Nilijua nimewakimbia Katoliki

kalooo

JF-Expert Member
Jun 14, 2016
270
154
Maisha ni hatua iliyojaa Mafumbo Mazito na yenye ukweli wa kuweza Kuaminiwa Badae.

Yapo Makanisa Mengi ila Kanisa Katoliki duh huwezi Ukalikimbia popote,Utajishebedua tu kumbe wew ni Mkatoliki mzuri tu kuliko Hata hao wa kipaimara.

Kanisa hili Lina jina kuu la Mama la Makanisa,halijazuka tu hivi, Ni Kanisa la Yesu na Ni Kanisa la Mungu, Dhana hii wengi hatuijui kwa Kufikiri kupondwa Pondwa Kama lenyewe linavyowapondaponda wanafunzi wao na Makanisa kuwa Ndo lenye namba 666 hii dhana ipuuzwe na Ni ya Uongo, Kanisa zima haliwezi kuwa na kukoswa kuelewa dhana ya namba 666 Ni wachache tu Hata wanaoweza kuelewa hizo 6 zipo tatu Kama ilivyo utatu mtakatifu yaani Mungu Mwana na Roho Mtakatifu.

Mungu yupo hai, Mwana Yupo hai na Roho takatifu Ndo Ile tuisubiliayo Kama tunavyosubili hizo ole tulizoahidiwa ambapo Leo ipo moja,Bado ya pili na ya tatu.

Niko bado mle mle Kwenye Mataifa teule, Kumbe Misri,Israel na Mbongo akitulia naye Ni Taifa Teule sema anashobo tu, Basi kila Taifa limepewa Ngazi zake, Misri ya Kale ya Musa Zilikuwepo 12,Kwenu Ni chache Saba au nane Kama kila Ilivyo awamu na Zama zake,Awamu hii Ni ya 6 Kwenye Taifa litegemealo kuelea angani ama siyo juu ya Mlima kirimanjaro ili kila Mtu apate kufanya marejeo,au Maungamo kwa Mungu.

Basi leo kwetu Kuna TEC nao Wapo vizuri tu Chini ya Katoliki,Unaweza ukawatupia Lawama Kubwa lakini Wako Strong kuliko Unavyofikri.Huo ustrong usifikri bure tu Bali Hata kuyajua yajayo, Hata sisi tunaojishebedua tumeokoka bado Ni dhana tu Kama hatujawajua Hawa Katoliki.

The same Mtu akimbie afu akakae kule mwisho wa siku akutwe na aulizwe ivi Wewe ulifikri umenikimbia,Au useme Mimi Ni mtakatifu Hadi Zama zote bila Wao huwezi Hata kwa Punje au wingi wa Mali zako za rohoni uwakimbie.

Yesu huwakuta Wao kila ajapo Huyo Thomas wa kila Mda na Akishinda kwa kile kiinukacho na kuijaza mbingu kwa Moshi wake baada ya Saba ugawe kwa mbili hizo siku Basi kwa idhini ya Mungu Wao humuita Hilo jina la Yesu kwa kielelezo Cha kuwa Cheo kikuu kwa Mungu Katika waja aliowanemesha na Mambo ya Mbinguni.

Dhana ya Kanisa,Elimu,Afya,Huduma ya Jamii,Na kumtangaza vema Mungu na familia takatifu ya Yesu Hawa wako vizuri.
Hata zile Fumbo za Daudi na malaika huvishinda Vita vipenzi vyao kwa Elimu ya Kuimba nyimbo hao Mama zao wamchao Mungu kwelikweli.

Mzee wangu anasimulia kuwa aliokotwa na mapadri wazungu wakamlea Huku wakimfundisha elimu ya Mungu,Mda huo kaja kusimuliwa alikuwa na miaka mitano na hajui pa kwenda wazazi wake walifariki wakamuacha mdogo na hajui na miaka ya zamani familia zilikuwa Mbali Mbali Sana Hivyo alikutwa manusura kufa.Sasa umeokoka Sawa Hata usijue fadhila ya Hawa Jamaa? Duh huenda si mcha Mungu.Ila kiukweli Hawa ukifikiria mchango Wao Kwenye Afya,Elimu na Uchaji wa Mungu lazima Kanisa Hili uliombee kwa Mungu,Huliombei kwa kuwa Kuna Kitu limekufanyia Hapana ila dunia inahitaji Amani na utulivu ili kuzipata huduma za Jamii.Sasa utawakimbiaje Hawa?

