Asilimia 100 hujifichia CCM kutenda maovu na haramu

Unafikiri kidogo sana; CCM kama chama chenye mamilioni ya wanachama, wapenzi na madhabiki hakiwezi kuwa na watu wema tu, wapo wachache wenye dhamira mbaya.

Kama ilivyo wachungaji, mashekhe na mapadre na wazee wa kimila, wapo wengi wenye dhamira njema na wachache walio kinyume chake.

Epuka kutoa jumuisho la ujumla.

CCM ndio inayokufanya uishi kwa amani na hata kukupa uhuru wa kuandika utumbo ukumbini hapa.

Kiheshimu chama hiki kikongwe kilichosimama katika misingi ya haki na uadilifu.
Kwa chama cha mapinduzi zaid ya 70% ni wezi na wahujumu walio jificha chini ya mwamvuli wa CCM.
 
SWALI TU NAULIZA NINGEPENDA KUJUA?
HILO GARI MMILIKI NI NANI?

ova
 
Unafikiri kidogo sana; CCM kama chama chenye mamilioni ya wanachama, wapenzi na mashabiki hakiwezi kuwa na watu wema tu, wapo wachache wenye dhamira mbaya.

Kama ilivyo wachungaji, mashekhe na mapadre na wazee wa kimila, wapo wengi wenye dhamira njema na wachache walio kinyume chake.

Epuka kutoa jumuisho la ujumla.

CCM ndio inayokufanya uishi kwa amani na hata kukupa uhuru wa kuandika utumbo ukumbini hapa.

Kiheshimu chama hiki kikongwe kilichosimama katika misingi ya haki na uadilifu
Ikitokea siku anahitaji kufikiri kama wewe atakuandikia barua ya mwaliko mjadiliane ya kufikiri.Una anwani/postikodi inayotambulika?
 
Na ikitokea una pesa za kutosha yaani ni tajiri then haupo upande wao watakuwinda kila kona yako ili wakufirisi, wengi wapo huko sio kwa kupenda wapo tu kwa kujilinda na hiyo ndio mbaya zaidi
Kuna jamaa alikimbia mji ameacha ghorofa lake pagale la miaka 10. Alipata hela kwenye madini akaanza kufadhili harakati za Chadema, CCM walinyoosha mpaka akakimbia mji
 
Ni kweli. Mfano, kazi ya mwanzo ya Msukuma kabla hajawa mbunge ilikuwa ni utekaji wa mabasi na uporaji wa mali za abiria. Hivi Sasa amejificha ccm na maovu yake hayazungumzwi kabisa.

Huwa nacheka sana anapokuwa kwenye media akijifagilia kuwa alikuwa machinga na mshona viatu.
Na hata yule aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM Mwanza, mabina, alikuwa jambazi la kuteka watu ziwani na kuwapora engines za boats, wakati huo zikowa haziuzwi nchini. Alipotajirika CCM walimoa umwenyekiti wa mkoa.
 
Ni kweli. Mfano, kazi ya mwanzo ya Msukuma kabla hajawa mbunge ilikuwa ni utekaji wa mabasi na uporaji wa mali za abiria. Hivi Sasa amejificha ccm na maovu yake hayazungumzwi kabisa.

Huwa nacheka sana anapokuwa kwenye media akijifagilia kuwa alikuwa machinga na mshona viatu.
Haihitajiki akili kujua Rostam huwa anatafuta nini CCM
 
Kama hujagundua hili bado wewe hufikirii sawasawa. Watu wote hupenda kuwa CCM na kupigania kupata nafasi zaidi na zaidi kama sehemu salama ya kujifichia maovu na haramu.

Hii inahusu viongozi wote kuanzia juu mpaka chini. Kuanzia mwenyekiti wa shina mpaka namba moja. Chunguza hilo bila kutumia nguvu utagundua.

Mfano mdogo tu ni hili sakata la uhamiaji na gari lililodakwa likivusha wahamiaji haramu 20. Gari hilo linatajwa kuwa mali ya Habib Nasser. Huyu ni mwenyekiti wa CCM kata ya Ilala na mjumbe wa Baraza Kuu Jumuiya ya Wazazi CCM-DSM.

Hiyo bendera ya CCM haikuwekwa bahati mbaya, alijua uhakika. Hiyo ni ajali kazini au kuna watu walimchoma. Tofauti na hapo, goma likishakuwa na bendera ya chama trafiki wanapunga mkono tu unateleza.

