Mbowe: Waacheni waliofukuzwa CCM waje CHADEMA

Lupyeee

JF-Expert Member
Jun 28, 2016
2,683
2,820
index.jpeg

Chanzo: Gazeti la Tanzania daima
 
Dah!!! Hiyo kweli ni CDM ya miaka ileeeeee!!! au mleta uzi ni Ccm, hata hivyo sishangai kama walimpokea EL yawezekana ikawa hivo, sasa mtu kama S. Simba ataleta nini cha ziada ndani ya chama, CDM tunataka watu wapya wenye mawazo mbadala!!!
 
Utawapata wapi hao watu mkuu.

HATA YESU HAKUJA NA WATU WAKE WAPYA KUTOKA MBINGUNI!!!!

Aliwatumia hawahawa miongoni mwetu tena waliokuwa kinyume na yeye zaidi kama SAULI.
 
Chadema tunahitaji kuwa na wanachama wengi pamoja na wale wanaotuunga mkono nikiwa na maana kwamba wapenzi na hasa wapiga kura bila kujali cheo chake wala elimu yake,tunachohitaji ni wapiga kura hayo mengine ya kuwa jalala yakwenu,walipokuwa CCM walikuwa wazuri,ila kuja Chadema ndiyo wawe wachafu? karibuni saaaaana wote mnaopenda mabadiliko ya kweli.
 
Mmesahau Wolper alipokelewa na mwenyekiti wenu sio? Ccm akili zenu mnazijua wenyewe
 
Chadema tunahitaji kuwa na wanachama wengi pamoja na wale wanaotuunga mkono nikiwa na maana kwamba wapenzi na hasa wapiga kura bila kujali cheo chake wala elimu yake,tunachohitaji ni wapiga kura hayo mengine ya kuwa jalala yakwenu,walipokuwa CCM walikuwa wazuri,ila kuja Chadema ndiyo wawe wachafu? karibuni saaaaana wote mnaopenda mabadiliko ya kweli.
Bada yakuenda kinyume na taratibu na kanuni za chama ndo ndo wakawa wameingia DOA at a paka uhazibiwa pale anapo kunya tunaposema chadema nikama shimo lakutupia taka atukosei
 
Dah!!! Hiyo kweli ni CDM ya miaka ileeeeee!!! au mleta uzi ni Ccm, hata hivyo sishangai kama walimpokea EL yawezekana ikawa hivo, sasa mtu kama S. Simba ataleta nini cha ziada ndani ya chama, CDM tunataka watu wapya wenye mawazo mbadala!!!
EL alikuwa na mawazo mbadala au pesa mbadala?
 
Kwani hao akina Machali na Arfi ni takataka kwa mjibu wa msimamo wako
Humu ndani kuna watu wanajifanya kutapika maneno ya ajabu sana kwa wanasiasa, wakati wao wenyewe mama zao wameolewa na kuachika mara kadhaa, je na hao mama nao ni takataka? Wengine humu wameoa wanawake waliokwishazaa na kuachika, je nao wameoa takataka na hivyo wao ni dampo? Tuache maneno ya kijinga na kejeli kwa masuala ya kimfumo, hakuna ajuaye kesho
 
Kweli vyama vya siasa ni sawa na club za mpira wanasiasa ndo wachezaji huku nje wanachama wakitupiana vijembe na wachezaji wakiama timu. hakuna mabadiliko zaidi ya kutafuta uzoefu wa kuongoza ki Ccm kupitia wale waliofukuzwa kama watajiunga nao.
 
Back
Top Bottom