Kwanini Uwanja wa Mpira Dodoma ulikuwa uwe wa kuchukua Watu 100,000, lakini Samia anaujenga wa Watu 30,000 tu?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,694
109,127
Najua mtachukia ni nani kanipa Taarifa hii GENTAMYCINE, ila kamlaumuni Rais wa TFF Karia ambaye akifanyiwa Exclusive Interview na Azam Tv lilimchoropoka na akaliropoka hili na kama Kawaida yangu Bingwa na Mzee wa Kunyaka ya Muhimu tu Nikalinyaka na leo naliwasilisha.

GENTAMYCINE naomba kujua ni kwanini Plan ya Awali ya Hayati Magufuli ilikuwa ni Kujenga Uwanja mkubwa wa Michezo wa Kuchukua Watu (Watazamaji) Laki Moja (100,000) na leo Awamu ya Rais Samia (ambaye wakati wa Makubaliano ya awali alikuwepo kama Makamu wa Rais) tunaambiwa kuwa sasa utajengwa wa kubeba / kuchukua Watazamaji (Watu) Elfu Thelasini (30,000) tu?

Nasubiria sasa Majibu yenu hapa JF.
 
🐒🐒🐒
gNe7h.jpg
 
1.They differ into preferences,2,MGL is most needed public attention 3.budget,4.time,
 
Umefananisha mipango ya jiwe na asali😀😀
Hunipendi na umetoka kuniitia Moderator katika Uzi mmoja ulliojipendekeza Kwangu na nikakupa 'Kavu Takatifu' na sasa umekuja huku katika huu Uzi wangu. Nikueleweje?

Mnafiki mkubwa Wewe. Hamnipendi GENTAMYCINE halafu Kutwa tu ndiyo mnaongoza kusoma Threads zangu hapa JamiiForums.

Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King!!!!!

Kudadadeki....!!
 
Najua mtachukia ni nani kanipa Taarifa hii GENTAMYCINE, ila kamlaumuni Rais wa TFF Karia ambaye akifanyiwa Exclusive Interview na Azam Tv lilimchoropoka na akaliropoka hili na kama Kawaida yangu Bingwa na Mzee wa Kunyaka ya Muhimu tu Nikalinyaka na leo naliwasilisha.

GENTAMYCINE naomba kujua ni kwanini Plan ya Awali ya Hayati Magufuli ilikuwa ni Kujenga Uwanja mkubwa wa Michezo wa Kuchukua Watu ( Watazamaji ) Laki Moja ( 100,000 ) na leo Awamu ya Rais Samia ( ambaye wakati wa Makubaliano ya awali alikuwepo kama Makamu wa Rais ) tunaambiwa kuwa sasa utajengwa wa kubeba / kuchukua Watazamaji ( Watu ) Elfu Thelasini ( 30,000 ) tu?

Nasubiria sasa Majibu yenu hapa JF.
Kama ipohivyo hawatopata muda wa kukijenga hicho kiwanja cha mchongo!!

Muda wao wa kufanya madudu umehesabiwa na umepunguka!

Muda SIO mrefu watasahaulika kama hata waliwahi kuwa wafanya madudu!!
 
Najua mtachukia ni nani kanipa Taarifa hii GENTAMYCINE, ila kamlaumuni Rais wa TFF Karia ambaye akifanyiwa Exclusive Interview na Azam Tv lilimchoropoka na akaliropoka hili na kama Kawaida yangu Bingwa na Mzee wa Kunyaka ya Muhimu tu Nikalinyaka na leo naliwasilisha.

GENTAMYCINE naomba kujua ni kwanini Plan ya Awali ya Hayati Magufuli ilikuwa ni Kujenga Uwanja mkubwa wa Michezo wa Kuchukua Watu ( Watazamaji ) Laki Moja ( 100,000 ) na leo Awamu ya Rais Samia ( ambaye wakati wa Makubaliano ya awali alikuwepo kama Makamu wa Rais ) tunaambiwa kuwa sasa utajengwa wa kubeba / kuchukua Watazamaji ( Watu ) Elfu Thelasini ( 30,000 ) tu?

Nasubiria sasa Majibu yenu hapa JF.
Inawezekana mfadhili mfalme wa Moroco kajitoa,sasa kwa bajeti yetu inabana!
 
Hunipendi na umetoka kuniitia Moderator katika Uzi mmoja ulliojipendekeza Kwangu na nikakupa 'Kavu Takatifu' na sasa umekuja huku katika huu Uzi wangu. Nikueleweje?

Mnafiki mkubwa Wewe. Hamnipendi GENTAMYCINE halafu Kutwa tu ndiyo mnaongoza kusoma Threads zangu hapa JamiiForums.

Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King!!!!!

Kudadadeki....!!
Ila GENTA unaakili za kimtaani sana au niseme mswahili sana kumchamba mtu mtaani tena barabarani hushindwi kabisa
 
Back
Top Bottom