Kinahitajika chumba cha 50,000/= maeneo ya Tabata

Caine Chuhira

Member
Sep 17, 2016
27
38
_KINAHITAJIKA CHUMBA CHA 50,000/= MAENEO YA TABATA.!!

*Hello Madalali na Members wa Group hili.

Kinahitajika Chumba Cha Tsh 50,000/=

Maeneo ya Tabata , Usafiri uwe Gari moja kuelekea Airport, Chumba kiwe kikubwa Cha kutosha Kitanda Cha 6x6 , Kabati la Nguo, Friji Dogo,Meza Mbili ndogo na Kabati Dogo la chini la vyombo. Kiwe ndani ya Geti kwa Usalama zaidi.

Inbox
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom