Nani atatusaidia tunaomiliki ving'amuzi vya Azam

Half Genious

JF-Expert Member
Feb 28, 2017
491
784
Mimi ni mteja wa Azam tv baada ya kutokea seke seke la chanel za ndani had lilipoisha Azamtv chanel hazkurudi na kibaya zaid hakuna taarifa kwa sisi wateja kutoka azam wala mamlaka ya mawasiliano...wako wapi watu wanashughulika na ubora wa huduma kwa mlaji gharama za vifurushi bado zile zile tukicoment kwenye page zao wanafuta coment zetu..!.haki ya mtanzania kupata habari lakin sisi hatupati taarifa ya habari yoyote zaid ya TBC na hiyo taarifa habari ya TBC sisemi mengi inajulikana.Azam ndio kampun yenye dharau kuliko hata Tanesco kitendo cha kukaa kimya na kujifanya hawaelewi kinachoendelea na mamlaka zipo kimya nashindwa kuelewa anaogopwa nani au anakomolewa nani!

Naomben kujua kama kuna mtu mnaweza kumtag humu ambaye anaweza akanipa majibu au kutusadia au kufikisha kilio chetu azam wameziba masikio,mamlaka zimekaa kimya wananch tunaibiwa had tunaona bora tungebaki na analog yetu kuliko sasa tunalipia ili kuanggali sultan na ligi ya bongo..!.. Inauma sana
 
Back
Top Bottom