Kuna wakati mwanaume akashindwa kumpa ujauzito mwanamke sio sababu labda ya utasa kwa mwanamke au mwanaume bali mojawapo ya sababu za kutopata mimba/ujauzito mwanamke ni aina ya mitindo (style) za kufanya mapenzi. Na ili kuweza kumpa mwanamke ujauzito aina ya style zinazotakiwa ni zile ambazo uume kuweza kuingia ndani vizuri( deep penetration). Na hapa utaletewa baadhi ya mitindo (style) za kuwezesha mwanamke kupata ujauzito kwa urahisi.
1. Kutokea kwa nyuma
Hapa ni kama mwanume yupo nyuma ya mwanamke na akawa anaingiza uume ukeni. Yawezekana mwanamke akawa amelala kifudifudi, au amepiga magoti. Mtindo huu huweza kufanya uume kuingia ndani zaidi kwa urahisi kusababisha mbegu za kiume ziwe karibu na mlango wa kizazi ( kwa muibu wa research iliyofanywa na kuchapishwa na Journal of Sex & Marital Therapy )
2. Mtindo wa Mbwa Dog Style
Mojawapo ya mitindo ambayo uume huingia vizuri ni dog style. Mwanamke hupiga magoti huku ameshika mikono chini na mwenza wake huja kwa nyuma. Mbegu huweza kufikia yai kwa urahisi.
3. Kulala chali baada ya tendo la ndoa
Baada tu ya kumaliza tendo ni vyema mwanamke ukalala chali hii itasadia mbegu kuweza kuogelea vizuri kwenda kwenye yai kuliko kutembea tembea baada ya tendo. Unaweza ukalala kwa dakika 5 mpaka 10.
4. Uwepo wa mazingira mazuri ya mwenza
Hapa inamuhusu sana mwanamke. Ni vyema akawa anaiskia raha kipindi tendo la ndoa linaendelea kwa sababu humuwezesha kutoa maji maji mengi ukeni ambayo huwezesha mbegu za mwanume kuogelea kwa urahisi ili kulifikia yai.
Kumbuka: Hiyo mitindo ya tendo la ndoa huwezesha kushika ujauzito kama tu mwanamke atakua yupo kwenye siku zake za kupata ujauzito.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.