Hawa matajiri wanaopambania vyeo vya udiwani, ubunge lengo namba moja inakuwa kuficha vitu vyao haramu ikiwemo ukwepaji kodi. Hivyo hivyo kwa watu wa kawaida. Lengo namba 5 ndio inaweza kuwa kutumikia nchi.

Hata hawa vijana unaowaona humu mitandaoni ikiwemo JF ni njaa tu hakuna kingine.

Watch out mzee baba
Naunga mkono hoja
 
hapana si kweli,

ni asilimia 100 ya waovu, hujificha nyuma ya wema 🐒

tena bila kujali chama, dini, kabila wala ukanda alikotoka.
uovu ni uovu tu 🐒
 
Unafikiri kidogo sana; CCM kama chama chenye mamilioni ya wanachama, wapenzi na mashabiki hakiwezi kuwa na watu wema tu, wapo wachache wenye dhamira mbaya.

Kama ilivyo wachungaji, mashekhe na mapadre na wazee wa kimila, wapo wengi wenye dhamira njema na wachache walio kinyume chake.

Epuka kutoa jumuisho la ujumla.

CCM ndio inayokufanya uishi kwa amani na hata kukupa uhuru wa kuandika utumbo ukumbini hapa.

Kiheshimu chama hiki kikongwe kilichosimama katika misingi ya haki na uadilifu
Unafikiri kidogo sana; CCM kama chama chenye mamilioni ya wanachama, wapenzi na mashabiki hakiwezi kuwa na watu wema tu, wapo wachache wenye dhamira mbaya.

Kama ilivyo wachungaji, mashekhe na mapadre na wazee wa kimila, wapo wengi wenye dhamira njema na wachache walio kinyume chake.

Epuka kutoa jumuisho la ujumla.

CCM ndio inayokufanya uishi kwa amani na hata kukupa uhuru wa kuandika utumbo ukumbini hapa.

Kiheshimu chama hiki kikongwe kilichosimama katika misingi ya haki na uadilifu
Hiyo amani Iko nyumbani kwako TU, kwingine Kuna uoga na uvumilivu. Nadhani hata ccm wenzio wanashangaa jinsi ulivyo muongo na mnafiki
 
Tunaomjua Rostam, tunajua kuwa alitajirika kabla hajaijua/hajajiunga CCM .
Kumbe wewe hata huelewi tunajadili nini. Kuna wanaotajirikia CCM kama kina Mwingulu, kuna wanaokuja wakiwa tajiri lengo inakuwa kutajirika zaidi au kujificha namna walivyotajirika kama kina Msukuma
 
Unafikiri kidogo sana; CCM kama chama chenye mamilioni ya wanachama, wapenzi na madhabiki hakiwezi kuwa na watu wema tu, wapo wachache wenye dhamira mbaya.

Kama ilivyo wachungaji, mashekhe na mapadre na wazee wa kimila, wapo wengi wenye dhamira njema na wachache walio kinyume chake.

Epuka kutoa jumuisho la ujumla.

CCM ndio inayokufanya uishi kwa amani na hata kukupa uhuru wa kuandika utumbo ukumbini hapa.

Kiheshimu chama hiki kikongwe kilichosimama katika misingi ya haki na uadilifu.
Ni mpagani pekee anayefikiri na kuamini amani tuliyonayo inatokana na ccm. Bila Mungu nchi hii amani isahau.
Waliotaka kupindisha katiba ili Samia asiwe Rais,walikuwa wa chama Gani? Ulimsikiliza vizuri Gen. Mabeyo wewe!!
Rais Kikwete anewahi tamka wanaccm huwezi kutoka ukaacha glass Yako ya maji kwa kuhofia kuwekewa sumu au muulize Mzee Mangula nini kilimpata.
 
Kulinda mali zako ni muhimu sana, ukishamjua Adui
Wamenipa mpaka uongozi wa Wilaya wa CHAMATA.
Alivyokuja Makonda tukaambiwa "viongozi wa CCM tuwe mbele" Nikachanga 50,000 Ila hata sielewagi chochotee ZAIDI ya kutaka MAISHA (Biashara)yangu YAENDE bila vikwazo.

#YNWA
 
Back
Top Bottom