mkata-mkaa
JF-Expert Member
- Nov 16, 2016
- 296
- 181
Wadau nimepatwa na tatizo hata sijui nifanyaje nimepoteza hamu ya tendo la ndoa ghafla toka juzi.
Akili yangu haiko sawa sijui nini kimenipata asubuh mimi kwa kawaida wakati naamka uume unakuwa umesimama lakini toka juzi yani uume hausimami kabisa, kuna muda nakuwa na hamu ya tendo. Lakini nikiwa najiandaa kufanya tendo na mke wangu basi hamu inakata ghafla.
Siku ya kwanza hiyo hali kutokea nilidhanu uchovu lakini nilipojalibu siku ya pili ikawa vilevile hamna mabadiliko.
Hapa nilipo sina Amani. Nimeamua kufanya mazoezi ya kukimbia ili hali yangu iwe sawa.
Naishi kwa wasiwasi sana sijui nini kimenikuta, Leo ni siku ya nne sina Amani kabisa.
Naomba msaada wadau
Sent using Jamii Forums mobile app