Wapo watakaosema sisi tunaongozwa na Roho Mtakatifu,Nao wako Sawa ila Si Katika Mtazamo mkubwa wa mapana na marefu,Utaanguka kwaa puuuu,ukiangali hatua ndefu hutaweza kusimama bila Wao.

Uhuru Kwa Nyerere Na alimopita Kwa Aristide Maranta mpaka tunakuja Kuupata hela ya Nauli na utambuzi wa Nini Uhuru Sasa Ni wao Wenyewe,utakuwa na Mimi kuwa Hata Nyerere Alipewa Sh.600 Mda huo aende UNO kudai Uhuru,Huku Kwa Elimu nzuri ya Mabadiliko ya Tanganyika ijitawale lilianza kuacess lenyewe hili Kanisa .Ivi Wewe utalikimbiaje.

Mimi Mwenyewe Nimeziona mbingu sita ya Kwanza mpaka ya 6 lakini nimekubali na wote tunasadiki kwalo maana TEC ipo na Bakwata Leo ipo.

Lakini Katika Uislamu Hata Mtume Mohamed alikuwa Safarini Lakini waliomtambua Huyu ndiye Msaidizi Ni Katoliki,wakoKatika kusimamia Ustawi wa Mbingu hizi Katika utimilifu wa Saba za nguvu kwa Watu wa Nchi ya Saba wasubiliao Taa iliyopitia tabu nyingi isimamishwe juu Kama vile Mwenge uwekwavyo Mlima Kilimanjaro uyamulikie Mataifa kwa Haki,Kweli,Upendo na Moyo wa Kiasi ili mataifa yakapate Amani Katika Ustawi wa Jamii moja,Mungu mmoja na Zama moja Katika Matoleo ya kila Kizazi.

Katoliki ivi ukoje Wewe,Huenda tukawajue na upeo Kidogo ila ukweli unao we we, kwa kuashilia Ushindi kwa mataifa Mengine hasa ya Milango 12 ambapo Milango Miwili ya mwisho ikiambatana na Ishara nzuri ya Mashuhuri ya mzee aliyeishi miaka 2025 Katika kufufuka akiwa Kitoto kichanga Huko itakiwako Tumaini Hili la Milele na Milenia tena.

Watu wake Watapata Ishara ya Kumlaki Huyu mtoto Kama isemavyo Isaya7 itakayokuweko baada ya utimilifu wa Isaya53 , Kaa Thelasini na tatu ya ukamilisho Katika Utukufu wa Tumbo lililomzaa kwa idhini ya Mungu ushirika wa Roho Mtakatifu kwa Mfalme wa Isaya8 akikuombea Maombezi Mema.

Ni Kweli kikuu kinatikiswa tu kwa Mda Ila hurudi Katika mshindo Mkuu,Na Happ ndipo Najua Petro alikuwa mwamba,Kwa Imani huwezi kusema Yesu alisema Juu ya mwamba huu nitalijenga Kanisa Langu Wewe uone Kama Kawaida yaani ile poa tu,Siyo poa Aise Ni High High ,walakini ukweli Katoliki Luka urukavyo utawakuta wap kila Kanisa na dini.Sehemu muhimu ya kujipima unguli wako lifanye Kanisa Hili ulitikise duniani,Hakika Ni Masihi tu Ndo aliyerudisha heshima hii Yake Kama lenyewe lilivyomtambulisha.
 
Maisha ni hatua iliyojaa Mafumbo Mazito na yenye ukweli wa kuweza Kuaminiwa Badae.

Yapo Makanisa Mengi ila Kanisa Katoliki duh huwezi Ukalikimbia popote,Utajishebedua tu kumbe wew ni Mkatoliki mzuri tu kuliko Hata hao was kipaimara.

Kanisa hili Lina jina kuu la Mama la Makanisa,halijazuka tu hivi, Ni Kanisa la Yesu na Ni Kanisa la Mungu, Dhana hi wengi hatuijui kwa Kufikiri kupondwa na Makanisa kuwa Ndo lenye namba 666 hii dhana ipuuzwe na Ni ya Uongo, Kanisa zima haliwezi kuwa na kukoswa kuelewa dhana ya namba 666 Ni wachache tu Hata wanaoweza kuelewa hizo 6 zipo tatu Kama ilivyo utatu mtakatifu yaani Mungu Means na Roho Mtakatifu.

