Unconfirmed News: Navy Seals Tayari Wamefika Peninsula Ya Korea Jana Usiku

sa ushawah kuona vita gani ambayo ground troops wanaingia then airforce ndo inafuata? halafu si kwamba ukiona ndege basi ni airforce, US navy wana ndege zao aina nying tu wana hadi f-35 za kwao,
Mimi Ninachojua hao jamaa ni kwa collection ya intelligence katika impossible areas. Pili wanafanya combat kama kikosi kidogo chenye watu wanne hadi ishirini kulingana na ukubwa wa mission.
Nilitegemea watumwe kufanya vitu kama walivyovifanya kwa Osama au juzi juzi usiku walichokifanya Yemen au somalia juzi Kati. Hayo kwa Korea sidhani wanaweza kujaribu.
 
Hao Navy Seal walishawahi kushinda Vita ipi?, kwani vita ya 50's hapo Korea hawakuwepo? Kwani kule Vietnam hawakuwepo? Ile Somali unaikumbuka nenda katafute movie inaitwa "one hawk down"

Mareakani mzuri kwenye vita ya Juu Airborn, lakini ikija suala la Infantry huwa anakuwa hoi na huwa ana jipya, anakutana na watu wanatumia AK47 tu na wanasumbuka

Vita ya kwanza ya Sadam na Senior Bush mbona Wamarekani na Mabibi zake walichemsha na kukimbia, mpaka alivyojipanga na kuingia wakati Sadam keshachoka

Vita ya Korea sio ndogo kama ikitokea
hio ni special force mkuu cjaelewa unaposema wameshnda vita ipi..........vita ni objective mkuu,marekan nahao bibi zake walienda kupigana na saddam ili kumtoa kuwait so walipomtoa huko hakukua na haja ya vita kuendeles, objective ya vita ya korea ilikuwa ni kuinusuru na north korea iliokuwa imevamia so walipoi drive north korea out hakukuwa na haja ya kuendelea na vita.....vietnam huko us alishndwa maana malengo hayakutikmia
 
Yaani kunaushabiki wakipumbavu katika dunia hii..hasa Africa
Baada ukae chini uombee amani ya dunia..ww ndio unashabikia eti marekani sijui korea..
Ombeeni amaninya dunia na sio ushabiki wakipuuzi kama huo
Aliyekuambia maombi yanafanya kazi ni nani??
 
Kwanza uongo mtupu ulioongea hapa osama ustake kutudanganya kuwa hicho kikosi ndio kilienda na kummaliza unafki mtupu kwanini hawajaonyesha video yake wanatuonyesha mapicha tu hakuna mtt humu jf na kama hao america wako vema kivita kweli mwenzie si amempa go ahead kuwa wapo tayari kwa vita muda wowote mmarekani atakapo sema na wametamka hawatoacha aina yeyote ya silaha mbona haanzish kama yuko vema hamna kitu mule
Kaka sio nakudanganya. Tunapoleta uzi wa kujadili huku sio kwamba naandika kutoka akilini. Tunaziyoa katika tovuti mbalimbali ma machapisho hata Wikipedia then tunakuja kushare na ndugu zetu hapa. Sasa kama kudanganya wadanganye wao na sio sisi. Sisi tunahabarishana habari tu then tunajadili kwa pamoja dhana hizo. Usimlaumu mwandishi hata siku moja kuwa anakudanganya. Mwandishi analeta mjumuisho wa machaposho then wadau wanaangalia ukweli na uongo
 
Daaaaah!!!!!!
Yani we mtanzania ujue hiyo special force(navy seal) jinsi ilivyotoka usa hadi korea kaskazini na ujue sehemu walipo lakini special force za kolea kaskazini zisijue))))) daahhh! Hii nchi bwana)))))
Pia eti watoke na nyambizi kutoka usa hadi hapo alafu wafike sawa na makamu wa raisi? Iyo nyambizi inamwendokasi gani na ni aina gani mana inaweza kukimbizana na ndege,daaah hii nchi bwana.
Alafu unazungumzia habari za osama kukamatwa wakati hujawai ona alivyokamatwa au hata mwili akiwa marehemu,hivi hizi akili mnazitoa wapi))))))
Alafu toka lini navy seal ndo ikawa special force bora zaidi duniani?
Mambo ambayo huyajui ni bora kukaa kimya.
Mbona leo unasherehekea pasaka? Ulikuwa unamjua Yesu? Umeshawahi kuona mtu akipaa juu? (2) we umejuaje kuna nchi inaitwa korea kaskazini wakati hujawahi kuifika? Try to conceal your honorary badge of stupidity for future use!! You will probably need it some other day!
 
