizima kitu kingine tatizo lenu mnajua kila kitu nyie. sina neno juu ya ilo maana ni malezi na tamaduni zenu ushauri wngu naomba mpitia life style ya Jakaya Khalifan Mrisho Kikwete na Alhaj Ally Hassan Mwinyi hlf angalia na Baba wa taifa Julias Nyerere Mzee wetu kaka wa taifa Benjamin William Mkapa Na Ngoma ngumu Mh Dk John Pombe Magufuli labda unaweza kuelewa kidogo nina maanisha nn..