Jakaya Kikwete, njia ya muongo na mnafiki ni fupi. Wameshasahau tayari

Lupyeee

JF-Expert Member
Jun 28, 2016
2,683
2,820
KURASA ZA CHUMA...DIBAJI YA MAWE.

Ni ngumu sana kujifunza kuandikia Mashoto ndani ya Mitihani ya kuhitimu (Final Exams) inabidi uwe umejizoesha tangu awali.

JK is One of the Best Politician of all around, na pia Rais Mstaafu wa JMT, leo sijadili Mazuri au Mabaya yake bali haiba, Ucheshi na Upole wake...na ukitaka kuutambua vizuri upole wa mtu ni lazima kwanza u-experience "Ukauzu"....ndio maana leo utasikia wale wale waliokuwa Wakimtukana Mzee wa kikwere ndio wanapiga makelele.

Ukimya wa JK ndio Wengi waliutumia kumuhukumu nao wakati akiwa Rais wa JMT, ...Wakaiba walivyoweza...Nchi wakaita shamba la bibi..Wakapiga Dili walivyoweza..Wakatengeneza Michongo waliyoiweza wao na Familia zao...lakini kama vile haitoshi wakamtukana na kumdhihaki JK vile walivyotaka huku wakimuita Rais dhaifu na kadhalika...na kwa unafiki Mkuu wakajitia wanatamani Rais Dikteta!..na wengine wakaenda Mbali kumtamani Rais wa Korea Kaskazini.

J.K alikuwa ni Rais na Amiri jeshi mkuu mwenye madaraka ya juu kabisa ktk nchi hii,.anayelindwa na Katiba hii inayompa Mamlaka makubwa ambayo angeweza kuyatumia vila atakavyo..lakini hakujali matusi na mengi alipuuzia, alikubali kuwe Muhanga wa kudhihakiwa na kutukanwa na akijua wazi muda utasema.

Na kwa kuwa walisema yeye ni Rais dhaifu, asiyechukua hatua, anayewachekea n.k..ndipo sasa akatuletea CHUMA!....I mean "CHUMA kilichopo hapa Ikulu ya MAGOGONI muda huu,...Mirija imezibwa...Vibaka wameshikwa Koromeo...Wauza Unga wanasaga meno....Chuma kinanyoosha nchi!..wanapiga kelele kama ndama!.

JK wakati anaondoka alisema wazi "Mimi naondoka, mlisema mimi mpole, sasa nimeleta Chuma hiki"...na kana kwamba haitoshi akasema "Kila zama na kitabu chake"...akaondoka zake...Chuma kikaingia kazini.

Siku ya kwanza Kazini JPM akaanza na Management by Walking Around (MBWA)..akashusha Mbwa wakali kunusa Wizara ya Fedha....watu wakasema "anaigiza huyo!"...sasa leo 2017 igizo limekuwa Isidingo?..Mbona mnabweka?....mtulie "Bado"

Watu wakapinga hata ununuzi wa ndege kufufua ATC,.ndege zikaja wakaita "Pangaboi" akiwemo zitto ambaye akasisitiza ni "Reject" hazifai!...Wakaenda mbali kwa kusambaza picha za ndege za zamani zilizoanguka kwamba Raia watishike wasipande..lengo likaferi..halafu hao hao wanahoji eti oo hizi bilioni 8 kwa hizi ndege mbili tunaomba mchanganuo wake !...Vituko!

Wapo wanaocheka sera ya Viwanda...kwamba wanauliza viwanda viko wapi kana kwamba Viwanda ni Vyandarua vya UNICEF unasambaza...thats Means hii inaonyesha namna gani watu hawataki fedha zielekezwe kwenye miradi itakayogusa future Generation, yaani kiwanda kitakachozinduliwa 2021 hawataki...Fly Overs zitakazozinduliwa 2018 hawataki...Kiwanda cha nguo kitakachokamilika 2018 hawataki ...madaraja hawataki...wanataka vitu vianguke kama mabibo juu ya mkorosho...kwamba Viwanda wanaita ''Vi-Wonder"..just hitting their own backbones...who cares?

