Unconfirmed News: Navy Seals Tayari Wamefika Peninsula Ya Korea Jana Usiku

Ngonjera hizo
vita sio Porojo kama unakula Matango!!
Jiulize kwanini huwa haingii vitani yeye kama yeye
kwanini anaomba washirika!!?

Kama unashangiria hilo
jiandae kuona Historia mpya kutoka hao korea,
hawana chakupoteza hao
maana wao wapo Kando na Walimwengu siku nyingi tu.
Kombora linaweza tua kokote
hata Bukoba
Ilimradi limetumwa
hawa sio watu wakuchokozwa
Checking...100%
Network searching...100%

Network connected !
Near by Tukuyu Mbeya.
 
Hata kama lakino bado mmarecani hana siraha za kumfumua corea kama wanazo wasingetia mashaka kumkataza mwenzao asitumie nyuklia na mwenzie amesema haachi hata siraha moja zote atatumia
nadhan ulichokisema hata north korea hawawez kukubalina na ww
 
Ngonjera hizo
vita sio Porojo kama unakula Matango!!
Jiulize kwanini huwa haingii vitani yeye kama yeye
kwanini anaomba washirika!!?

Kama unashangiria hilo
jiandae kuona Historia mpya kutoka hao korea,
hawana chakupoteza hao
maana wao wapo Kando na Walimwengu siku nyingi tu.
Kombora linaweza tua kokote
hata Bukoba
Ilimradi limetumwa
hawa sio watu wakuchokozwa
Vita ni akili haijalishi ana washirika au LA mbona hta ww ukitaka kuzaa lazima utafute mwanaume?! Kikubwa ushindi tu
 
Wabongo wanaijua vyema US kuliko US wenyewe wameshindwa kujua hata majambazi ila kila kinachofanyika US wanakipata mimi nadriki kusema kuwa Tanzania ni SUPER POWER maana hakuna kinachoendelea Duniani tusijue kwanza sisi.
 
Hao Navy Seal walishawahi kushinda Vita ipi?, kwani vita ya 50's hapo Korea hawakuwepo? Kwani kule Vietnam hawakuwepo? Ile Somali unaikumbuka nenda katafute movie inaitwa "one hawk down"

Mareakani mzuri kwenye vita ya Juu Airborn, lakini ikija suala la Infantry huwa anakuwa hoi na huwa ana jipya, anakutana na watu wanatumia AK47 tu na wanasumbuka

Vita ya kwanza ya Sadam na Senior Bush mbona Wamarekani na Mabibi zake walichemsha na kukimbia, mpaka alivyojipanga na kuingia wakati Sadam keshachoka

Vita ya Korea sio ndogo kama ikitokea

Sahihisho;
Vikosi vya marekani vilivyohusika na mapigano Mogadishu miaka ya 90 vilikua ni "US Army Rangers" wakiwa na elements chache za "Delta team/force" na sio SEALs.

Jina la Movie ni "Black Hawk Down"
 
Umeona wa Korea walivyo wajanja wamehamisha wananchi wote kutoka mji mkuu wao ili wapigane vita bila kuwaathiri wananchi sasa mmarekani aingie atatoka damu anafikiri kule ni za kiarabu kama walivyofanya kwa SADAM HUSEIN na MUAMMAR GADAFI ningemuweka hata OSAMA BIN LADEN ila hawakumuua wao alijiua mwenyewe na askari wao wakamtupa majini
 
Kikosi cha makomandoo wa kimarekani ambacho kinasemekena ndio "The Most Feared Force" katika ulimwengu huu cha US NAVY SEAL inasemekana tayari kiko katika Peninsula ya Korea tangu Jana usiku kikitokea jimbo la Florida nchini Marekani. Hiki ni kikosi hatari zaidi duniani ambacho kazi yake ni kufanya operations ambazo ni hatari zaidi mno na za mwisho. Ni Mara chache/nadra sana kutumika. Mara ya mwisho kilitumika usiku wa manane kwa dakribani dakika 45 tu kumuangamiza Osama na ni askari mmoja tu alijeruhiwa kwa ajali ya helkopta zisizotoa sauti ambayo ilikosewa ikagonga ukuta wakati makomandoo wakidrop kwenye makazi ya Osama. Kikosi hiki hutumika baada ya makomandoo wengine wa majeshi tofauti ya marekani kusoma Jiografia ya sehem husika, ramani ya ngome za adui na silaha zake then Raisi wa Marekani hutoa ruhusa ya NAVY SEAL kutumika kumalizia Operation. Makamu wa Rais wa Marekani bwana Pence yuko Korea kusini na inasadikika ujio wake uliambatana na NAVY SEAL waliojichimbia katika Nyambizi zisizoonekana katika pwani ya Korea..

SOURCE: Maoni katika FOX News, Viewers Questions

MAONI YANGU: Marekani ana silaha nzito kuliko yeyote katika ulimwengu huu, huwez kufanya parade la kuonyesha silaha kama North Korea akohofia kuchukiwa zaidi na Jumuiya za Kimataifa. Defense Systems ziko mabara yote. Hata bajeti ya jeshi tu ni Dola Billion 600 ukilinganisha Dola Billion 7 za Korea kwa mwaka. Marekani hajawah kufanya jaribio la silaha likafeli. Mmeshuhudia MOAB pale Afghanistan, walioshuhudia walisema walichokiona na kukisia walidhan dunia na mbingu vineshagusana tayari. Kim akijaribu atapotea kabisa
Kuna wajinga wamelishwa uongo kwamba Marekani anaweza pigwa na taifa maskini kam korea ya kaskazini,na kwamba eti marekani anamtegemea Israel wakati Israel anamtegemea Marekani.Ninachojua ,Marekani ana nguvu kuliko mataifa yote duniani na akitaka lolote anafanya bila shida na kwa muda mfupi.Kim ni kichaa kama Sizonje tuu,atapotea kama Sadam Hussein.
 
Kwa hiyo story yako inatuhusu nini. USA akimpiga King Jong U wewe inakuhusu nini. Na je King Jong U akimpiga USA wewe inakuhusu nini.
Huo ni ushabiki tu usio na tija yeyote.
 
Sahihisho;
Vikosi vya marekani vilivyohusika na mapigano Mogadishu miaka ya 90 vilikua ni "US Army Rangers" wakiwa na elements chache za "Delta team/force" na sio SEALs.

Jina la Movie ni "Black Hawk Down"
So kazi ya Hao Seal Hapo kurea ni nini kama kweli wapo?
 
Ona vita ilivyo mbaya aise marekani anawapiga wao wakiona wanashindwa wallah amini usiamini wataungana na makundi yote ta kigaidi kana ISIS na alshabab na mengine watagawa siraha za nyuklia kuishambulia Israel hapo Kuna mtu anausoma mchezo Wa kujiimarisha kijeshi na kiuchumi na kijeshi Russia bado Ana makovu ya kusambaratikA kwa USSR mnafki mkubwa akiwa marekani, Vietnam wamekaa kimya wanausoma mchezo pooo pia bado wana makovu atomic bomb mpaka leo, mfanyabiashara China anazisoma fursa za kibiashara baada ya uchumi wa marekani kuyumba kwa vita, vita kitu kibaya sanaaa mungu tuepushe
Unachosahau ni kwamba vita ni biashara kubwa sana kwa Marekani.Jiulize Leo hii vita ikianza Japan na South Korea watanunua kiasi gan cha silaha kutoka US.Kuanzia mabomu, makombora, air defenses, makombora ya hzo defenses,ndege, radars, etc. Hapo ndo utajua kwann US huwa anaweka maslahi mbele.
 
Kuna wajinga wamelishwa uongo kwamba Marekani anaweza pigwa na taifa maskini kam korea ya kaskazini,na kwamba eti marekani anamtegemea Israel wakati Israel anamtegemea Marekani.Ninachojua ,Marekani ana nguvu kuliko mataifa yote duniani na akitaka lolote anafanya bila shida na kwa muda mfupi.Kim ni kichaa kama Sizonje tuu,atapotea kama Sadam Hussein.
We umekunywa uji wa ulezi au
 
ni kweli mkuu maana tunadiscuss possibilities but none of us is sure........kim anajua kuwaz seoul haowez kubali kuingia vitan coz uchumi wake utaharibiwa vibaya nothing else
Hawa jamaa Nahisi mission yao top priority ni kufanya sabotage kwenye hizo silaha wanazohofia na nuclear sites zote kwa kushtukiza na kwa mahesabu makali. Tofauti na waarabu inaonekana hawa n/Korea hakuna wasaliti wa kutosha kuvujisha kila movement yao. Ndio maana dunia ilishtuka Jana kuona zile advanced ICBM ambazo hakuna aliyekuwa na taarifa nazo hata hao us. That is what we see I am afraid of what we don't see
 
Back
Top Bottom