Kwanini Ali Kiba hataki bifu lake na Diamond liishe?

Bifu hilo ndo limemufikisha hapo alipo sasa , alikuwa ameshakuwa mvuta bangi mkubwa na mtafunaji mzuri tu wa mirungi
 
Unajielewa au umeamua kujitoa ufahamu ili nawe uonekane mchambuzi mahiri wa Kibakuli.
Labda umeeangalia vigezo vipi kwamba hizo nyimbo ni kali na zinakubalika kwa ulimwengu wa muziki duniani. Kwa taarifa yako sijui kama kiba ataenda kutoa video na Godfather, Jiulize kwanini jibu lipo kwa wimbo wake wa Mwana.Mi hakuna wimbo hata m1 ambao nimeukubali wa kiba even if mnasema ana sauti nzuri hivi,Wizkidayo ana sauti nzuri? Au bara afrika ye ndo mwenye sauti nzuri? Sijawahi sikia nchi za wenzetu msanii wa kiume kusifia sauti haya nayaona bongo tu.
We umekurupuka usingizini au mbona kama macho yako hayaoni mbali
 
Ebu ficha utahira wako weka nyimbo za diamond za kufananishwa na hizo,alafu nyimbo hizo ndo zilimfanya alikiba ashiriki (one8project).Acha kujitoa ufahamu kuna siku alikiba alisema anaringia sauti nzuri kila mtu anajivunia kitu ambacho Mungu amemjalia.From no where tu unasema alikiba anategemea mgongo wa diamond alikiba ana kipaji ukitaka kujua huyu kuimbe ni fundi sikiliza hata nyimbo alizoshirikishwa
Boya huyo hajui mziki mtu anaemsifia kila kila nyimbo anarudia melodi sasa mashabiki wake wanaakili kweli au wanajua mziki kweli
 
Mwacheni kiba wetu kwanza ye ndo msanii mwenye mafanikio kuliko wote Afrika.Sauti yake hata Celine Deone hamwezi
Na kudance pia anaweza, yan mambo aliyofanya kwenye 'aje rmx' c ya nchi hii, ile video haichoshi kuiangalia, ni mtazamo wangu tu.
 
Ujue kuna vitu watu hamjui kila anachopost kiba mnamhusianisha na nasib ila ukwel ni kwamba hayo maneno yko kweny wimbo wake mpya,new song alert hyo


Kebe kebe,all the way
 
Ali kiba BG UP sana diamond choko t kwanza voice hana hat mvut wa usanii han as sjui anajion star kwa kip au kwa sabab F M A ndoo inamtangaz
 
Back
Top Bottom