Most of Wanahabari wamekuwa mateja wa udaku, wanasema Uhuru unaminywa...Uhuru wa Manyani..hivi kuna mtu kawakata kuandika"MADAWA YA KULEVYA NI HATARI"on front page?..kutwa ni ku-attack personality za watu kuliko maslahi ya taifa...hawa nao wanamkumbuka JK ambaye walijisikia huru kumuandika kwa namna wanayotaka na wengine bila staha na Adabu....halafu njaa yao nayo inawafanya wanatofautiana misimamo!..leo wanasema Papai..kesho Tango...hii ni ishara ya kwamba kuna influence nyuma yao..tena inayohitaji TAKUKURU!

Mara hakuna anayeweza kugusa Madini hakuna!...Sasa yameanza kuguswa Vibaka nao wanabweka!...no support at all kwamba huyu Rais aliyejitoa Muhanga tumuunge Mkono!...JPM go on!...Thanks JK kwa kuleta Chuma hiki.....

[HASHTAG]#SISI[/HASHTAG] WATANZANIA HUWA HATUELEWEKI AKILI NA UFAHAMU WETU HUWA UNATAKA NINI?

C&P
 
Kitu cha kipuuzi kabisa. Wafu wanaendelea kuzikana. Kama unampenda sana kikwete nenda kaishi naye. Ninyi ndo mliokuwa wezi mnafaidika kipindi chake. Sasa mna hard time. Hata wana ISRAEL WALIPOTOKA UTUMWANI MISRI KUNA KIPINDI WALIKUMBUKA UTUMWANI.
 
Hahahahahaha
 
Umeandika Vizuri ila subiri nyani waje humu na kukushambulia.... WATASHINDWA ULTIMATELY
 
Mkuu Mimi simuiti chuma maana chuma kwa kiingereza ni iron.Mimi mheshimiwa namuita MILD STEEL sijui kwa kiswahili.Mkuu ameleta heshima ya kila kitu.Muda si mrefu Nina imani kila kitu kitakuwa sawa.
 
Nakuunga mkono eweee shujaa wa kweli, nafikiri sisi watz tunajisahau sana, ni sisi tuliomba raisi dickteta, Mungu katupa leo hii kelele kila kona, Kwa haya na mengineyo yote...namsupport magufuri.God bless him forever!
 
Kuna Mtu anatania l Jk ndio Fundi wa Siasa za Fitna Bongo!

Nape Kajichanganya Nafasi yake imezibwa na Salma Kikwete kwny Mkoa wa Lindi na Maisha yanaendelea

JK sungura sungura sana, akikutuma changanya na akili zako anaweza akakuacha Niia panda yeye akachukua Boda Boda akarud home kusoma upepp kwanza

Lowassa na Rostam wanaweza kuandika kitabu kwny hilo
 
Mkuu Mimi simuiti chuma maana chuma kwa kiingereza ni iron.Mimi mheshimiwa namuita MILD STEEL sijui kwa kiswahili.Mkuu ameleta heshima ya kila kitu.Muda si mrefu Nina imani kila kitu kitakuwa sawa.
Never hope....new regime hope labda wakati wa jk
 
KURASA ZA CHUMA...DIBAJI YA MAWE.

Ni ngumu sana kujifunza kuandikia Mashoto ndani ya Mitihani ya kuhitimu (Final Exams) inabidi uwe umejizoesha tangu awali.

JK is One of the Best Politician of all around, na pia Rais Mstaafu wa JMT, leo sijadili Mazuri au Mabaya yake bali haiba, Ucheshi na Upole wake...na ukitaka kuutambua vizuri upole wa mtu ni lazima kwanza u-experience "Ukauzu"....ndio maana leo utasikia wale wale waliokuwa Wakimtukana Mzee wa kikwere ndio wanapiga makelele.

Ukimya wa JK ndio Wengi waliutumia kumuhukumu nao wakati akiwa Rais wa JMT, ...Wakaiba walivyoweza...Nchi wakaita shamba la bibi..Wakapiga Dili walivyoweza..Wakatengeneza Michongo waliyoiweza wao na Familia zao...lakini kama vile haitoshi wakamtukana na kumdhihaki JK vile walivyotaka huku wakimuita Rais dhaifu na kadhalika...na kwa unafiki Mkuu wakajitia wanatamani Rais Dikteta!..na wengine wakaenda Mbali kumtamani Rais wa Korea Kaskazini.

