Search results

  1. test man

    Serikali kwa hili mnaumiza hapa maisha gani haya?

    Sawa sikatai mmenipa mkopo nimesoma kwa mkopo wa HESLB sasa hata matokeo sijapata ya mwaka wa mwisho nimemaliza chuo mwezi wa saba mwaka huu na mwezi wa nane mnaanza kunikata kweli jamani. Natambua mnanidai sijakataa lakini si mngesubiri nipate hata cheti nibadilishiwe muundo nianze kuwalipa...
  2. test man

    Dodoso kuhusu sensa 2022

    Ndugu zangu naomba niwataarifu kuwa Sensa ya Watu na Makazi 2022 itahusisha madodoso manne: 1: Dodoso la Jamii 2: Dodoso la Sensa ya Watu na Makazi 3: Dodoso la Makundi Maalum 4: Dodoso la Majengo 1. Dodoso la Jamii litaanza kwa kumuhoji mwenyekiti au mjumbe wa kitongoji au mtaa juu ya uwepo wa...
  3. test man

    Nimeomba mkopo CRDB, kabla ya kupewa wameanza kunikata hela kila mwezi. CRDB shida nini?

    Nimeomba mkopo tangu mwezi wa tatu na nikakamilisha process zote maana mimi ni mtumishi wilaya x cha ajabu mwezi wa nne wamenikata kwenye mshahara na tena mwezi wa tano wamenikata hela yangu cha ajabu hata kwenye account hawajaniwekea hiyo hela niliyokopa nimefuatilia mpaka nimechoka kila...
  4. test man

    Msaada mawasiliano ya Mount Meru University Mwanza

    Jamani mwenyewe mawasiliano ya chuo cha mount meru anisaidie please naombeni hasa tawi la Mwanza au popote tu nipate mawasiliano yao. Shukurani.
  5. test man

    Napendekeza mtaala wetu wa elimu ubadilike uendane na mahitaji ya sasa

    Naishauri serikali yangu kuhusu mtaala wetu wa elimu uweze kubadilishwa na kuwa wa mfumo wa hivi 2:6:4:1:2:3 Miaka 2 ya mwanzo ni elimu ya awali Miaka 6 elimu ya msingi Miaka 4 elimu ya Sekondari Mwaka 1 elimu ya ufundi ktk fani mbalimbali za ufundi kwa wanafunzi wote wanaohitimu elimu ya...
  6. test man

    Msaada wa kupata kitabu hiki

    Wadau naombeni msaada wa kupata kitabu hiki: BASIC CONCEPTS AND PERSPECTIVES IN HISTORICAL SCHOLARSHIP. Mwandishi: MIHANJO P.A.N.E(2008), Dar es salaam-university press au hata mwandishi mwingne ila nashida sana na kitabu hiki please. Sent using Jamii Forums mobile app
  7. test man

    Wataalamu wa history msaada hapa

    Nisaidieni hili swali, account for contribution of social differentiation in the formation of state in different parts of world
  8. test man

    Wataalamu wa lugha msaada hapa

    Naombeni maana ya" mawasiliano fasilifu " hasa neno fasilifu nimechemka hata kisawe chake hamna
  9. test man

    Loan board kulikoni

    Mwenye taarifa juu ya hii loan board kuhusu kutoa majina ya wanufaika wa mikopo mwaka
  10. test man

    TCU Kuna tatizo gani jamani mbona ninaimani kubwa nanyi

    Tangu juzi ile nahangaika nipate code lkn hawatumi ni confirm chuo kwani nimechaguliwa vyuo viwili course hiyo hiyo moja na unatakiwa uchague chuo kimoja na wao TCU watakutimia code lkn mpaka wa leo bila bila tu au Kuna mtu amefanikiwa kwenye hili wale wa multiple selected
  11. test man

    Jipime kwa kutaja methali kutokana na majibu haya

    taja methali zenye majibu haya
  12. test man

    Wajuzi wa kushona mashati ya vitenge au vitambaa

    Habari mafundi wote nguo Kuna watu 30 wanahitaji kushona mashati tu sare so naomb uone she mitindo unayoshona upate tenda hii
  13. test man

    Kwa huu wizi mtandaoni hatari

    Jamani kuweni makini na matapeli leo wamenipiga sh 10,000 nimetuma mwenyewe ishu iko hivi, nilipigiwa simu namb ngeni ya vod mida saa nne asbh akajitambulisha kuwa customers care vodacom, kuwa Kuna mteja hapa anaitwa wilfrida Nelson ametuma hela kwa makosa kwako sh 17,000 kama umepata huo...
  14. test man

    Singida United msimu huu itatisha sana hakuna cha yanga wala simba

    ndo mjue mkiona kimya hivyo ndo wameishiwa na mawazo hii timu msimu huu hakuna cha simba wala yanga, mpaka sasa mwenendo ni mzuri sana na usajili umefanyika vzr tu, kwa wale wanaopenda maumivu na mawazo mkashabikie timu ya taifa ya Tanzania huko msiri inavyopigwa bila huruma mbele ya viongozi wa...
  15. test man

    msaada wa maswali ya comb HGK HGL

    Naamini hapa Kuna kila aina ya wataalamu naombeni unipe maswali yanayotoka sana NECTA ni solve mtihani umekaribia lkn naona na hali ngumu nitaleta mrejesho kwa wale wataonipa maswali Sent using Jamii Forums mobile app
  16. test man

    Mshahara wa January vp jamani hujatoka?

    Hali ngumu kitaa huku si madeni ni balaa vp huo mshahara hujatoka? Sent using Jamii Forums mobile app
  17. test man

    Yule Jamaa wa kutoka kigoma kuja kusaka maisha DAR yako wapi?

    wadau yule kijana aliyetoka kigoma kwa treni kuja kusaka maisha DAR amefia wapi mbona kimya au baada ya kufika DAR mambo yamekuwa tofauti?. Maana alikuwa anatoa taarifa kila hatua akifika Sent using Jamii Forums mobile app
  18. test man

    nataka nibet saa hiv

    Ndg zangu wenye timu za uhakika naombeni niweke mkeka saa hiv
  19. test man

    Vp wadau wa kubeti

    Wekeni timu za uhakika bc tupate hela maana hali ngumu si mchezo kitaa hapa na buku nataka nipate hata elf kumi tu
  20. test man

    Naombeni majina ya nyimbo nzuri RC

    Please msaada jamani naombeni anayejua wimbo wowote mzur wa Roman Catholic
Back
Top Bottom