Search results

  1. kalooo

    Nguvu ya Uongo Inautafunaga Ukweli?

    Je Ukweli Ni nini? Utengamano baina ya uthibitisho na uhalisia?hayakuwa mafunuo ila kufunika mpaka juu. Au Ni wingi wa ushahidi wa Wengi zidi ya Jambo? Au Kusema Jambo lisivyo kwa namna Jambo lilivyokuwa? Je ukweli ukichanganywa na uongo hubaki ukweli? Nataka kujua mamah! Hapa Tulipo baadhi...
  2. kalooo

    Sanduku la Agano ni ushindi kwa Taifa

    Habari,Afrika !!! Kwanza Nianze kwa Kusema,Yupo Njiwa mpya, katika Nyumba mpya, aliyetolewa mbawa zake Ili apajue kwa mtunzaji wake,aliyebakiziwa mbili kulia na kushoto,Ategemeaye kupaa kila sehemu hapo mbawa zitakapoota,Na mtunzaji wa nyumba yake kazungushia zile mbawa kwa kuzichomeka kwa juu...
  3. kalooo

    Mji-mjini ya mawe ni wa daima

    Hizi ni Himizo za mwisho na salamu kwa watu wote. Kwa watanzania, watu wote,viumbe vyote,walio hai na walio pumzika,Ipo kwenu na iwazi sasa,(waebrania12;3), [webrania13;22-25].[/B] Mimi mlango wangu, ambao ni wenu, kwetu sasa, ni ule mwembamba sana, wa juu kabisa mwishoni mwa yote.Humo ndimo...
  4. kalooo

    Nape Nnauye na ushindi wa Panzi

    Katika watu Ambao Wengi tunawakumbuka Kwa Masuala ya Uchaguzi Ni Ndugu Nape Moses Mnauye. Wengi akitajwa Hukumbuka Nyakati za Goli la mkono Katika Mbingu ya nne Kama si Mlango wa Nne uliojaa ubinadamu kwa ukaribu Kama Kumtambua Chui jike Wa kirimanjaro Binti Yake Majaliwa na Bwana dubu muenzi...
  5. kalooo

    Barua ya Malkia Elizabeth, Kambarage kaisoma

    Kambarage Wa butyama Yule baba Kashindikana,Upeo wake wengi Wajitafte,Sioni Hata mmoja kwa Chadema wajiitao wenye kichwa Chambuzi na Ishara Yao ya vidole viwili Kama wataweza kuwa na Akili ya Subira ya Katiba mpya inahitaji nini Maana, Kambarage Wa butyama Kashindikana kwa Kila Kitu ila Sioni wa...
  6. kalooo

    Nilijua nimewakimbia Katoliki

    Maisha ni hatua iliyojaa Mafumbo Mazito na yenye ukweli wa kuweza Kuaminiwa Badae. Yapo Makanisa Mengi ila Kanisa Katoliki duh huwezi Ukalikimbia popote,Utajishebedua tu kumbe wew ni Mkatoliki mzuri tu kuliko Hata hao wa kipaimara. Kanisa hili Lina jina kuu la Mama la Makanisa,halijazuka tu...
  7. kalooo

    Tanzania na Taa itembeayo

    Taa Ni neno asili la kile kitoacho Mwanga kwa ajili ya Watu Kuona,Au kuelewa kinachoendelea.Taa hii Ndo iliifanya Tanzania ikawa na Lugha moja Nzuri kutoka kwa Wahenga wetu inayounganisha Umoja wetu,Mfano Katika Habari dk 5 chombo kitaruka kote na Watu watalipokea Jambo na Kulielewa...
  8. kalooo

    Mimi ni nani? Siri ya 2085

    Mimi Ni Nani,Ni siri nzito na fumbo Kubwa Yote yako Chini,Chini ya Bendera.Wapi? Ebu kuta unajisoeza kwanza na NATURAL MYSTIC-BOB MARLEY Alafu tukapakue(Meza ya Coco the Rasta-alpha, Mhubiri6;9-10.) Hapa Kenya,Kenya ya kufunga,Hapa Uganda,Uganda ya ule Moto,Hapa mashariki,Mashariki ya ile...
  9. kalooo

    Niko Jangwani Nashukuru Maji Msimbazi

    Kula uonacho,Chukueni BC yenu NIELEWENI,Nipeni AD Maua yangu NIELEWENI, kweli bila kufunika kikombe mwanaharamu haipiti,zililongwa mbali na zikatendwa Mbali,Sikia kazi yake ili kazi iendelee. Na Ni Bora zaidi Kama kazi inaendelea,Basi yamefumbwa Mengi,Mengine Sababu Ni Nchi na dunia inahitaji...
  10. kalooo

