Baada ya uhusiano wetu kufa tulikubaliana tubaki kuwa marafiki lakini sasa hivi simuelewi

mkata-mkaa

JF-Expert Member
Nov 16, 2016
296
181
Baada ya mahusiano yetu kufa tutakubaliana tubak marafiki, huwa sipendi kuwa na uadui na ma x,

Jambo la kuwasiliana na kupeana ushauri au hata mawazo ya kimaisha huwa ndo kitu pekee kinachobak kati yetu.

X wangu akakubali tuwe marafiki, lakin akaanza kubadilika mara simu hapokei msg anasoma whatsapp ila hajibu

Basi mimi nikajua kashapata mtu binafsi sina tatizo na ilo, chakushangaza akiwa na shida zake mimi najibu simu na msg zake na kumsaidia inapowezekana.

Wakati huo huo ana screenshot maongezi anayofanya na watu wengine na kuweka kwenye whatsapp status

Sina lengo lolote la kurudiana naye, alinisapot sana kipind napitia wakat mgumu katika maisha yangu ni rafik ambaye nisingependa kumpoteza..

Nabaki najiuliza vitendo vyake vinamaana gani?
 
Mmmh. Umeshakubali kuwa rafiki sasa wivu nae wa nini?

Punguza wivu Mkuu huyo ni rafiku tu kwako na ana uhuru wa kufanya chochote. Au bado wamtaka?
mkuu sina wivu... swali ishu ni kwamba una mtreat mtu vizur alafu yeye ana act kama its nothing ndo naposhangaa
 
Nafsi inakusumbua bado unampenda ila huna namna kuacha mtu ulio zoeana nae sio laisi.....tena hamna eti rafiki angu wakike tu niwastori tu.
Afu hamna kitu eti huyu ni rafiki wangu tu wa kike, afu ex, mkuu hapo bado anampenda ndomana anajiskia vibaya akituma mesej hajibiwi afu anatumika km ATM au Shirika la Misaada kadri ex anavyojiskia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Baada ya mahusiano yetu kufa tutakubaliana tubak marafiki, huwa sipendi kuwa na uadui na ma x,

Jambo la kuwasiliana na kupeana ushauri au hata mawazo ya kimaisha huwa ndo kitu pekee kinachobak kati yetu.

X wangu akakubali tuwe marafiki, lakin akaanza kubadilika mara simu hapokei msg anasoma whatsapp ila hajibu

Basi mimi nikajua kashapata mtu binafsi sina tatizo na ilo, chakushangaza akiwa na shida zake mimi najibu simu na msg zake na kumsaidia inapowezekana.

Wakati huo huo ana screenshot maongezi anayofanya na watu wengine na kuweka kwenye whatsapp status

Sina lengo lolote la kurudiana naye, alinisapot sana kipind napitia wakat mgumu katika maisha yangu ni rafik ambaye nisingependa kumpoteza..

Nabaki najiuliza vitendo vyake vinamaana gani?

Kumbe siku hizi Jukwaa la Nafasi za Kazi na Tenda linahurusu pia Mambo ya Mapenzi? Ngoja nami sasa nije ya yangu hivi punde.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom