Kama wewe siyo mnufaika wa madawa ya kulevya kwa nini umlalamikie RC Makonda??

Lupyeee

JF-Expert Member
Jun 28, 2016
2,683
2,820
Kuna utafiti ulifanyika huko uingereza na kubainisha kuwa Tanzania ndio nchi ya wanafiki zaidi duniani, mwanzoni nilipinga lakini tangu hili sakata lá madawa ya kulevya lianze nimeamini utafiti ule ni kweli.
Tangu zamani wapinzani hasa chadema ndio walikuwa wakipiga kelele kuwa serikali ichukue hatua kali dhidi ya wauza madawa ya kulevya ikiwemo kuwataja hadharani.

Mbunge wa chadema Ester Bulaya aliwahi kusimama na kulia bungeni kuwa Vijana wa taifa hili wanaangamia kwa mihadarati, alimtolea mfano mdogo wake ambaye yupo mwananyamala akitibiwa baada ya kuathirika vibaya na matumizi ya mihadarati!.

Naama, hatimaye serikali iliitikia wito wa wapinzani na watanzania kwa ujumla, kupitia RC Makonda serikali ilianza kuchukua hatua kali ikiwemo kuwataja hadharani wauzaji na watumiaji wa mihadarati.

Cha ajabu kabisa na kwa unafiki wa kiwango cha PhD chadema wameibuka na kupinga juhudi za Rc Makonda !!!!

Wabunge wa chadema ikiwemo Ester Bulaya ambaye mdogo wake amekuwa zezeta sababu ya madawa ya kulevya wameibuka kupaza sauti kwamba kutokana na kupambana vikali na biashara ya dawa za kulevya basi RC Makonda atumbuliwe!!
Eti wanamuomba rais atengue uteuzi wake!!!!

Kama siyo mnufaika wa madawa ya kulevya kwa nini upinge na kulalamikia kukomeshwa kwa biashara ya mihadarati??

In short wote wanaolalamika ni wanufaika wa biashara ya madawa ya kulevya, ila ni unafiki tu ulikuwa unawasumbua hadi kuililia serikali ikomeshe biashara hii haramu..
 
Upo sahihi mkuu...leo hii hata askofu anamsikiliza mtuhumiwa wa madawa ya kulevya akipotosha maneno ya mtuhumu
 
kuna uhusiano gani kati ya Makonda na madawa ya kulevya?? au huyu mtu hamuyajui hata majukumu yake??
 
Una umri gani ndugu?
Uhusiano ni huu....
Makonda alianza kuchukiwa baada ya kuwataja hadharani vigogo wanaojihusisha na biashara ya dawa za kulevya ndani ya list hiyo yumo Freeman Mbowe na maaskofu kama Gwajima.
Mara baada ya list hiyo kutoka jamii ya upinzani na wauza ngada haijawahi kumpumzisha kwa dhihaka ,matusi,uzushi na kila aina ya kadhia ...kwa kifupi makonda anaandamwa na genge la wauza ngada.
Baada ya list hii Serikali ime step up juhudi za kupambana na wauza ngada kwa mafanikio makubwa sana.
 
Nonsense

Hivi kuna uhusiano gani kati majukumu ya RC na Vita ya madawa ya kulevya??

Hivi "kuwasingizia" kina Mbowe na Gwajima kuwa wanajihusisha na dawa za kulevya, ndiyo unampa "credit" kwa hilo??
 
Kuna utafiti ulifanyika huko uingereza na kubainisha kuwa Tanzania ndio nchi ya wanafiki zaidi duniani, mwanzoni nilipinga lakini tangu hili sakata lá madawa ya kulevya lianze nimeamini utafiti ule ni kweli.
Tangu zamani wapinzani hasa chadema ndio walikuwa wakipiga kelele kuwa serikali ichukue hatua kali dhidi ya wauza madawa ya kulevya ikiwemo kuwataja hadharani.

Mbunge wa chadema Ester Bulaya aliwahi kusimama na kulia bungeni kuwa Vijana wa taifa hili wanaangamia kwa mihadarati, alimtolea mfano mdogo wake ambaye yupo mwananyamala akitibiwa baada ya kuathirika vibaya na matumizi ya mihadarati!.

Naama, hatimaye serikali iliitikia wito wa wapinzani na watanzania kwa ujumla, kupitia RC Makonda serikali ilianza kuchukua hatua kali ikiwemo kuwataja hadharani wauzaji na watumiaji wa mihadarati.