    Siku za Watawala kukaa Madarakani

    Hivi naomba msaada, Hayati Magufuli alikaa siku 2300 hadi umauti, hii miradi kasi unaonaje tungempa Siku 1290 kufika 2025 uchaguzi ama tukampa tena siku 3335 kufika 2034 Kama mapenzi yetu(baadhi) ya Kwanza kuwa amalizie tu awe wa milele. Nakumbuka Dr. Peter Slaa akiwa Clouds media 2018 alisema...
  11. kalooo

    Welcome champion/ winner True boy

    Nayi wa Mitego si mitego Kama ya Mwanamke ambaye Sulemani Katika Mhubiri kamzungumxia Eti lipo la uchungu kupita yote mwanamke ambaye Ni Mitego na Mikono yake Ni vifungo Yeye aliye na imani atamporochoka ila Yeye asiye na Mungu atanaswa naye. Najua wamvumilia Yule Mwanamke ajiitaye nabii...
  12. kalooo

    2012 as Pasword

    The wonderful Password,Give me a Pasword,a word of middle East. A wonderful Number,A number of Pale Ni katikati ya Yule Muungwana aliyebalance idadi yao juu na Chini yaani alipiga tatu bila mbele yao na nyuma yao akijijenga Chamani, Sasa Kingemfiaje na Kuruhusu Kichwa Chambuzi Kutumia Nguvu...
  13. kalooo

    Ngulika Nguli

    Sema:Hakuwa yeye (Isa) ila mtumwa tuliyemnemesha na tukamfanya mfano wa bana israel,hakika Yeye Ni dalili za alama za kiyama,( 1Timotheo12-19,Waraka wa waebrania7,Isaya 53, Mhubiri4;15,2wakorinto12,Kuran66). Aliyekuwa adui wa Jibril Huyo ndo aliyeiteremsha kuran Moyoni mwako kwa idhini ya...
  14. kalooo

    Yachukueni na hayaa yafaa kwa kesho yenu

    BARUA KWA ROSE. Yah;Mbali na nyumbani na Kudra za Wazee. Naam, nakuomba Husika na kichwa Cha habari kilicho Hapo juu. Mimi Rafiki na ndugu yako, Kaka yako Bathoromayos (mama) na Toma(baba+Kaijage mwalimu) na watu wote Katika Taifa moja la Kusadikika na dunia moja ya Mungu Baba mmoja. Kama...
  15. kalooo

    Aonavyo mtu

    Basi nikaona niulize maana ya hayo yakuwa yana maana gani badae, yeye akanambia yasome vizuri alafu uyaseme kwao maana hayana budi kutokea (habakuki 2~4) basi nikaona kama mnyama simba aliyeinuliwa kwa miguu miwili kisha akafunikwa na manyoya ya ajabu yaliyochafuka na watu baada ya mda wake...
  16. kalooo

    House4Rent Vyumba kupanga kwa wanafunzi!

    Kuna chumba cha kinapangishwa maeneo ya makongo karibu na chuo cha Ardhi,kizuri kwa wanafunzi wa vyuo Kodi ya mwezi ni kama 50,000/= tu hakina udalali kwa wanafunzi wa vyuo kama Ardhi,Udsm,Ubungo na maeneo mengine ya karibu karibuni.
  17. kalooo

    Tanzania ya Tano kwenye unafuu wa vifurushi vya mawasiliano Duniani

    Gerison Msigwa katika kikao na wanahabari amesema kuna unafuu wa bando nchini Tanzania kuliko kwingine kuliko watu wanavyodhani hii ni kutokana na kuwa kwenye tano bora ya nchi zinazotoa huduma nzuri ya bando chini ya sh. 2000 kwa GB 1 na kuna nchi zaidi ya dola 15 kwa GB 1. Bilioni zaidi ya 40...
  18. kalooo

    Miradi ya kimaendeleo iliyopo Busega

    Miradi hiyooo 2000 + (25+ 9 ) welcome 2035.
  19. kalooo

    Ujenzi Wa kisasa

    Habari wadau,Nina eneo langu lenye urefu Wa 20m upana na 30m upana sasa kuna kiramani nimeokoteza sehemu nimekapenda lakini naomba mtu atakaye nisaidia kujua foundation plan ya kajengo haka. Ikiwa urefu Wa nyumba ni 15m na upana ni 14m.
Back
Top Bottom