Search results

  1. Lupyeee

    Jakaya Kikwete, njia ya muongo na mnafiki ni fupi. Wameshasahau tayari

    KURASA ZA CHUMA...DIBAJI YA MAWE. Ni ngumu sana kujifunza kuandikia Mashoto ndani ya Mitihani ya kuhitimu (Final Exams) inabidi uwe umejizoesha tangu awali. JK is One of the Best Politician of all around, na pia Rais Mstaafu wa JMT, leo sijadili Mazuri au Mabaya yake bali haiba, Ucheshi na...
  2. Lupyeee

    Magufuli: Watakuja na kila aina ya rangi lakini hawatapenya

    Baada ya upinzani kupoteza dira na kukosa ajenda mbele ya wananchi. Sasa hivi wameungana na wauza madawa ya kulevya, mafisadi, wakwepa kodi na wachawi. CHADEMA baada ya kupoteza mvuto kwa wananchi sasa wamebuni mbinu ya kuungana na majambazi na kujiteka ili wapate umarufu wa kisiasa. Lakini...
  3. Lupyeee

    Makapi ya CCM yatawala CHADEMA

    Kitendo cha Lowassa kuteuliwa na CHADEMA kugombea urais mara tu baada ya kuhama CCM na kufukuzwa kwa Dr. Slaa aliyekipigania CHADEMA kwa jasho na damu, pia kitendo cha Laurence Masha kuteuliwa kugombea ubunge wa Afrika Mashariki na kuwaacha wakongwe walioipigania CHADEMA ni mwendelezo wa makapi...
  4. Lupyeee

    Bar za Tabata zinajaa sana, Magufuli endelea kukaza

    Tabata kuna bar mpya zimefunguliwa mfano The great Park, 40 by 40, kwetu pazuri, kwa kweli zinajaza sana watu. Ukitembelea hizi bar alafu ukasikia mtu analalamika hela imepotea mfukoni hautamwamini kamwe. Watu wanapiga mitungi kama kawa mpaka majogoo.
  5. Lupyeee

    Mbowe, Gwajima jifunzeni kutoka kwa Ridhiwani Kikwete

    Ukweli ni kwamba Mbowe, Gwajima, Manji, Idd Azan, Ridhiwani etc ,kuhusu kuuza madawa ya kulevya hawajaanza kutajwa na RC Makonda tu. Tangu miaka 20 iliyopita jamii imekuwa ikisema club billicanas kilikuwa ni kituo kikubwa cha kusambaza madawa ya kulevya. Ridhiwani Kikwete tangu yuko shule...
  6. Lupyeee

    Wabunge wenye tuhuma wachunguzwe

    Iko wazi kuwa bunge ni mhimili unaojitegemea na ni sehemu ambayo sheria za nchi hutungwa. Kwa umuhimu huo, si busara kwa wabunge kuwa na hata tone la tuhuma zinazoenda kinyume na maadili ya Tanzania. Hivi karibuni zimetolewa tuhuma nzito zikielekezwa kwa baadhi ya wabunge wetu tuliowaamini...
  7. Lupyeee

    Mbowe: Waacheni waliofukuzwa CCM waje CHADEMA

    Chanzo: Gazeti la Tanzania daima
  8. Lupyeee

    Magufuli akihamia CHADEMA, utukufu atakaopewa na BAVICHA ni zaidi ya Papa

    Amani ya bwana. Baada ya kuondoka Dr. Slaa, CHADEMA ikaacha misingi na miiko ya chama na kuanza kuokoteza wana chama wenye tuhuma za ufisadi na Uuzaji wa madawa ya kulevya. Lowasa pamoja na kwamba amezeekea serikalini lkn hamna cha kukumbukwa nacho. Monduli ameacha wananchi wanakunywa maji...
  9. Lupyeee

    Wauza madawa ya kulevya wote mnauwa nguvu kazi ya taifa, shame on you

    Watuhumiwa na wauza madawa ya kulevya wote Mungu anawaona kwa kuuwa nguvu kazi ya taifa letu na siku ya mwisho mtachomwa moto. Cha ajabu kabisa wauza madawa ya kulevya ni viongozi wakubwa wa vyama vya siasa! Mnarubuni Vijana wetu kwa kuwalisha ngada na kugeuka mazezeta ambao hawawezi kupinga...
  10. Lupyeee

    Chadema jifunzeni nidhamu kutoka ccm.

