Nani Comedian/Mchekeshaji mzuri duniani?

Kwa mimi naona Mr. Bean ndo bora zaidi, ukitazama movie zake kibao alizoigiza lazima uvunjike mbavu kwa zile mbwembwe zake za vichekesho....

Wengine sijui mnasemaje katika hili?

Mpaka leo bado sijaona wa kumlinganisha na Charlie Chaplin na hata ukimuangalia vizuri na kwa umakini mno Mr. Bean utaagundua kuwa anapita mule mule alikopita Legend mwenyewe wa ' uchekeshaji ' duniani Charlie Chaplin.
 
1. Richard Pryor
2. Dave Chappele
3. Eddie Murphy
4. Chris Rock
5. Kevin Hart
6. Martin Lawrence
7. Jim Carrey
8. Bernie Mac
9. Adam Sandler
10. Bill Cosby

Hii ndio top 10 yangu ya wachekeshaji
 
Back
Top Bottom