Lupyeee
JF-Expert Member
- Jun 28, 2016
- 2,683
- 2,820
Watuhumiwa na wauza madawa ya kulevya wote Mungu anawaona kwa kuuwa nguvu kazi ya taifa letu na siku ya mwisho mtachomwa moto.
Cha ajabu kabisa wauza madawa ya kulevya ni viongozi wakubwa wa vyama vya siasa! Mnarubuni Vijana wetu kwa kuwalisha ngada na kugeuka mazezeta ambao hawawezi kupinga maamuzi yoyote ya Mwenyekiti.
Hata mkiuuza chama kwa mafisadi Vijana wetu wanashangilia tu.
Chama hakina ofisi na ruzuku ya chama haijulikani inaenda wapi lakini kwa sababu ya ngada yenu Vijana wetu wanashangilia tu.
Wauza madawa ya kulevya wote, acheni kabisa hiyo tabia Mungu anawaona.