Cctv video: Huyu mwizi inasemekana kawaliza wafanya biashara wengi kariakoo ila za mwizi 40 kanasa,

R-K-O

JF-Expert Member
Jun 27, 2023
482
2,138
Wezi wanatia hasara sana, Boss mwenye duka anaingia hasara, alieajiriwa kuuza duka anaanza kutiliwa mashaka na bosi kwamba ndio mwizi, anakatwa mshahara ama kufukuzwa kabisa

Wengine waliolizwa wana sema siku nyingine anavaaga kanzu na balaghashia

JINSI ANAVYOIBA

ALIVYODAKWA, video imekatwa kwa maudhui kuondoa disturbing content maana kuna jamaa alikua anakuja na gongo kama anaua nyoka
 
Cctv camera ni muhimu sana watu hawaelewi tu.

Sio kwenye biashara, hata nyumbani ni muhimu sana kwenye mazingira ya nyumbani nje ya nyumba.

Marekani na ulaya matukio mengi sana ya uhalifu yametatuliwa kwa msaada wa cctv camera. Wao hii teknolojia ilianza miaka ya 80s na 90s.

Sasa hivi karibu kila mtaa ama nyumba wana cctv camera.

Tubadilike, tuweke cctv camera, zipo za bei ndogo sana na faida yake ni kubwa sana
 
Shida haziwekwi bure
 
Yaani mtu una mkabidhi nguo kisha unamuachia mgongo huku ukiendelea na story😬hata ningekuwa mimi ningechukua🏃🏿‍♀️
 
Back
Top Bottom