Habari mafundi wote nguo Kuna watu 30 wanahitaji kushona mashati tu sare so naomb uone she mitindo unayoshona upate tenda hii
Upo mkoa gani?? Kama upo dar kuna fundi anashona vizuri sana ukihitaji njoo pm yupo sinza na bei zake ni nzuriHabari mafundi wote nguo Kuna watu 30 wanahitaji kushona mashati tu sare so naomb uone she mitindo unayoshona upate tenda hii
yupo maeneo gani huyo ndugu, nataka nipate shati moja matata la kitenge niwe sare na shemeji/wifi yako?Upo mkoa gani.?
Wenyewe kwanza waseme wanataka mtindo gani ?fundi anashona kila mtindo kuna fundi yupo iringa mjini ni hatari
yupo maeneo gani huyo ndugu, nataka nipate shati moja matata la kitenge niwe sare na shemeji/wifi yako?
Asante mkuuYupo uhindini anaitwa fundi adam
Karibu na msikiti wa jamatini