Kwa waliokojoa kitandani tu!!

Mi nakojoa mpaka leo nikilitwika gongo langu nikiludi home kulala lazima limwagike tu hakuna namna nashukuru kwa kua nko mwenyewe tu ningekua na ndugu zang dah aibu
 
Mimi nilikuwa stadi kwelikweli..! Nilikuwa najigeuza nakojoa kwa braza bmkubwa akija asubuhi brother ndiyo anakula kichapo..!

Nikiambiwa ni mimi nalia ile mbaya huku nikikomaa sijakojoa mimi, sasa siku moja nikamkojolea broo nyuma mbele kwenye mship dodo wake ukawa hapajaloana ile muda kidogo bmkubwa kaja kutuamsha akajua mchezo nilikula makofi ya matako mpaka leo sijawahi kojoa tena..!

Why nilikuwa nakojoa nilikuwa naogopa kuamka sababu ya PANYA walikiwa wanazurura wengi usiku.
We kweli kizibo
 
Na kumbuka mwezi mtukufu nilikuwa nikipiwa maji ya kunywa na kunyimwa uju na juisi ili nisikojoe kitandani
 
Umenikumbusha mbali sana mkuu
kuna jamaa yeye haja kubwa ilimbana sana sema sasa alikuwa anaogopa kwenda chooni(choo kipo nje)
Akayabana sana mwishowe usingizi ukampitia akaanza kuota
Ameamka kisha yupo chooni anajisaidia huku anasikia rahaa gafla anasikia umotomoto kuja kushtuka tayariii kashayajaza
Aiseee mnatufanya tuonekaa machizi kwenye madaladala. Nimejikuta nacheka kwa nguvu
 
Weeee, huu mchezo hauhitaji hasira, nakumbuka mimi na bwana mdogo ( enzi hizo sasa hivi tu maofsa flani hivi usihoji) tulikuwa vikojozi mbayaa, kama mibakora tullichezea sana tu, tukaibuka na mbinu ya kulala kwa zamu aaa wapi ikafeli, tukaibuka na mbinu mpya, tunaongoa matandiko ( godoro anasa) tunajaladia asubuhi tuaamka na kurudishia mchezo unasonga, tena kwa mbwembwe tu natangaza tumeacha ukojozi, ngoma alikuja mgeni weee asubuhi ilitembea fimbo mbaya, nilisahau kukojoa kila nikikumbuka kipigo, tulimpiga mande kalowa chepe chepe.
mkuu umenichekesha sana na hiyo mande ya mkojo...
 
Kwahiyo hiyo picha umeweka hapo ndicho kinachotumika kukojoa pekeake hamna kingine au uliamua tu kuzalilisha
 
Nyie watu nyie hebu acheni bwana!mimi nishabwanda sana tu ila nisiyo sahau ni siku nilienda kwa uncle ikawa late nikaamua ku overnight kule na nililala na suruali ile ile (enzi zile tuoipiga sana couldruoy ).
Mwanangu ugenini nikachafua ikabidi mtoko wa next day uwe shida maana cousins wangu age moja mademu (i was 10yrs or so) nikavaa ya kike moja mpaka suruali ifuliwe ikauke mpaka leo aunt nikisimanga watu wanaovaa za kike ananikumbusha hii makitu na huyo cousin wangu anasema nina bahati enzi zile foto foto ilikuwa hamna
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom