mkata-mkaa
JF-Expert Member
- Nov 16, 2016
- 296
- 181
Kuna jamaa wale wanao jiita sharks.. Wako bize kuwafanya vijana wenzao kuwa fursa wanawalipisha pesa nying kumbe kila kitu kipo YouTube. Kuwa makini kijana.
Nenda youtube Andika BIGBANKS tazama iyo video apo utagundua naongea nini. Mimi nilivyo search imekuja video ya tatu. Skiliza kwa makini utagundua wale jamaa wanaojiita sharks wamekopi uko alafu wanakujua kujigamba kwamba ni mbinu yao.
Epuka kutoa pesa zako wakati unaweza kujifunza bure kule YouTube.
NB. "Huo ni mtazamo wangu sio lazima tu"
Kama hujanielewa pole sana..
"if you know - u know"
Sent using Jamii Forums mobile app