Chuji hakucheza mechi Yanga Vs Azam?

mmbangifingi

JF-Expert Member
Mar 9, 2011
2,839
559
Je mchezaji Athman Idd(Chuji) alikuwemo katika kikosi kilichocheza na Azam Jumamosi March 10? Chuji amekuwa akitajwa mara kadhaa kuwa mtovu wa nidhamu, katika vurugu zilitokea kwenye mchezo huo sijasikia popote akitajwa kuhusika. Hakuwemo katika kikosi au alikuwemo isipokuwa kabadilika na kaacha vitendo vya vurugu vurugu kama zamani?
 
Kama alikuwepo basi atakuwa amebadilika sana. Kama hakuwepo ana bahati maana yawezekana angeangukia kwenye adhabu ya maisha
 
Alikuwepoo ila alikuwa kama ameduwaa tu...refa alipochemka kumpa card canavaro kosa la kumpiga ndipo alipozua hasira upya za wachezaji na chuji alikuwepo karibu kabisa na refa ila hakufanya chochote itafute ile video utaona
 
chuji alikuwepo, ni kama alikuwa anasaidia kuwazuia wenzake, bIG UP kwa kijana amechange, ha ha ha ha Kaokota atiiii
 
Alikuwepoo ila alikuwa kama ameduwaa tu...refa alipochemka kumpa card canavaro kosa la kumpiga ndipo alipozua hasira upya za wachezaji na chuji alikuwepo karibu kabisa na refa ila hakufanya chochote itafute ile video utaona

Nashukuru mkuu,means kijana kabadilika sana,nampa big up! kwa Chuji wa zamani usingetegemea jambo hili kupita bila yeye kuhusika
 
Back
Top Bottom