Mungu yupo, Mwana Yupo na Roho takatifu Ndo Ile tuisubiliayo Kama tunavyodubili hizo ole tulizoahidiwa ambapo Leo ipo moja,Bado ya pili na ya tatu.

Niko bado mle mle Kwenye Mataifa teule, Kumbe Misri,Israel na Mbongo akitulia naye Ni Taifa Teule sema anashobo tu, Basi kila Taifa limepewa Ngazi zake, Misri ya Kale ya Musa Zilikuwepo 12,Kwenu Ni chache Saba au nane Kama kila Ilivyo awamu na Zama zake,Awamu hii Ni ya 6 Kwenye Taifa litegemealo kuelea angani ama siyo juu ya Mlima kirimanjaro ili kila Mtu apate kufanya marejeo,au Maungamo kwa Mungu.

Basi leo kwetu Kuna TEC nao Wapo vizuri tu Chini ya Katoliki,Unaweza ukawatupia Lawama Kubwa lakini Wako Strong kuliko Unavyofikri.Huo ustrong usifikri bure tu Bali Hata kuyajua yajayo Hata sisi tunaojishebedua tumeokoka bado Ni dhana tu Kama hatujawajua Hawa Katoliki,The same Mtu akimbie afu akakae kule mwisho wa siku akutwe na aulizwe ivi Wewe ulifikri umenikimbia,Au useme Mimi Ni mtakatifu Hadi Zama zote bila Wao huwezi Hata kwa Punje au wingi was Mali zako za rohoni.

Wapo watakaosema sisi tunaongozwa na Roho Mtakatifu,Nao wako Sawa ila SI Katika Mtazamo mkubwa wa mapana na marefu,Utaanguka kwaa puuuu,ukiangali hatua ndefu hutaweza kusimama bila Wao.

Ni Kweli kikuu kinatikiswa tu kwa Mda Ila hurudi Katika mshindo Mkuu,Na Happ ndipo Najua Petro alikuwa mwamba,Kwa Imani huwezi kusema Yesu alisema Juu ya mwamba huu nitalijenga Kanisa Langu Wewe uone Kama Kawaida yaani ile poa tu,Siyo poa Aise Ni High High ,walakini ukweli Katoliki Luka urukavyo utawakuta wap kila Kanisa na dini.Sehemu muhimu ya kujipima unguli wako lifanye Kanisa Hili ulitikise duniani,Hakika Ni Masihi tu Ndo aliyerudisha heshima hii Yake Kama lenyewe lilivyomtambulisha.
Hao ni wajanja, ukitaka kuwakimbia tupa chini biblia.

Kama unaamini biblia bado uko kwenye mtego wao tu.
Habari ya yesu uisikiayo wewe wale ndio wahusika wakuu kwenye mapishi kama sio kutenga.

Yesu hakufufuka kutoka kwa wafu.

Ni hadithi za kutungwa tu hizo na Wakatoliki ili wachume pesa zako.

Unaweza kuikimbia Maze. Think
 
Mpaka namaliza kusoma sijaelewa unasema nini?
Unaongelea ibada za wafu kama watakatifu ukiwaktaa wazee wako waliokufa bila dini
Unaongelea kuabudu miti, mawe yaliyochongwa kwa sura za watu ukikataa tambiko za kwenu na sanamu za watu wa kwenu?
Unaongelea juu ya kwenda kutubu kwa Padri mzinzi kama wewe unaacha kutubu kwa babu yako wa miaka mingi

Sijakuelewa bado
 
Upuuzi mtupu, huyo yesu kihistoria alikuja lin dunian na kanisa lilianzishwa lini kihistoria?

Tumia akili kupambanua mambo usitumie hisia.

Dola la rumi ndilo lililouzaa ukatoric miaka ya 300 A.D baada ya huyo mnaemuita Yesu kuondoka miaka ya 30A.D kabla ya kuanzishwa kwa hilo kanisa.