Kikosi cha makomandoo wa kimarekani ambacho kinasemekena ndio "The Most Feared Force" katika ulimwengu huu cha US NAVY SEAL inasemekana tayari kiko katika Peninsula ya Korea tangu Jana usiku kikitokea jimbo la Florida nchini Marekani. Hiki ni kikosi hatari zaidi duniani ambacho kazi yake ni kufanya operations ambazo ni hatari zaidi mno na za mwisho. Ni Mara chache/nadra sana kutumika. Mara ya mwisho kilitumika usiku wa manane kwa dakribani dakika 45 tu kumuangamiza Osama na ni askari mmoja tu alijeruhiwa kwa ajali ya helkopta zisizotoa sauti ambayo ilikosewa ikagonga ukuta wakati makomandoo wakidrop kwenye makazi ya Osama. Kikosi hiki hutumika baada ya makomandoo wengine wa majeshi tofauti ya marekani kusoma Jiografia ya sehem husika, ramani ya ngome za adui na silaha zake then Raisi wa Marekani hutoa ruhusa ya NAVY SEAL kutumika kumalizia Operation. Makamu wa Rais wa Marekani bwana Pence yuko Korea kusini na inasadikika ujio wake uliambatana na NAVY SEAL waliojichimbia katika Nyambizi zisizoonekana katika pwani ya Korea..

SOURCE: Maoni katika FOX News, Viewers Questions

MAONI YANGU: Marekani ana silaha nzito kuliko yeyote katika ulimwengu huu, huwez kufanya parade la kuonyesha silaha kama North Korea akohofia kuchukiwa zaidi na Jumuiya za Kimataifa. Defense Systems ziko mabara yote. Hata bajeti ya jeshi tu ni Dola Billion 600 ukilinganisha Dola Billion 7 za Korea kwa mwaka. Marekani hajawah kufanya jaribio la silaha likafeli. Mmeshuhudia MOAB pale Afghanistan, walioshuhudia walisema walichokiona na kukisia walidhan dunia na mbingu vineshagusana tayari. Kim akijaribu atapotea kabisa
Mkaaachaga unafiki,kikosi kikosi washambulie tuone hatutaki stori za kwenye kahawa hapa eti,huyu yupo hivi na yule hivi
 
Ujanja wa US ni kutumia anga. Wakipeleka hao wanaowaita wataalamu sijui makomando Navy seal watajuta.
Niwaonavyo n/Korea kwa ground combat hawarudi nyuma wala hawatakata tamaa. Nahisi hatarudi hata komando mmoja...

Kumuua Osama akiwa na watoto na wanawake kadhaa na kasmg kamoja ni tofauti na kumvamia Kim aliyezungukwa na elites ambao wako radhi kufanya lolote kwa ajili ya kiongozi wao Bila kuwa na option ya kujisalimisha, ni tofauti na wale jamaa wa Sadam waliovua magwanda na kujichanganya mitaani kama raia kwa hofu kubwa.
Waambie hao naona wanaongea ongea tu
 
Ngonjera hizo
vita sio Porojo kama unakula Matango!!
Jiulize kwanini huwa haingii vitani yeye kama yeye
kwanini anaomba washirika!!?

Kama unashangiria hilo
jiandae kuona Historia mpya kutoka hao korea,
hawana chakupoteza hao
maana wao wapo Kando na Walimwengu siku nyingi tu.
Kombora linaweza tua kokote
hata Bukoba
Ilimradi limetumwa
hawa sio watu wakuchokozwa
Eti Bukoba
 
Uongo tu huu sasa Navy Seals wanaenda kufanya operation gani ? Kama ni kumteka Kim hapo sawa ila kama ni kupigana sijui vita hawawezi kuwa deploy Navy Seals
 
Mimi Ninachojua hao jamaa ni kwa collection ya intelligence katika impossible areas. Pili wanafanya combat kama kikosi kidogo chenye watu wanne hadi ishirini kulingana na ukubwa wa mission.
Nilitegemea watumwe kufanya vitu kama walivyovifanya kwa Osama au juzi juzi usiku walichokifanya Yemen au somalia juzi Kati. Hayo kwa Korea sidhani wanaweza kujaribu.
ni kweli mkuu maana tunadiscuss possibilities but none of us is sure........kim anajua kuwaz seoul haowez kubali kuingia vitan coz uchumi wake utaharibiwa vibaya nothing else
 
Back
Top Bottom