kalikiti

kalikiti

mkata-mkaa

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2016
Posts
296
Reaction score
181
miaka ya nyuma kuna dawa ya kulainisha nywele ilikuwa inaitwa kalikiti.

je ni kweli ilikuwa inaitwa kalikiti?

ilo jina lina maana gani?

correct me if am wrong
 
ilikuwa matata sana chanuo la chuma linachomwa kwenye moto kisha linapitishwa kwenye nywele. Mwenye picha atuwekee tujikumbushe
 
Hiyo harufu ilikuwa balaa. Kwenye Joto la Dar mbaya zaidi. Ikiitwa zege vile vile
 
Curl kit maana yake ni, curled hair ni aina ya nywele laini zilizojinyonganyonga kama vile waarabu au hata wasomali. Na kit ni chombo kibebea vifaa vya kazi flani. Kwa hiyo utakuwa umeelewa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom