Search results

  1. Caine Chuhira

    Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

    KARIBU OMARY PACKAGING INDUSTRIES LTD (OPIL) YOUR FLEXIBLE PACKAGING PARTNER. KWA VIFUNGASHIO BORA KABISA KUTOKA KWENYE MASHINE ZA KISASA KABISA KWA BEI RAFIKI. KARIBU TUKUHUDUMIE : NYERERE ROAD DAR ES SALAAM P. O BOX 2517. 0654079136. Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
  2. Caine Chuhira

    Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

    Follow this link to join my WhatsApp group: YANGA VS SIMBA
  3. Caine Chuhira

    Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread

    Follow this link to join my WhatsApp group: YANGA VS SIMBA
  4. Caine Chuhira

    Mke aolewa na jirani baada ya mumewe Kupooza

    Weka na picha please to support it
  5. Caine Chuhira

    Kinahitajika chumba cha 50,000/= maeneo ya Tabata

    _KINAHITAJIKA CHUMBA CHA 50,000/= MAENEO YA TABATA.!! *Hello Madalali na Members wa Group hili. Kinahitajika Chumba Cha Tsh 50,000/= Maeneo ya Tabata , Usafiri uwe Gari moja kuelekea Airport, Chumba kiwe kikubwa Cha kutosha Kitanda Cha 6x6 , Kabati la Nguo, Friji Dogo,Meza Mbili ndogo na...
  6. Caine Chuhira

    Natafuta chumba cha 50,000 Tabata

    Asante sana ndugu kwa Ushirikiano wako. Nahitaji cha umeme
  7. Caine Chuhira

    Natafuta chumba cha 50,000 maeneo ya Tabata

    Natafuta chumba cha 50,000/= maeneo ya Tabata. Hello habari wadau natafuta chumba cha 50,000/= maeneo ya Tabata. Mwenye kufahamu anijuze ndugu zangu.
  8. Caine Chuhira

    Natafuta chumba cha 50,000 Tabata

    NATAFUTA CHUMBA CHA 50,000/= MAENEO YA TABATA. HELLO HABARI WADAU NATAFUTA CHUMBA CHA 50,000/= MAENEO YA TABATA. MWENYE KUFAHAMU ANIJUZE NDUGU ZANGU.
  9. Caine Chuhira

    DSTV Decorder kwa Azam Decorder

    Hello nabadilishana Dstv decoder kwa mwenye Azam decoder ya Dish. 0654 079136. Location n ; KIGAMBONI FERRY !.
  10. Caine Chuhira

    Nabadilishana DSTV decoder kwa mwenye Azam decoder ya dish

    Hello nabadilishana Dstv decoder kwa mwenye Azam decoder ya Dish. 0654 079136. Location n ; KIGAMBONI FERRY !.
  11. Caine Chuhira

    Hello wadau wa JF

    Habari zenu wadau wa JF. Naitwa Cain Constantine Chuhira kutoka Kigamboni Dar es Salaam.
  12. Caine Chuhira

    Mfumo wa maisha unaomaliza nguvu za kiume

    MFUMO WA MAISHA UNAOMALIZA NGUVU ZA KIUME dr.joh health and wellness / 3 years ago Dunia ya sasa ina maisha magumu sana, watu wako bize usiku na mchana wanatafuta ridhiki zao lakini ubize huu na maisha haya usipokua makini yatakuharibia maisha yako ya kijamii, hata kama unapata pesa nyingi...
  13. Caine Chuhira

    Tatizo la kuwa na harufu mbaya kinywani (bad breath) - Chanzo, dawa za kuzuia na ushauri

    Kinywa kutoa harufu mbaya huweza kuwa kero kwako binafsi au kwa watu wanaokuzunguka. Yapo matibabu aina mbalimbali dhidi ya kinywa kutoa harufu mbaya, ikiwepo pamoja na pipi, bigijii na dawa za kusafisha meno Dawa hizi huweza kuwa zinafanya kazi au kutomsaidia mtu. Jambo la msingi ni kufahamu...
  14. Caine Chuhira

    Makala

    Makala: Haile Selassie, ‘Masiha’ Aliyeuawa na Kutupwa Chooni, Kutukuzwa na Kupingwa 6 hours ago [https://4] Machi Mosi 1896, Kibanga alimshushia mkoloni kipigo cha mbwa koko katika ardhi ya Ethiopia. Majeshi ya Dola ya Italia yaliyojaa uroho wa kujimilikisha rasilimali za Ethiopia yalipata...
  15. Caine Chuhira

    Uchaguzi 2020 Joto la kuwania kupeperusha bendera ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)

    Nyalandu atajwa kumvaa Lissu urais CHADEMA Joto la kuwania kupeperusha bendera ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kwenye uchaguzi mkuu kwa nafasi ya Urais, limezidi kupanda baada ya taarifa za kuwepo kwa makada maarufu wanaojiandaa kutangaza nia. Mpaka sasa ni Makada wawili tu...
  16. Caine Chuhira

    MBIO ZA URAIS TANZANIA

    Nyalandu atajwa kumvaa Lissu urais Chadema 1 hour ago [https://1] JOTO la kuwania kupeperusha bendera ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kwenye uchaguzi mkuu kwa nafasi ya urais, limezidi kupanda baada ya taarifa za kuwepo kwa makada maarufu wanaojiandaa kutangaza nia. Mpaka...
  17. Caine Chuhira

    Simba sc kumkosa Mkude mechi na Ruvu shooting jumapili baada ya kuumia dhidi ya KMC

    SIMBA SC KUMKOSA MKUDE MECHI NA RUVU SHOOTING JUMAPILI BAADA YA KUUMIA DHIDI YA KMC Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM SIMBA SC itamkosa kiungo wake tegemeo, Jonas Gerlad Mkude katika mchezo wake wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara dhidi ya Ruvu Shooting Jumapili Uwanja wa Tafa Jijini Dar es Salaam...
  18. Caine Chuhira

    Mwanafunzi, weka swali linalokusumbua ili walimu na wazoefu wakusaidie

    Naombeni Msaada was swali hili, Wadau wa Jukwaa hili LA Elimu : By connecting dots of historical events, Explain why some regions in the Great lakes are ungovernable by using Burundi, Kenya ,Uganda, Tanzania and Congo Dr. Msaada please Wadau.!!
Back
Top Bottom