Msaada mawasiliano ya Mount Meru University Mwanza

Msaada mawasiliano ya Mount Meru University Mwanza

test man

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2016
Posts
1,014
Reaction score
983
Jamani mwenyewe mawasiliano ya chuo cha mount meru anisaidie please naombeni hasa tawi la Mwanza au popote tu nipate mawasiliano yao.

Shukurani.
 
Makumira, mt meru, teku, mihayo tabora na mwecau ni kidato cha 7
 
Jamani mwenyewe mawasiliano ya chuo cha mount meru anisaidie please naombeni hasa tawi la Mwanza au popote tu nipate mawasiliano yao.

Shukurani.
Hilo chaka la kujifichia wahalifu wa elimu lilishafungwa siku nyingi
 
Back
Top Bottom