Search results

  1. mmbangifingi

    Stop engine kwenye gari za kichina

    Wakuu, stop engine ni brake inayosaidia kupunguza mwendo katika gari kabla ya footbreak..ni common sana kwenye magari yote scania,volvo,benz,mitsubish nk. Nimechunguza sana gari hizi za kichina kuanzia Yutong mabasi haya mpaka malori cjaona stop engine/engine break..Ni kwanini pengine mchina...
  2. mmbangifingi

    Late Samora Machel

    Ni nani hasa alimuua Rais wa Msumbiji wakati huo Samora Machel? Renamo? Serikali ya Makaburu? Kwanini ilikuwa lazima wamuue?
  3. mmbangifingi

    Christopher Alex anasumbuliwa na nini ?

    Jana clouds fm kwenye kipindi cha sports xtra nilisikia kama wanamwongelea mchezaji wa zamani christopher alex anaumwa na anahitaji msaada. Ni huyu alex aliyecheza simba wakati flani? Anaumwa nini hasa?
  4. mmbangifingi

    Kashfa mpya jeshi la polisi

    Jeshi la Polisi Tanzania kupitia simu iliyotumwa kwa Makamanda Mikoa yote Tanzania bara limewataka askari wote wanaotumia vyeti vya kughushi wajiondoe wenyewe kwa kuacha kazi ama kuomba kustaafu kwa hiari la sivyo ikifika August 2014 watakamatwa na kufunguliwa mashtaka. What a shame!!!mtu...
  5. mmbangifingi

    Gepf vs pspf

    Mfuko wa hifadhi ya jamii GEPF ambao zamani ulikuwa "provident fund" sasa umebadilishwa na kuwa "Pension fund" maana yake watalipa mafao ya kustaafu na pensheni ya kila mwezi kwa wanachama wao. Je wataweza kuendana na mfuko wa pspf ambao ni mkongwe katika ulipaji wa mafao,,What will the...
  6. mmbangifingi

    toyota avensis inahitajika

    Nahitaji Toyota Avensis. Gari hizi Zinaingia hapa bongo mostly kutokea UK, ni manual zina engine 7A. MWenye NAyO ama taarifa zake ani pm
  7. mmbangifingi

    toyota avensis inahitajika

    Nahitaji Toyota avensis manual, gari hizi nyingi zinaingia hapa bongo kutokea UK. zina engine 7A. Mwenye NAyO/kuwa na taarifa Mayo ani pm
  8. mmbangifingi

    Mshahara wa Mh Pinda na sakata la mgomo wa wenye malori TZ

    Je, maamuzi/maelekezo aliyoyatoa Mh Pm Pinda kuhusiana na mgomo wa wenye malori Tanzania na kumaliza mgomo ulioanza kuathiri uchumi wa Taifa kwa kasi yanaupa thamani halisi mshahara anaopokea ama bado akingali ana deni nasi?
  9. mmbangifingi

    Mh. Mbunge na biashara ya pembe za ndovu

    kUNA WANAOKUMBUKA TUKIO HILI TAFADHALI,,,MBUNGE HUYU ALIKUWA NANI NA NINI ILIKUWA HATMA YAKE? UONGOZI WA WAKATI HUO NA WA LEO KATIKA KUSHUGHULIKIA KADHIA ZA NAMNA HII TUNA URATE VIPI?
  10. mmbangifingi

    Aliyekuwa Mbunge (Benito Malangalila) afariki dunia

    Aliyekuwa Mbunge wa jimbo la Mufindi kusini (ccm) 2005-2010, Benito Malangalila amefariki dunia usiku wa kuamkia leo. Alikuwa anumwa kwa muda mrefu.
  11. mmbangifingi

    Mh. Lowassa, uzee au afya kuzorota?

    Namwangalia mh lowasa hapa,,akiwa London na kamati yake ya Ulinzi alipokutana na mh Jk namwona kadhoofu sana,,ni ile ya afya au uzee nao?
  12. mmbangifingi

    Prof Costa Mahalu

    Wakuu "heshima mbele" mwenye updates za hukumu ya Prof huyu iliyokuwa itolewe leo tafadhali atujuze
  13. mmbangifingi

    Cheki mkao huo!

    Wanaume mpaka kiranga kiwatoke!
  14. mmbangifingi

    Mwema naye apangua mabosi Polisi

    Mkuu wa Jeshi la Polisi Said Ally Mwema amefanya mabadiliko kadhaa ya makamanda wa polisi Mikoa ambapo Kamuhanda ameondolewa Ruvuma na kupelekwa Iringa, Andengenye Thobias katolewa Arusha na kurejeshwa Makao makuu. Je; Kamuhanda anaondolewa baada ya tume iliyoundwa kuchunguza mauaji yale ya...
  15. mmbangifingi

    Prince Muro lapata ajali

    Basi la Prince Muro T485BQV limepata ajali eneo la Senjele-Tunduma na kuua abiria mmoja na kujeruhi kadhaa! Basi hilo lililokuwa likitokea Dar kwenda Tunduma lilikuwa likijaribu kulipita/Overtake Lori ndipo liliacha njia na kupinduka. Chanzo kinadaiwa ni mwendo kasi!
  16. mmbangifingi

    Chuji hakucheza mechi Yanga Vs Azam?

    Je mchezaji Athman Idd(Chuji) alikuwemo katika kikosi kilichocheza na Azam Jumamosi March 10? Chuji amekuwa akitajwa mara kadhaa kuwa mtovu wa nidhamu, katika vurugu zilitokea kwenye mchezo huo sijasikia popote akitajwa kuhusika. Hakuwemo katika kikosi au alikuwemo isipokuwa kabadilika na kaacha...
  17. mmbangifingi

    Ajali ya basi

    Wakuu ajali hii inadaiwa kutokea March Mosi kwa basi hili kugongana uso kwa uso na gari ndogo. Kama kuna mwenye taarifa zaidi za mahali/eneo ajali ilitokea,if it was fatal nk. atujuze zaidi wanajamvi
  18. mmbangifingi

    Wananchi wavunja kituo cha polisi na kuchoma moto nyumba za askari polisi

    Kuna habari,, wananchi "wenye hasira kali" Wilayani Chunya wamevamia na kuvunja kituo cha Polisi Lupa Tinga Tinga kisha kuchoma moto nyumba mbili za askari polisi na moja ya raia. Tukio limefuatia baada ya askari polisi hao kumuua kwa kipigo Said Msabaha,mwanafunzi wa kidato cha pili katika...
  19. mmbangifingi

    Kivazi cha disco!!!

    Hapa mzuka mpaka asbh unasakata rhumba bila kuchoka!
  20. mmbangifingi

    Mtoto wa kike Jicho!

    Mtoto mdogo unakula mpaka mifupa!
Back
Top Bottom