Tofautisha imani ya kiyahudi iliyokuwepo kipindi cha Yesu ambayo hiyo imani ilikuwa na makuhan ambao baadhi yao walishirikiana na warumi kumuangamiza Yesu kwa mujibu wao wa kutokumkubali,

Imani hiyo haikuwa dini, na imani hiyo haikuwa ukatoric kama mnavyodanganya watu, bali imani ya kiyahudi iliyohasisiwa na mababu zao wakina ibrahimu, musa, mpaka kufika kipindi cha yesu.

Warumi walichukua mafundisho ya uyahudi wakayachambua na kuchukua points wanazoona zinafaa baadae wakaunda kanisa lao na mfumo wao wakauita dini na kanisa la kirumi yaan linaloongoza kwa sheria za roman empire na baadae wakaunda uislam pia wakaingizia uongo na story zao za kutunga kuwa mitume baadhi(mfano-mtume paulo) walifika huko Roman, italy kueneza injili, kitu ambacho ni uongo.

Stories za biblia zinahusu Israel na zinaishia israel na afrika kidogo huko misri, ethiopia na sudan ya kale na kamwe stories hizo hazijawai kuvuka kwenda mbali kwenda Ulaya(roman) wala huko Makka kwa waarabu huo ni uzushi wa Mrumi kutaka kuhalalisha imani yake ya kishenzi(katolic) anayoitumia kuucontrol ulimwengu,

Udini ni ujinga, mtu anayetawaliwa kidini ni rahisi kumcontrol na kumpotosha

Dini zote ni uzushi mtupu.
 
Hao ni wajanja, ukitaka kuwakimbia tupa chini biblia.

Kama unaamini biblia bado uko kwenye mtego wao tu.
Habari ya yesu uisikiayo wewe wale ndio wahusika wakuu kwenye mapishi kama sio kutenga.

Yesu hakufufuka kutoka kwa wafu.

Ni hadithi za kutungwa tu hizo na Wakatoliki ili wachume pesa zako.

Unaweza kuikimbia Maze. Think
Kati ya Muhammad na Yohana mtume nani anatoa masimulizi sahihi ya Yesu?
 
Kati ya Muhammad na Yohana mtume nani anatoa masimulizi sahihi ya Yesu?
Hakuna hata mmoja hapo anayesema ukweli.
Wote wahuni, tena yule mwarabu alizingua sana.

Dini zilianza pale tapeli namba moja kuwahi kutokea, alipokutana na mjinga namba moja kuwahi kutokea duniani.
 
Upuuzi mtupu, huyo yesu kihistoria alikuja lin dunian na kanisa lilianzishwa lini kihistoria?

Tumia akili kupambanua mambo usitumie hisia.

Dola la rumi ndilo lililouzaa ukatoric miaka ya 300 A.D baada ya huyo mnaemuita Yesu kuondoka miaka ya 30A.D kabla ya kuanzishwa kwa hilo kanisa.

Tofautisha imani ya kiyahudi iliyokuwepo kipindi cha Yesu ambayo hiyo imani ilikuwa na makuhan ambao baadhi yao walishirikiana na warumi kumuangamiza Yesu kwa mujibu wao wa kutokumkubali,

Imani hiyo haikuwa dini, na imani hiyo haikuwa ukatoric kama mnavyodanganya watu, bali imani ya kiyahudi iliyohasisiwa na mababu zao wakina ibrahimu, musa, mpaka kufika kipindi cha yesu.

Warumi walichukua mafundisho ya uyahudi wakayachambua na kuchukua points wanazoona zinafaa baadae wakaunda kanisa lao na mfumo wao wakauita dini na kanisa la kirumi yaan linaloongoza kwa sheria za roman empire na baadae wakaunda uislam pia wakaingizia uongo na story zao za kutunga kuwa mitume baadhi(mfano-mtume paulo) walifika huko Roman, italy kueneza injili, kitu ambacho ni uongo.

Stories za biblia zinahusu Israel na zinaishia israel na afrika kidogo huko misri, ethiopia na sudan ya kale na kamwe stories hizo hazijawai kuvuka kwenda mbali kwenda Ulaya(roman) wala huko Makka kwa waarabu huo ni uzushi wa Mrumi kutaka kuhalalisha imani yake ya kishenzi(katolic) anayoitumia kuucontrol ulimwengu,

Udini ni ujinga, mtu anayetawaliwa kidini ni rahisi kumcontrol na kumpotosha

Dini zote ni uzushi mtupu.
Umeandika matakataka hadi inatia kinyaa kusoma
 
Jamaa umettema nondo balaa ila mwishoni umeharibu
 
Maisha ni hatua iliyojaa Mafumbo Mazito na yenye ukweli wa kuweza Kuaminiwa Badae.

