Loan board kulikoni

Loan board kulikoni

test man

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2016
Posts
1,014
Reaction score
983
Mwenye taarifa juu ya hii loan board kuhusu kutoa majina ya wanufaika wa mikopo mwaka
 
Tulia subiri utaratibu ukamilike.

Na ulivyo na presha hivi, andaa kiwanja cha kuuza.
 
Tulia ww mm tayari nimeuza hadi nyumba nataka watoe majina nijue nitatoboa au nianze biashara tu
Tulia subir utaratibu ukamilike.

Na ulivyo na presha hiv, andaa kiwanja cha kuuza.
 
Back
Top Bottom