mkata-mkaa
JF-Expert Member
- Nov 16, 2016
- 296
- 181
wakuu habar zenu naomba kujua bei ya mashine zinazotoa risit za biashara..ni zile mashine zinazotolewa na TRA.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Du..,iyo balaaNasikia ni laki nane na kama unauza elfu arobaini kwenda juu lamza uwe nayo sasa jiulize kama una mtaji wa milioni utafanyaje?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nini inasababisha tofauti ya bei?Laki nane kwa laki nne.
sent from my iPhone 7s using JamiiForum mobile app.
Mku hivi kama unazo mpya kabisa unarusiwa kutumia kwami ninazo kama tatu zipo ktk box.