Rich Mavoko upo??Naamini unajutia ulichofanya!!

Kiukweli nilijua tu kuwa anakoenda kutamuuwa kimuziki kwani alipokuwa pekee alikuwa akifanya vema sana lakini inaonekana hakuwa anajiamini
 
Pesaa kitu kibaya sanaaa na kabla ya kufanya uwamuzi wa kwenda WCB ulifanya vizuri sanaa ukiwa mwenyewe nyimbo nyingi sanaaa ulikuwa unafanya mwenyewe na kuziachia ila sasa hivi toka uingia WCB hamna nyimbo ya maana hata moja umeachia ukasikika

Sasa hivi umepotea na hatukusikii kabisaaa

Je swali linakuja huko WCB unafanya nyimbo nzuri kama hizi ambazo uliwahi kufanya ukiwa mwenyewe....nilikuwa napenda sanaa mziki wako na ulikuwa unajiamini sanaaa na unatoa video nzuri kama Jux ila huko umepotea kabisaaaa....

N.B wakuu hii mada siongelei maslahi ya mtu binafsi wala sijaongelea nini amepata au nini amefata WCB hii mada naongelea mziki wake yeye kama yeye kwa jinsi alivyokuwa anaimba so naombeni kama mnataka ku discuss WCB anapata kiasi gani hiyo ni mada nyingine inabidi ifunguliwe tuongee hayo....tuwe wepesi kuelewa mtu akiandika na sio kukurupuka tu....

Rich mavoko yupo vizuri ila katika nyimbo ambazo mimi naa mini ni nyimbo bora kabisa...ni PACHA WANGU kipindi hicho kwa kweli jama walimnyima tuzo za KTMA
 
Kiukweli nilijua tu kuwa anakoenda kutamuuwa kimuziki kwani alipokuwa pekee alikuwa akifanya vema sana lakini inaonekana hakuwa anajiamini
Alikuwa anafanya vema? Ungejua kiasi anachoingiza kwa sasa wala usingeropoka
 
N.B wakuu hii mada siongelei maslahi ya mtu binafsi wala sijaongelea nini amepata au nini amefata WCB hii mada naongelea mziki wake yeye kama yeye kwa jinsi alivyokuwa anaimba so naombeni kama mnataka ku discuss WCB anapata kiasi gani hiyo ni mada nyingine inabidi ifunguliwe tuongee hayo....tuwe wepesi kuelewa mtu akiandika na sio kukurupuka tu....
"Kama haiingizi pesa haileti maana" fid Q alisema
Rich mavoko hafanyi kazi ya kujitolea hewezi zungumzia ubora alafu unataka kutenganisha na kipato anaingiza itakuwa ni ujinga au ubashite
 
Huu ndio ukweli Mavoko alivyoamia WCB alimrahisishia Diamond sana katika masuala ya upinzani,Mavoco anajua kuandika,na ana sauti poa sana na moja ya wanamziki walikuaga wanamnyima usingizi Diamond ni Rich Mavoko
hivi kwanini watu mnakua na roho mbaya za namna hii????ww platnumz zaidi ya kumuona kwa tv unajua nn kingine zaidi juu yake...tatizo unajiweka nafasi ya diamond ndio maana unakua na mtazamo huo eti mavoko anatishia mziki wa diamond....watu kama nyie ndo mnazionea wivu mpaka nafsi zenu....kwa sasaivi mziki sio wa kuoneana wivu hata kidogo ndugu....tuwaze mema na sio mabaya
 
Msomeni mdau hapa alicho comment hili swala ndio tunaongelea humu ndani.....tunaongelea muziki hatuongelei maisha ya mtu binafsi....

Hayo mengine humu sio nafasi yake....
Papizo
Madhumuni ya msanii Au biashara yeyote ni Mafanikio kiuchumi.Sasa Wewe Na wadao wengi mnataka awe kama zamani.Basi Ingekuwa vizuri ajiunge na kwaya ili atunge nyimbo awaimbie nyinyi Halafu mkae vijiweni mumsifie."Ukitaka usifanikiwe ktk maisha wafurahishe watu wote" Wahenga walisema
 
hivi kwanini watu mnakua na roho mbaya za namna hii????ww platnumz zaidi ya kumuona kwa tv unajua nn kingine zaidi juu yake...tatizo unajiweka nafasi ya diamond ndio maana unakua na mtazamo huo eti mavoko anatishia mziki wa diamond....watu kama nyie ndo mnazionea wivu mpaka nafsi zenu....kwa sasaivi mziki sio wa kuoneana wivu hata kidogo ndugu....tuwaze mema na sio mabaya
mi natoa mchango kulingana na hali halisi nyie wafia timu ndio kitu kinachowafanya msiseme hata kwenye ukweli,hivi katika waandishi Diamond anaandika? Sema ndio hivo mambo ya riziki tuu ila Mavoco anauandishi kuliko hata platinumz,mi siongei ki timu sina timu yoyote mkuu naongea nnachokijua
 
Mbwa wewe, mimi ni jirani wa mavoko hapa tabata, Mara nyingi anaendesha gari ya rayvanny ,sasa hilo gari kanunua wapi? Acha ushabiki wa kwenye mitandao mbwa w
Warumi mdogo wangu punguza ukali wa maneno unawakwaza mods wanaweza kukupiga life ban ,mueleweshe taratibu tu ataelewa.
 
Unafiki wa Wabongo... Rich mlishaanza mpotezea... WCB wakaona thamani yake...wakamchukua.

Leo mnaanza jamba hapa.
Rich kabla hajaja WCB alikuwa ameshaanza kupotea kwenye muziki ila kitendo cha kwenda WCB amerudi kwa kasi na hata idadi ya show na thamani yake imepanda sana tofauti na hapo awali kabla hajajiunga WCB.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom