Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 7,195
- 10,929
Makombora kadhaa yamerushwa nchini Israel kutoka Gaza katika namna inayoiumiza kichwa mbabe huyo wa dunia.
Maeneo yaliyopigwa ikiwa ni karibu ya mwezi wa sita tangu vita vianze ni pamoja na Ashdod na Isderot. Habari hizo kutoka kwa kundi la Alqassam zimethibitishwa na Israel yenyewe pamoja na kukiri kupoteza askari zaidi kwenye mapigano yanayoendelea kaskazini ya Gaza.
Ni ukweli kuwa Israel imetumia nguvu kubwa sana na kufanikiwa kuuwa watu wengi Gaza yote pamoja na kujitangazia ushindi kwenye maeneo yote isipokuwa Rafah.
Hata hivyo kuzuka kwa vita tena maeneo ilimopita na kuyabomoa ndiko kunakoichosha Israel na kutoa picha ya ugumu wa vita inavyopigana.
Pamoja na kutumia chakula kama silaha ya vita lakini bado Israel imeshindwa kufikia malengo yote iliyojiwekea mwanzoni mwa vita hivyo.