Yapo Makanisa Mengi ila Kanisa Katoliki duh huwezi Ukalikimbia popote,Utajishebedua tu kumbe wew ni Mkatoliki mzuri tu kuliko Hata hao wa kipaimara.

Kanisa hili Lina jina kuu la Mama la Makanisa,halijazuka tu hivi, Ni Kanisa la Yesu na Ni Kanisa la Mungu, Dhana hii wengi hatuijui kwa Kufikiri kupondwa Pondwa Kama lenyewe linavyowapondaponda wanafunzi wao na Makanisa kuwa Ndo lenye namba 666 hii dhana ipuuzwe na Ni ya Uongo, Kanisa zima haliwezi kuwa na kukoswa kuelewa dhana ya namba 666 Ni wachache tu Hata wanaoweza kuelewa hizo 6 zipo tatu Kama ilivyo utatu mtakatifu yaani Mungu Mwana na Roho Mtakatifu.

Mungu yupo hai, Mwana Yupo hai na Roho takatifu Ndo Ile tuisubiliayo Kama tunavyosubili hizo ole tulizoahidiwa ambapo Leo ipo moja,Bado ya pili na ya tatu.

Niko bado mle mle Kwenye Mataifa teule, Kumbe Misri,Israel na Mbongo akitulia naye Ni Taifa Teule sema anashobo tu, Basi kila Taifa limepewa Ngazi zake, Misri ya Kale ya Musa Zilikuwepo 12,Kwenu Ni chache Saba au nane Kama kila Ilivyo awamu na Zama zake,Awamu hii Ni ya 6 Kwenye Taifa litegemealo kuelea angani ama siyo juu ya Mlima kirimanjaro ili kila Mtu apate kufanya marejeo,au Maungamo kwa Mungu.

Basi leo kwetu Kuna TEC nao Wapo vizuri tu Chini ya Katoliki,Unaweza ukawatupia Lawama Kubwa lakini Wako Strong kuliko Unavyofikri.Huo ustrong usifikri bure tu Bali Hata kuyajua yajayo, Hata sisi tunaojishebedua tumeokoka bado Ni dhana tu Kama hatujawajua Hawa Katoliki.

The same Mtu akimbie afu akakae kule mwisho wa siku akutwe na aulizwe ivi Wewe ulifikri umenikimbia,Au useme Mimi Ni mtakatifu Hadi Zama zote bila Wao huwezi Hata kwa Punje au wingi wa Mali zako za rohoni uwakimbie.

Yesu huwakuta Wao kila ajapo Huyo Thomas wa kila Mda na Akishinda kwa kile kiinukacho na kuijaza mbingu kwa Moshi wake baada ya Saba ugawe kwa mbili hizo siku Basi kwa idhini ya Mungu Wao humuita Hilo jina la Yesu kwa kielelezo Cha kuwa Cheo kikuu kwa Mungu Katika waja aliowanemesha na Mambo ya Mbinguni.

Dhana ya Kanisa,Elimu,Afya,Huduma ya Jamii,Na kumtangaza vema Mungu na familia takatifu ya Yesu Hawa wako vizuri.
Hata zile Fumbo za Daudi na malaika huvishinda Vita vipenzi vyao kwa Elimu ya Kuimba nyimbo hao Mama zao wamchao Mungu kwelikweli.

Mzee wangu anasimulia kuwa aliokotwa na mapadri wazungu wakamlea Huku wakimfundisha elimu ya Mungu,Mda huo kaja kusimuliwa alikuwa na miaka mitano na hajui pa kwenda wazazi wake walifariki wakamuacha mdogo na hajui na miaka ya zamani familia zilikuwa Mbali Mbali Sana Hivyo alikutwa manusura kufa.Sasa umeokoka Sawa Hata usijue fadhila ya Hawa Jamaa? Duh huenda si mcha Mungu.Ila kiukweli Hawa ukifikiria mchango Wao Kwenye Afya,Elimu na Uchaji wa Mungu lazima Kanisa Hili uliombee kwa Mungu,Huliombei kwa kuwa Kuna Kitu limekufanyia Hapana ila dunia inahitaji Amani na utulivu ili kuzipata huduma za Jamii.Sasa utawakimbiaje Hawa?