J.K alikuwa ni Rais na Amiri jeshi mkuu mwenye madaraka ya juu kabisa ktk nchi hii,.anayelindwa na Katiba hii inayompa Mamlaka makubwa ambayo angeweza kuyatumia vila atakavyo..lakini hakujali matusi na mengi alipuuzia, alikubali kuwe Muhanga wa kudhihakiwa na kutukanwa na akijua wazi muda utasema.

Na kwa kuwa walisema yeye ni Rais dhaifu, asiyechukua hatua, anayewachekea n.k..ndipo sasa akatuletea CHUMA!....I mean "CHUMA kilichopo hapa Ikulu ya MAGOGONI muda huu,...Mirija imezibwa...Vibaka wameshikwa Koromeo...Wauza Unga wanasaga meno....Chuma kinanyoosha nchi!..wanapiga kelele kama ndama!.

JK wakati anaondoka alisema wazi "Mimi naondoka, mlisema mimi mpole, sasa nimeleta Chuma hiki"...na kana kwamba haitoshi akasema "Kila zama na kitabu chake"...akaondoka zake...Chuma kikaingia kazini.

Siku ya kwanza Kazini JPM akaanza na Management by Walking Around (MBWA)..akashusha Mbwa wakali kunusa Wizara ya Fedha....watu wakasema "anaigiza huyo!"...sasa leo 2017 igizo limekuwa Isidingo?..Mbona mnabweka?....mtulie "Bado"

Watu wakapinga hata ununuzi wa ndege kufufua ATC,.ndege zikaja wakaita "Pangaboi" akiwemo zitto ambaye akasisitiza ni "Reject" hazifai!...Wakaenda mbali kwa kusambaza picha za ndege za zamani zilizoanguka kwamba Raia watishike wasipande..lengo likaferi..halafu hao hao wanahoji eti oo hizi bilioni 8 kwa hizi ndege mbili tunaomba mchanganuo wake !...Vituko!

Wapo wanaocheka sera ya Viwanda...kwamba wanauliza viwanda viko wapi kana kwamba Viwanda ni Vyandarua vya UNICEF unasambaza...thats Means hii inaonyesha namna gani watu hawataki fedha zielekezwe kwenye miradi itakayogusa future Generation, yaani kiwanda kitakachozinduliwa 2021 hawataki...Fly Overs zitakazozinduliwa 2018 hawataki...Kiwanda cha nguo kitakachokamilika 2018 hawataki ...madaraja hawataki...wanataka vitu vianguke kama mabibo juu ya mkorosho...kwamba Viwanda wanaita ''Vi-Wonder"..just hitting their own backbones...who cares?

Most of Wanahabari wamekuwa mateja wa udaku, wanasema Uhuru unaminywa...Uhuru wa Manyani..hivi kuna mtu kawakata kuandika"MADAWA YA KULEVYA NI HATARI"on front page?..kutwa ni ku-attack personality za watu kuliko maslahi ya taifa...hawa nao wanamkumbuka JK ambaye walijisikia huru kumuandika kwa namna wanayotaka na wengine bila staha na Adabu....halafu njaa yao nayo inawafanya wanatofautiana misimamo!..leo wanasema Papai..kesho Tango...hii ni ishara ya kwamba kuna influence nyuma yao..tena inayohitaji TAKUKURU!

Mara hakuna anayeweza kugusa Madini hakuna!...Sasa yameanza kuguswa Vibaka nao wanabweka!...no support at all kwamba huyu Rais aliyejitoa Muhanga tumuunge Mkono!...JPM go on!...Thanks JK kwa kuleta Chuma hiki.....

[HASHTAG]#SISI[/HASHTAG] WATANZANIA HUWA HATUELEWEKI AKILI NA UFAHAMU WETU HUWA UNATAKA NINI?

C&P
Ushauri wako kwao ni upi sasa mbona porojo tu
 
Back
Top Bottom