Lupyeee
JF-Expert Member
- Jun 28, 2016
- 2,683
- 2,820
Miaka yote tumekuwa tukiambiwa vita dhidi ya madawa ya kulevya ni ngumu sana, na haiwezekani kuishinda.
Lakini kupitia mkuu wa mkoa wa Dar Paul Makonda ,tumejifunza kuwa vita ya dawa za kulevya siyo ngumu tukiwa serious.
Hao wanaopiga tantarila kuwa hii vita ni ngumu hawako serious ni waongo tupu na ni wahusika wa biashara hiyo.
Mapambano ya ndani ya wiki moja tu yaliyoongozwa na Paul Makonda yamethihirisha kuwa vita ya dawa za kulevya siyo ngumu tena.
Ndani ya wiki moja yametokea haya.
1.Vigogo /mapapa wa biashara ya mihadarati wametajwa hadharani.
Siku zote walitajwa dagaa tu
2. Kila nyingi za madawa zimekamatwa
3. Zaidi ya hekari 500 za bangi zimekamatwa na kufyekwa.
4. Mateja wawili Mwanza wamekosa madawa ya kulevya hadi kufariki dunia.
5.Madawa ya kulevya yamepungua Dar hadi mateja wanajisalimisha wenyewe hospital kwa matibabu.
6. Bandari kubwa bubu za kuingizia madawa ya kulevya zimegundulika na kufungwa ikwemo ile kubwa kabisa kuliko zote kule Tanga.
7. Mateja wamepungua makao makuu ya chadema pale ufipa.
Sasa kama mafanikio haya yamepatikana ndani ya wiki moja,
Je bado tuendelee kuamini kuwa vita dhidi ya madawa ya kulevya ni ngumu sana??
Tafakari.