Wapo watakaosema sisi tunaongozwa na Roho Mtakatifu,Nao wako Sawa ila Si Katika Mtazamo mkubwa wa mapana na marefu,Utaanguka kwaa puuuu,ukiangali hatua ndefu hutaweza kusimama bila Wao.

Uhuru Kwa Nyerere Na alimopita Kwa Aristide Maranta mpaka tunakuja Kuupata hela ya Nauli na utambuzi wa Nini Uhuru Sasa Ni wao Wenyewe,utakuwa na Mimi kuwa Hata Nyerere Alipewa Sh.600 Mda huo aende UNO kudai Uhuru,Huku Kwa Elimu nzuri ya Mabadiliko ya Tanganyika ijitawale lilianza kuacess lenyewe hili Kanisa .Ivi Wewe utalikimbiaje.

Mimi Mwenyewe Nimeziona mbingu sita ya Kwanza mpaka ya 6 lakini nimekubali na wote tunasadiki kwalo maana TEC ipo na Bakwata Leo ipo.

Lakini Katika Uislamu Hata Mtume Mohamed alikuwa Safarini Lakini waliomtambua Huyu ndiye Msaidizi Ni Katoliki,wakoKatika kusimamia Ustawi wa Mbingu hizi Katika utimilifu wa Saba za nguvu kwa Watu wa Nchi ya Saba wasubiliao Taa iliyopitia tabu nyingi isimamishwe juu Kama vile Mwenge uwekwavyo Mlima Kilimanjaro uyamulikie Mataifa kwa Haki,Kweli,Upendo na Moyo wa Kiasi ili mataifa yakapate Amani Katika Ustawi wa Jamii moja,Mungu mmoja na Zama moja Katika Matoleo ya kila Kizazi.

Katoliki ivi ukoje Wewe,Huenda tukawajue na upeo Kidogo ila ukweli unao we we, kwa kuashilia Ushindi kwa mataifa Mengine hasa ya Milango 12 ambapo Milango Miwili ya mwisho ikiambatana na Ishara nzuri ya Mashuhuri ya mzee aliyeishi miaka 2025 Katika kufufuka akiwa Kitoto kichanga Huko itakiwako Tumaini Hili la Milele na Milenia tena.

Watu wake Watapata Ishara ya Kumlaki Huyu mtoto Kama isemavyo Isaya7 itakayokuweko baada ya utimilifu wa Isaya53 , Kaa Thelasini na tatu ya ukamilisho Katika Utukufu wa Tumbo lililomzaa kwa idhini ya Mungu ushirika wa Roho Mtakatifu kwa Mfalme wa Isaya8 akikuombea Maombezi Mema.

Ni Kweli kikuu kinatikiswa tu kwa Mda Ila hurudi Katika mshindo Mkuu,Na Happ ndipo Najua Petro alikuwa mwamba,Kwa Imani huwezi kusema Yesu alisema Juu ya mwamba huu nitalijenga Kanisa Langu Wewe uone Kama Kawaida yaani ile poa tu,Siyo poa Aise Ni High High ,walakini ukweli Katoliki Luka urukavyo utawakuta wap kila Kanisa na dini.Sehemu muhimu ya kujipima unguli wako lifanye Kanisa Hili ulitikise duniani,Hakika Ni Masihi tu Ndo aliyerudisha heshima hii Yake Kama lenyewe lilivyomtambulisha.
wakatoliki ni watu wenye uwezo mkubwa sana kushika dini na kuendesha dini. shida yao ni moja tu, wanaabudu maria na masanamu, na hawaamini katika wokovu, hawaokoki. kwasababu hiyo, wote wataenda motoni. wanapoteza sana muda, kwasababu ukweli wanaujua, wao wenyewe wanajua mioyoni kwamba wanaabudu dini tu na wapo tofauti kabisa na watu wanaomwabudu Mungu katika Roho na kweli.
 
Upewe maua yako kiongozi wangu
 
Upuuzi mtupu, huyo yesu kihistoria alikuja lin dunian na kanisa lilianzishwa lini kihistoria?

Tumia akili kupambanua mambo usitumie hisia.

