msaada wa maswali ya comb HGK HGL

test man

JF-Expert Member
Aug 13, 2016
1,010
946
Naamini hapa Kuna kila aina ya wataalamu naombeni unipe maswali yanayotoka sana NECTA ni solve mtihani umekaribia lkn naona na hali ngumu nitaleta mrejesho kwa wale wataonipa maswali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wew kiazi kabisa necta umeshafika unashinda jf?? Muda wa kupitia comment na maoni unatoa wapi?? Hao unaosoma nao ni watu pekee wanaoweza kukusaidia kwa muda mchache huu ulio baki

Unless otherwise utakuja kutumia chet cha form four, na umepoteza miaka miwili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
History 1.(1)discuss the role of trade to the state formation in Africa, (2)discuss why Marxist historians argue that slave mode of production did not exist in Africa, (3)discuss factors for the rise of working class in Africa,(4)once a time Walter Rodney argue that"colonial education was the education of subordination,exploitation and development of under development"discuss.Anza na hayo mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukitaka ufaulu kirahisi form six kwa combination hiyo, soma tu "between lines" topic moja baada ya nyingine na uzielewe vizuri maana ni chache.

Kukariri maswali kuna athari moja tu; wakikutega tu kwenye hilo swali, unajikuta unaingia mzima mzima na kwenda nje ya swali "op"
 
Ingia Google andika "Maktaba tetea"
Utkutana na maswali mbali mbali.

Mimi napiga HGk.

5/5
 
SHULE YA SEKONDARI MAURICE inawatangazia wazazi na walezi wote kwamba tunapokea wanafunzi kidato cha kwanza mwaka 2019, nafasi za kuamia kidato cha kwanza na cha pili pia tuna kituo cha mitihani kwa watahiniwa wa kujitegemea na Q.T. Vile vile pia tunapokea wanafunzi wa kidato cha tano kwa michepuo ya ECA, HGE, HGK, HKL na HGL. ADA ni nafuu sana. Shule ni ya kutwa na bweni kwa wavulana na wasichana. Shule ipo Dar es salaam wilaya ya temeke, eneo LA mbande kisewe. Simu 0785907371. Wote munakaribishwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ahsante sana
History 1.(1)discuss the role of trade to the state formation in Africa, (2)discuss why Marxist historians argue that slave mode of production did not exist in Africa, (3)discuss factors for the rise of working class in Africa,(4)once a time Walter Rodney argue that"colonial education was the education of subordination,exploitation and development of under development"discuss.Anza na hayo mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
Mungu akubariki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ahsante sana Mungu akubariki

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom