Bar za Tabata zinajaa sana, Magufuli endelea kukaza

Lupyeee

JF-Expert Member
Jun 28, 2016
2,683
2,820
Tabata kuna bar mpya zimefunguliwa mfano The great Park, 40 by 40, kwetu pazuri, kwa kweli zinajaza sana watu.

Ukitembelea hizi bar alafu ukasikia mtu analalamika hela imepotea mfukoni hautamwamini kamwe.

Watu wanapiga mitungi kama kawa mpaka majogoo.
 
Hata hela ipotee vipi, bar zitajaa. Ulevi ni 'escapism" kwa hiyo maisha yanavyozidi kukusumbua na uendaji wa bar ndivyo unavyoongezeka. Kama utajiri ndio ulevi basi 1st world countries wangekuwa wanakunywa asubuhi na mkate
 
Njoo Arusha uone watu wakigonga monde chalii...hata akaze hadi kamba ikatike bado baa tutazijaza tuu
 
kweli zinajaa, hasa the great park, swali je huwa wanapiga maji kweli au kujaza viti tu bia 3 mpaka kuchere mha ha a a
 
Tabata kuna bar mpya zimefunguliwa mfano The great Park, 40 by 40, kwetu pazuri, kwa kweli zinajaza sana watu.

Ukitembelea hizi bar alafu ukasikia mtu analalamika hela imepotea mfukoni hautamwamini kamwe.

Watu wanapiga mitungi kama kawa mpaka majogoo.
Kwa hyo we unatakaje!acha wivu wa kike

Ova
 
Tabata kuna bar mpya zimefunguliwa mfano The great Park, 40 by 40, kwetu pazuri, kwa kweli zinajaza sana watu.

Ukitembelea hizi bar alafu ukasikia mtu analalamika hela imepotea mfukoni hautamwamini kamwe.

Watu wanapiga mitungi kama kawa mpaka majogoo.
Dah.... Acha kupotosha umma bana..... Kilichobanwa pesa ya mazabe....... Kama ulikuwa unapiga kihalali kwa jasho mbona michongo imebaki PALEPALE
 
Tabata kuna bar mpya zimefunguliwa mfano The great Park, 40 by 40, kwetu pazuri, kwa kweli zinajaza sana watu.

Ukitembelea hizi bar alafu ukasikia mtu analalamika hela imepotea mfukoni hautamwamini kamwe.

Watu wanapiga mitungi kama kawa mpaka majogoo.
Ww sema una roho mbaya... inakusumbua. Watu wakinywa bia zao mpaka kesho.. ww inakuuuma nn...? Kama una uwezo ni wewe... acha uchawi
 
Uchumi wa marekani uko juu kwasababu ya consumerism,

kadri unavyofakamia kwa kasi ndo pia unachangamsha uzalishaji zaidi na hivyo ajira zaidi,

kama watu wanajaa sana pale,ina maana bia zitanyweka sana ,mishikaki italika sana,kuku watatafunwa sana etc,
hapo umeongeza ajira kwa muuza mkaa,muuza nyanya,karoti,kitunguu,chumvi na kabichi,
mafuta ya kula,
umeongeza ajira kwa wakulima wa vitu hivyo na wabeba mizigo wanaoushusha bia,viwanda vya bia vinaongeza uzalishaji,watu wanapata ajira na kupeleka watoto shule,mwenye shule nae amepata kipato tokana na kodi hiyo,
changudoa nae kapata ajira na pesa analipa pango ,analipa ada za watoto na anatuma hela za kulimia kijijini etc.

Kama sizonje hajui hili mumueleweshe
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom