Udugu au uadui haitokei kwa sababu mnafanana au mnatofautiana rangi au muonekano. Na ndio kwa maana hiyo pale Yemen wako waarabu ambao ni wakatoriki kindakindaki kama kule Roman italia Kuna waislamu masalaf wakuzaliwa hasa.
Kuwa Kwao warabu sio passport ya kuwa waislamu, hao wana mawazo...
Sisi waislamu wakisunni mchezo wa Israel na Iran hautusumbui tunajua janja janja yao... Mu-irani ni myahudi aliyepooza.
Kimsingi wanatumia mbinu wanazuoni wa kiislamu wa kisunni wanaiita TAKIYA, yaani kuficha unafki ndani yao na kudhihirisha dini kama njia ya kuiahadaa dunia iamini kuwa wao ni...
Bado hatujamaliza kushuhudia vituko vya mambo ya dunia na watu wake.
Niko mapumziko ya wiki mahali, takriban kilometa miahamsini nje kidogo ya jiji la dar es salaam, napita kukagua ndugu na jamaa. Moja ya jamaa zangu amepatwa na kisa hiki naona Bora tushee humu.
Huyu sista ameolewa ndoa ya...
Hakuna mahali utahoji uhali wa muungano ama ukandamizwaji wa Zanzibar ama Tanganyika alafu ndani yake usitaje dini uwe uislamu au ukristo. Andiko lako ni kweli hujataja dini lakini ndani ya hoja yako mtazamo utakaopatikana ni wa dini hizi mbili.
Na habari ya muungano wa Tanganyika na zanzibar...
Nasi kama waislamu huwa tunaona ombwe la wazi sana pindi mtawala anapokuwa kutoka upande ule mwengine. Na kwa kuwa pia vitendo vya watawala wa ule upande wa pili huwa ni kukandamiza huu muungano lkn pia kukandamiza na uislamu basi kwa nyakati hii mnapaswa kuwa wa pole na ndio maana ya kupokezana...
Allah akbar. Kuna mambo mtatu katika uislamu yanapojitokeza hayatakiwi kucheleweshwa hata sekunde
1. Kuzika
2. Ndoa
3. Mtu anayebadilisha dini kuingia uislamu(kuslimu)
Kuna mambo umeandika ni mazuri boss hongera.
Napinga unapotuchukulia tunaompinga katika misingi kuwa tunampinga eti kwa sababu aliyefanya maamuzi ni 'mwanamke' hivyo ni kana kwamba hafit kwa mujibu wa mindset zetu za mfumo dume.
Ishu si kuwa ana washauri ambao ni maphd na yeye hana PhD, ishu...
Hili jambo mashehe tutalivalia njuga sana maana ni jambo linalohusu elimu.
Sisi mashehe tunaamini sana katika mambo ya ulimwengu wa roho na vitu visivyoonekana.
Imani ya Uislamu kwa asilimia kubwa inabebwa na kuamini vitu visivyoonekana kama Mungu, roho, malaika, akhera, jahannamu n.k.
Niko...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.