Caine Chuhira
Member
- Sep 17, 2016
- 27
- 38
Hello nabadilishana Dstv decoder kwa mwenye Azam decoder ya Dish.
0654 079136.
Location n ; KIGAMBONI FERRY !.
0654 079136.
Location n ; KIGAMBONI FERRY !.
Nakushauri nunua tu cha Azam ili uwe navyo vyote.
Mimi nililazimika kununua vyote viwili baada ya kuona muda ambao nataka kucheki Mpira, familia nayo inataka kuangalia Tamithilia.
Ndio tuseme huko Azam hakuna Tamthilia nzuri?Nakushauri nunua tu cha Azam ili uwe navyo vyote.
Mimi nililazimika kununua vyote viwili baada ya kuona muda ambao nataka kucheki Mpira, familia nayo inataka kuangalia Tamithilia.
Ndio na Tv nazo ziko 2. Imenisaidia nikitaka kucheki ligi ya Bongo naenda Azam, nikitaka EPL nahamia Dstv.Na tv2?
Ndio na Tv nazo ziko 2. Imenisaidia nikitaka kucheki ligi ya Bongo naenda Azam, nikitaka EPL nahamia Dstv.
Hii inategemea na Hobby yako ipo kwenye kuangalia nini. Pia uwezo wako wa kulipia hivyo ving'amuzi.
Vinginevyo awe na cha Azam tu
Azam wanazo Tamithilia nzuri, pia Dstv kuna Tamithilia nzuri.Ndio tuseme huko Azam hakuna Tamthilia nzuri?
Nazani kwa sasa ni 105,000 + Fundi wa kukufungia 30,000. Pia Unapata ofa ya kifurushi cha bure Azam plus kwa miezi mitatu.azam inauzwa bei gani kwa sasa
Kisimbuz cha azam cha dish sahv kinauzwa 220,000Tsh unapata na ofa ya miez mi3Nazani kwa sasa ni 105,000 + Fundi wa kukufungia 30,000. Pia Unapata ofa ya kifurushi cha bure Azam plus kwa miezi mitatu.
Unaweza kwenda Kule Sabasaba kwa sasa kuna bei ya ofa.
Kwa sasa kinauzwa 210,000/= Ila Bei ya 135,000 niliikuta kwenye maonyesho ya sabasaba -Dar. Pengine ilikuwa ni ya ofaKisimbuz cha azam cha dish sahv kinauzwa 220,000Tsh unapata na ofa ya miez mi3