    Leo vigogo wa usaliti wametimuliwa ccm licha ya kuwa na fedha na umaarufu mkubwa. Lowasa alikatwa ccm licha ya umarufu na fedha nyingi. Hivyo basi ccm, usipofuata maadili hata uwe na nguvu vipi utatimuliwa tu. Hali ni tofauti kwa chadema, watu wanatuhumiwa kula ruzuku na kuuza madawa ya...
  11. Lupyeee

    Kwa haya tunayoyafanya CHADEMA, Tukishika dola tutayafanya kwa kasi zaidi

    Amani ya bwana. Wahenga walinena kuwa nyota njema huonekana asubuhi, vile vile pia nyota mbaya huonekana asubuhi. Chadema tumeweza kufanya haya kwa nchi yetu kwa muda mfupi Sana mara tu baada ya Lowasa kujiunga na chama chetu,. Hata kabla ya kushika dola chadema tumekuwa na ujasiri wa...
  12. Lupyeee

    Hongera Mwakyembe: Nchi tano kuunganishwa na meli mpya Kyela

    Kwa miaka mingi tuliteseka sana kila tunapotaka kusafiri ziwa nyasa. Lakini kutokana na kuisha kwa ujenzi wa meli 3 chini ya usimamizi mahiri wa mbunge wetu Dr Mwakyembe tatizo hili limeisha sasa. Hongereni sana wana kyela. ======= Kaimu Mkuu wa Bandari ya Itungi - Kyela katika Ziwa Nyasa...
  13. Lupyeee

    Kuna haja ya kuendelea kuamini kuwa vita dhidi ya madawa ya kulevya ni ngumu,?

    Miaka yote tumekuwa tukiambiwa vita dhidi ya madawa ya kulevya ni ngumu sana, na haiwezekani kuishinda. Lakini kupitia mkuu wa mkoa wa Dar Paul Makonda ,tumejifunza kuwa vita ya dawa za kulevya siyo ngumu tukiwa serious. Hao wanaopiga tantarila kuwa hii vita ni ngumu hawako serious ni waongo...
  14. Lupyeee

    Nini maana ya kalenda ute na style ipi husaidia kutungwa mimba?

    Kwa wanaotaka kuzaa tu. Je, nini maana ya kalenda ute na style ipi husaidia kutungwa mimba? Karibuni wadau.
  15. Lupyeee

    CHADEMA tujisahihishe

    Kuna utafiti ulifanyika huko Uingereza na kubainisha kuwa Tanzania ndio nchi ya wanafiki zaidi duniani, mwanzoni nilipinga lakini tangu hili sakata la madawa ya kulevya lianze nimeamini utafiti ule ni kweli. Tangu zamani wapinzani hasa CHADEMA ndio walikuwa wakipiga kelele kuwa serikali ichukue...
  16. Lupyeee

    Kama wewe siyo mnufaika wa madawa ya kulevya kwa nini umlalamikie RC Makonda??

    Kuna utafiti ulifanyika huko uingereza na kubainisha kuwa Tanzania ndio nchi ya wanafiki zaidi duniani, mwanzoni nilipinga lakini tangu hili sakata lá madawa ya kulevya lianze nimeamini utafiti ule ni kweli. Tangu zamani wapinzani hasa chadema ndio walikuwa wakipiga kelele kuwa serikali ichukue...
  17. Lupyeee

    CCM Vs CHADEMA nani kutamba 2020??

    Kwa jinsi mikito ya kisiasa inavyoenda sasa hivi, mtu yoyote makini anaweza kutabiri upepo wa kisiasa utakavyokuwa kwenye uchaguzi kwa ngazi zote mwaka 2020. Kwa sasa ccm wanajitahidi kadiri ya uwezo wao kupambana na rushwa,ufisadi na madawa ya kulevya kwa nguvu zao zote. Elimu bure, serikali...
  18. Lupyeee

    Kitendo cha mateja kulalamika madawa ya kulevya yameadimika, RC Makonda ni Shujaa!!

    Watanzania wenzangu tangu taifa hili lipate uhuru miaka 50 iliyopita, viongozi wamekuwa wakipambana na madawa ya kulevya kupitia operation mbali mbali. Sokoine, Mrema na waziri mwakyembe wapo kwenye rekodi kama viongozi waliopambana vikali na biashara ya dawa za kulevya enzi zao...
  19. Lupyeee

    Upinzani tuweni makini, kazi ya kutetea watenda maovu nchini haitatupeleka Ikulu

    Ni jambo la kusikitisha sana sisi wapinzani tumejipa Kazi ya kutetea kila mtuhumiwa tukizani ndio wananchi wanachotaka kumbe ndio tunashusha hadhi ya upinzani mbele ya wananchi! Kitendo cha juzi cha upinzani kuungana na baadhi ya wabunge wa ccm, kutetea wauza madawa ya kulevya ni jambo la...
Back
Top Bottom