Search results

  1. mkata-mkaa

    Epuka kufanywa fursa na kina Sharks

    Kuna jamaa wale wanao jiita sharks.. Wako bize kuwafanya vijana wenzao kuwa fursa wanawalipisha pesa nying kumbe kila kitu kipo YouTube. Kuwa makini kijana. Nenda youtube Andika BIGBANKS tazama iyo video apo utagundua naongea nini. Mimi nilivyo search imekuja video ya tatu. Skiliza kwa makini...
  2. mkata-mkaa

    Nguvu za kiume zimepotea ghafla

    Wadau nimepatwa na tatizo hata sijui nifanyaje nimepoteza hamu ya tendo la ndoa ghafla toka juzi. Akili yangu haiko sawa sijui nini kimenipata asubuh mimi kwa kawaida wakati naamka uume unakuwa umesimama lakini toka juzi yani uume hausimami kabisa, kuna muda nakuwa na hamu ya tendo. Lakini...
  3. mkata-mkaa

    Mvua za Dar

    Wakuu habar zenu...naomba kujuzwa hizi mvua zinakata lini... Watalam wa hali ya hewa naombeni data
  4. mkata-mkaa

    Naomba kujuzwa kuhusu ajira Tanzania

    Wakuu habar zenu naomba kujuzwa... Ni asilimia ngap ya vijana nchini Tanzania hawana ajira? Je wapi naweza kwenda kupata izo data?
  5. mkata-mkaa

    Naitaji samaki sato na sangara

    Wakuu habar zenu.. Nina bucha liko mbagala Naitaji mtu wa kuniletea samaki kwa bei ya jumla.. Samaki sato na sangara... Sent using Jamii Forums mobile app
  6. mkata-mkaa

    Baada ya uhusiano wetu kufa tulikubaliana tubaki kuwa marafiki lakini sasa hivi simuelewi

    Baada ya mahusiano yetu kufa tutakubaliana tubak marafiki, huwa sipendi kuwa na uadui na ma x, Jambo la kuwasiliana na kupeana ushauri au hata mawazo ya kimaisha huwa ndo kitu pekee kinachobak kati yetu. X wangu akakubali tuwe marafiki, lakin akaanza kubadilika mara simu hapokei msg anasoma...
  7. mkata-mkaa

    Naomba kujuzwa college zilizo DAR

    wakubwa wa kambi.. naomba kujuzwa college zilizo dar.. with their specific address and contact kwa fani zote
  8. mkata-mkaa

    kufungua website ya ajira

    wakuu habar zenu.. nina wazo la kufungua website ya kuweka matangazo ya ajira je TCRA nitalipia kiasi gani? Sent using Jamii Forums mobile app
  9. mkata-mkaa

    kalikiti

    miaka ya nyuma kuna dawa ya kulainisha nywele ilikuwa inaitwa kalikiti. je ni kweli ilikuwa inaitwa kalikiti? ilo jina lina maana gani? correct me if am wrong
  10. mkata-mkaa

    Air hostess precision air wanalipwa kiasi gan?

    wakuu kuna mtoto mzur sana anafanya kazi iyo kampun ya ndege precision air najalibu kutia mistali, ila uyo mtoto wa ukweli sana, pamba mpya daily hivi wanalipwa kiasi gan? maana uyo mtoto kwa mapigo yake yananifanya ni waze mengi
  11. mkata-mkaa

    Nini side effects yake?

    wakuu habar zenu, since i broke up with my girl nimekuwa napenda kula vitu vyenye test ya kusisimua to relax my mind.. kutafuna majan ya mwarobaini hasa nyakt za jioni kula vitunguu swaumu kutafuna tangawiz kutafuna karafuu iliyokaushwa nimekuwa mtumiaji wa hivyo vitu kwa muda wa miezi 3...
  12. mkata-mkaa

    Nauza shamba kwa ajili ya kilimo; shamba lipo vikindu

    wakuu Habari zenu... nauza la shamba kwa ajili ya kilimo.... shamba lipo vikindu eneo ni zuri lipo karibu na mto...waweza Fanya kilimo cha umwagiliaji.. ukubwa heka moja.. bei ni milion kumi na mbili.. maelewano yapo... picha ntaziweka soon.. njoo inbox kwa maelewano...kama ukitaka utapelekwa
  13. mkata-mkaa

    Wabeba box majuu ...Huu ni Uzi wenu

    Wakuu mnaopiga box majuu Huu ni Uzi wenu...tuna omba mje Ku share experience...na changamoto.. Karibuni sana
  14. mkata-mkaa

    Tecno ipi inakaa na chaji muda mrefu?

    Wakuu habar zenu...katika simu za tecno ..Ni toleo Gani lina kaa na chaj mda mrefu ..?
  15. mkata-mkaa

    Diaspora Germany, Maisha yakoje

    Wakuu munaoishi uko germany... Napenda Kujua mnaishi vp? Je mnaruhusiwa kufanya kazi za kubeba box kama marekan..wabeba box mnalipwaje? . Je hambaguliwi!?..... Nataka Kujua hayo, sababu wakuu.. Maana tumekuwa tunaskia mengi kutoka diaspora wa marekan Leo am interested Kujuzwa kuhusu germany.
  16. mkata-mkaa

    Viatu vya kike toka India

    Wakuu hiv viatu ni vizur na imara bei yake ni elfu 16000 kwa peya moja Njoo DM tu pange wap nikuletee mzigo
  17. mkata-mkaa

    Kachelewa ku-verify vyeti, nimsaidieje?

    Wakuu habar zenu...kuna jamaa yangu yuko mkoa kachelewa Ku verify vyeti vya diploma ili apate kuomba chuo akasome bachelor.. Nacte walitoa dead line mwisho 15 august... Je nimsaidiaje? Sent using Jamii Forums mobile app
  18. mkata-mkaa

    Jinsi ya Kuthibitisha Cheti cha diploma

    Wakuu habar zenu kuna rafiki yangu Anataka Ku verify cheti chake cha diploma TCU ili aombe chuo ...naombeni muongozo ..je procedure zake zikoje? Hii process ni bure au unatakiwa kulipia? Sent using Jamii Forums mobile app
  19. mkata-mkaa

    Bei ya mashine za risit za TRA

    wakuu habar zenu naomba kujua bei ya mashine zinazotoa risit za biashara..ni zile mashine zinazotolewa na TRA. Sent using Jamii Forums mobile app
  20. mkata-mkaa

    Mfanyakazi bora wa RITA

    Wakuu habari zenu kama kuna yoyote aliwai kwenda RITA kupata huduma basi pale kuna jamaa ana itwa OMARI , aisee huyu jamaa anaipenda kazi na ni mfano kwa wenzake . Ingawa Kazi inachangamoto na watu ni wengi wanaotaka huduma lakini jamaa anamjibu kila mtu kwa heshima na ustarabu. Hongera omari...
Back
Top Bottom