Cha ajabu kabisa na kwa unafiki wa kiwango cha PhD chadema wameibuka na kupinga juhudi za Rc Makonda !!!!

Wabunge wa chadema ikiwemo Ester Bulaya ambaye mdogo wake amekuwa zezeta sababu ya madawa ya kulevya wameibuka kupaza sauti kwamba kutokana na kupambana vikali na biashara ya dawa za kulevya basi RC Makonda atumbuliwe!!
Eti wanamuomba rais atengue uteuzi wake!!!!

Kama siyo mnufaika wa madawa ya kulevya kwa nini upinge na kulalamikia kukomeshwa kwa biashara ya mihadarati??

In short wote wanaolalamika ni wanufaika wa biashara ya madawa ya kulevya, ila ni unafiki tu ulikuwa unawasumbua hadi kuililia serikali ikomeshe biashara hii haramu..
Kama hawaioni vile..
 
Hivi bado tu mnataka kusema huyu jamaa anachukiwa sababu ya Vita ya madawa ya kulevya kweli.

Uliiona Ile picha juzi alipiga South Africa? Uliona alipiga na Nani?

Bashiru nae ni msambazaji wa madawa? Mbona ndio alimmaliza kabisa huyu jamaa pale madhabahuni?
 
Kuna utafiti ulifanyika huko uingereza na kubainisha kuwa Tanzania ndio nchi ya wanafiki zaidi duniani, mwanzoni nilipinga lakini tangu hili sakata lá madawa ya kulevya lianze nimeamini utafiti ule ni kweli.
Tangu zamani wapinzani hasa chadema ndio walikuwa wakipiga kelele kuwa serikali ichukue hatua kali dhidi ya wauza madawa ya kulevya ikiwemo kuwataja hadharani.

Mbunge wa chadema Ester Bulaya aliwahi kusimama na kulia bungeni kuwa Vijana wa taifa hili wanaangamia kwa mihadarati, alimtolea mfano mdogo wake ambaye yupo mwananyamala akitibiwa baada ya kuathirika vibaya na matumizi ya mihadarati!.

Naama, hatimaye serikali iliitikia wito wa wapinzani na watanzania kwa ujumla, kupitia RC Makonda serikali ilianza kuchukua hatua kali ikiwemo kuwataja hadharani wauzaji na watumiaji wa mihadarati.

Cha ajabu kabisa na kwa unafiki wa kiwango cha PhD chadema wameibuka na kupinga juhudi za Rc Makonda !!!!

Wabunge wa chadema ikiwemo Ester Bulaya ambaye mdogo wake amekuwa zezeta sababu ya madawa ya kulevya wameibuka kupaza sauti kwamba kutokana na kupambana vikali na biashara ya dawa za kulevya basi RC Makonda atumbuliwe!!
Eti wanamuomba rais atengue uteuzi wake!!!!

Kama siyo mnufaika wa madawa ya kulevya kwa nini upinge na kulalamikia kukomeshwa kwa biashara ya mihadarati??

In short wote wanaolalamika ni wanufaika wa biashara ya madawa ya kulevya, ila ni unafiki tu ulikuwa unawasumbua hadi kuililia serikali ikomeshe biashara hii haramu..
Upo sahihi kbs lkn pia lazima ujue tofauti ya vita ya dawa za kulevya na tofauti vita ktk upinzani wa upinzani wa biashara ya dawa za kulevya...
IMG-20190421-WA0000.jpeg
 
Una umri gani ndugu?
Uhusiano ni huu....
Makonda alianza kuchukiwa baada ya kuwataja hadharani vigogo wanaojihusisha na biashara ya dawa za kulevya ndani ya list hiyo yumo Freeman Mbowe na maaskofu kama Gwajima.
Mara baada ya list hiyo kutoka jamii ya upinzani na wauza ngada haijawahi kumpumzisha kwa dhihaka ,matusi,uzushi na kila aina ya kadhia ...kwa kifupi makonda anaandamwa na genge la wauza ngada.
Baada ya list hii Serikali ime step up juhudi za kupambana na wauza ngada kwa mafanikio makubwa sana.
inawezekana nina umri mkubwa sana kuliko wewe, kati ya hao 'vigogo' wote waliotajwa na nani alifikishwa mahakamani na kukutwa na hatia?? kama hakuna kwanini unafurahia 'futile work' ?
 
Back
Top Bottom