Hivi kuna Mtu yeyote amefanikiwa kujaza form ya mikopo Loan Board (HESLB)?

5520

JF-Expert Member
Sep 10, 2011
610
1,148
Imebidi nije hapa huu mtandao wa Loan Board hauko vizuri hasa hasa kwenye kipengele cha Preliminary information hakuna chochote unachoweza kujaza na uka submit na ukakiona kwenye preview. picha hata useti kwa kiwango kipi 120x150px haionyeshi wala haikai kwenye mfumo.

Tunaomba kujua hapa nina group la waombaji hakuna aliyefanikiwa kujaza hizi form.

Shukran.
 
Mambo kama haya yanatupa wananchi wasiwasi. Bodi ya mikopo inatakiwa ijitokeze kwenye vyombo vya habari kueleza kama mfumo wao uko sawa ama una shida. Isije watu tukaanza kutengeneza majibu yetu kutokana na hilo tatizo
 
Imebidi nije hapa huu mtandao wa Loan Board hauko vizuri hasa hasa kwenye kipengele cha Preliminary information hakuna chochote unachoweza kujaza na uka submit na ukakiona kwenye preview. picha hata useti kwa kiwango kipi 120x150px haionyeshi wala haikai kwenye mfumo.

Tunaomba kujua hapa nina group la waombaji hakuna aliyefanikiwa kujaza hizi form.

Shukran.
Hapana tatizo ni moja kwa kila mtu unajaza details ukija ku view details zako hakuna kinachooneka poor kabisa bora wangebaki na mfumo wa zamani tu
 
Tuendelee kusubiri tu mpka mfumo wao ukae sawa wao ndio wenye kisu sisi tuwe wapole tu ila naona pre liminary information mpka sasa imekubali
 
Imebidi nije hapa huu mtandao wa Loan Board hauko vizuri hasa hasa kwenye kipengele cha Preliminary information hakuna chochote unachoweza kujaza na uka submit na ukakiona kwenye preview. picha hata useti kwa kiwango kipi 120x150px haionyeshi wala haikai kwenye mfumo.

Tunaomba kujua hapa nina group la waombaji hakuna aliyefanikiwa kujaza hizi form.

Shukran.
Afadhari wangetoa taarifa aisee mtu umelipa loan fees halafu mzigo unakwama kwenye demographic infor Kila siku
 
Imebidi nije hapa huu mtandao wa Loan Board hauko vizuri hasa hasa kwenye kipengele cha Preliminary information hakuna chochote unachoweza kujaza na uka submit na ukakiona kwenye preview. picha hata useti kwa kiwango kipi 120x150px haionyeshi wala haikai kwenye mfumo.

Tunaomba kujua hapa nina group la waombaji hakuna aliyefanikiwa kujaza hizi form.

Shukran.
Ilikuwa preliminary information sasa hivi ni guarantor details hakuna kinachokubali siku ya 4 leo
 
Imebidi nije hapa huu mtandao wa Loan Board hauko vizuri hasa hasa kwenye kipengele cha Preliminary information hakuna chochote unachoweza kujaza na uka submit na ukakiona kwenye preview. picha hata useti kwa kiwango kipi 120x150px haionyeshi wala haikai kwenye mfumo.

Tunaomba kujua hapa nina group la waombaji hakuna aliyefanikiwa kujaza hizi form.

Shukran.
Sote bado tuko hapo hapo kama ukifanikiwa kujuwa nini tatizo usiache kutujuza
Haswa kipengele cha guarantor
 
Kuweni na subra kufikia tar 7 system itakuwa vizuri ukianza kulazimisha sasahivi unaweza jikuta unafeli kupata mkopo maana system itakusajili ila kule details zako zinaweza zisiwe kamili maana umefosi mtandao
 
Back
Top Bottom