Chadema jifunzeni nidhamu kutoka ccm.

Lupyeee

JF-Expert Member
Jun 28, 2016
2,683
2,820
Leo vigogo wa usaliti wametimuliwa ccm licha ya kuwa na fedha na umaarufu mkubwa.

Lowasa alikatwa ccm licha ya umarufu na fedha nyingi.

Hivyo basi ccm, usipofuata maadili hata uwe na nguvu vipi utatimuliwa tu.

Hali ni tofauti kwa chadema, watu wanatuhumiwa kula ruzuku na kuuza madawa ya kulevya lkn bado wamekumbatiwa na kutetewa na bavicha.

Mafisadi chadema mjisahihishe katika hili na kujifunza maadili kutoka ccm.

Miiko ya chama lazima ifuatwe.
 
Anzeni kuwatimua hawa ndio mtaaminika

Chenge
Tibaijuka
Ridhiwan
Kinje

Msisingizie ukawa imekumbatia ufisadi wakati nyie mnao
We watukane tu,
Wakihamia Chadema watapewa utakaso ambao hata papá hajawahi kupewa.

Na wewe nyumbu Utakuja kuwasafisha hapa na kuwapa hadhi ya kugombea urais
 
Naona Mumeamua Kujifariji na Bado Si Tumetulia Tunachochea tu Muda si Mrefu Moto Utawaka Furaha yangu Kuona ccm Inavunjika Vipande Vipande
 
Back
Top Bottom