Search results

  1. ourzbakari

    Kwa waliokojoa kitandani tu!!

    Kwahiyo hiyo picha umeweka hapo ndicho kinachotumika kukojoa pekeake hamna kingine au uliamua tu kuzalilisha
  2. ourzbakari

    Nauza asali mbichi toka Tabora ya nyuki wadogo na nyuki wakubwa

    Sawa lakini matangazo hayajatimia number za simu hujaweka sasa tutakutafutaje wala hujasema unapatkana wapu
  3. ourzbakari

    Tengeneza jini la kulinda shamba lako au nyumba kwa kutumia kuku mwekundu

    Si ndio kambi ya wachawi hiyo unazani watapata wapi kwenye kitabu cha hisabati
  4. ourzbakari

    Rich Mavoko upo??Naamini unajutia ulichofanya!!

    Kiukweli nilijua tu kuwa anakoenda kutamuuwa kimuziki kwani alipokuwa pekee alikuwa akifanya vema sana lakini inaonekana hakuwa anajiamini
  5. ourzbakari

    Unconfirmed News: Navy Seals Tayari Wamefika Peninsula Ya Korea Jana Usiku

    Hata kama lakino bado mmarecani hana siraha za kumfumua corea kama wanazo wasingetia mashaka kumkataza mwenzao asitumie nyuklia na mwenzie amesema haachi hata siraha moja zote atatumia
  6. ourzbakari

    Unconfirmed News: Navy Seals Tayari Wamefika Peninsula Ya Korea Jana Usiku

    Kwanza uongo mtupu ulioongea hapa osama ustake kutudanganya kuwa hicho kikosi ndio kilienda na kummaliza unafki mtupu kwanini hawajaonyesha video yake wanatuonyesha mapicha tu hakuna mtt humu jf na kama hao america wako vema kivita kweli mwenzie si amempa go ahead kuwa wapo tayari kwa vita muda...
  7. ourzbakari

    Nani Comedian/Mchekeshaji mzuri duniani?

    Ni kweli kabisa nakuunga mkono
  8. ourzbakari

    Nani Comedian/Mchekeshaji mzuri duniani?

    Ameiga huyo staili za charle chaplin hana zake
  9. ourzbakari

    Nani Comedian/Mchekeshaji mzuri duniani?

    Nakuunga mkono hakuna kama huyo na bado hajatokea wala kukaribia
  10. ourzbakari

    Rais Magufuli kwa kutokwenda kuwaaga askari wetu waliouawa amenishangaza

    Kwenda zako nawe derigation ndio nini
  11. ourzbakari

    Kwanini Ali Kiba hataki bifu lake na Diamond liishe?

    Boya huyo hajui mziki mtu anaemsifia kila kila nyimbo anarudia melodi sasa mashabiki wake wanaakili kweli au wanajua mziki kweli
  12. ourzbakari

    Kwanini Ali Kiba hataki bifu lake na Diamond liishe?

    We umekurupuka usingizini au mbona kama macho yako hayaoni mbali
  13. ourzbakari

    Picha hii ina walakini kiprotokali

    Yule mama makamo wa raisi
  14. ourzbakari

    N/Korea: Tutaingia vitani muda wowote US ikichagua, hatutaacha silaha yetu yoyote bila kutumika

    Isipone vipi kwao si amesema hataki wkimbizi bwan trump na kwetu htutaki wasije si hatuna makosa na Mungu zaidi ya ngono tu
Back
Top Bottom