Dola la rumi ndilo lililouzaa ukatoric miaka ya 300 A.D baada ya huyo mnaemuita Yesu kuondoka miaka ya 30A.D kabla ya kuanzishwa kwa hilo kanisa.

Tofautisha imani ya kiyahudi iliyokuwepo kipindi cha Yesu ambayo hiyo imani ilikuwa na makuhan ambao baadhi yao walishirikiana na warumi kumuangamiza Yesu kwa mujibu wao wa kutokumkubali,

Imani hiyo haikuwa dini, na imani hiyo haikuwa ukatoric kama mnavyodanganya watu, bali imani ya kiyahudi iliyohasisiwa na mababu zao wakina ibrahimu, musa, mpaka kufika kipindi cha yesu.

Warumi walichukua mafundisho ya uyahudi wakayachambua na kuchukua points wanazoona zinafaa baadae wakaunda kanisa lao na mfumo wao wakauita dini na kanisa la kirumi yaan linaloongoza kwa sheria za roman empire na baadae wakaunda uislam pia wakaingizia uongo na story zao za kutunga kuwa mitume baadhi(mfano-mtume paulo) walifika huko Roman, italy kueneza injili, kitu ambacho ni uongo.

Stories za biblia zinahusu Israel na zinaishia israel na afrika kidogo huko misri, ethiopia na sudan ya kale na kamwe stories hizo hazijawai kuvuka kwenda mbali kwenda Ulaya(roman) wala huko Makka kwa waarabu huo ni uzushi wa Mrumi kutaka kuhalalisha imani yake ya kishenzi(katolic) anayoitumia kuucontrol ulimwengu,

Udini ni ujinga, mtu anayetawaliwa kidini ni rahisi kumcontrol na kumpotosha

Dini zote ni uzushi mtupu.
Umeandika pumba
 
MUNGU MWENYEZI NI MMOJA TU.
DINI NI NYINGI SANA, BASI KWA HAKIKA YATUPASA KUMWABUDU KWA KILA NAMNA YETU PASIPO KUBAGUA DINI YA MWINGINE, UBAGUZI WA DINI HAKIKA NI DHAMBI.

EID MUBARAK NJEMA.
 
wakatoliki ni watu wenye uwezo mkubwa sana kushika dini na kuendesha dini. shida yao ni moja tu, wanaabudu maria na masanamu, na hawaamini katika wokovu, hawaokoki. kwasababu hiyo, wote wataenda motoni. wanapoteza sana muda, kwasababu ukweli wanaujua, wao wenyewe wanajua mioyoni kwamba wanaabudu dini tu na wapo tofauti kabisa na watu wanaomwabudu Mungu katika Roho na kweli.
Hakuna dini iko kamilifu/perfect. Wote wana mapungufu sawia,wote wana lengo LA kumnyonya muumini/mshirika kwa kupitia zaka na sadaka. Ukitoa zaka na sadaka yako wanasema unamtolea Mungu,lakini kiuhalisia anayezitumia ni mungu-na familia yake. Baadhi ya viongozi wa dini wameshutumiwa kutapanya fedha za kanisa(zaka na sadaka) katika ulevi,kuhonga wanawake/malaya,kucheza kamari nk. Hayo yameripotiwa kutoka tasisi mbalimbali za dini. Juzi kati kiongozi mmoja wa dini(mnufaika wa zaka na sadaka) huko Arusha,ameripotiwa kuivunja ndo ya mshirika baada ya kubainika alikuwa akimla huyo kondoo,ambaye kumbe alikuwa mke wa MTU.
Siku waumini/washirika watakapokataa kuitwa " kondoo" dini zitaanza kuwa "mabasi"sahihi ya kusafiria kuisaka mbingu!
 
Je, Kanisa la Katoliki ndiye mnyama wa nne duniani wa Unabii wa Daniel na Ufunuo?

Mnyama wa kitabu cha Ufunuo

Watu wengi hawafahamu kuwa mnyama ni nani, na wengi wamejihusisha naye bila wao wenyewe kujua kama wanashiriki na mnyama. Lakini Mungu hajatuacha gizani, hivyo, kwa kupitia neno lake (Maadiko Matakatifu) tunaweza kumfahamu mnyama huyu aliyelezwa katika kitabu cha Danieli na Ufunuo.

Tunapaswa kuyaacha maandiko yajitafisiri yenyewe; kwa maana “hakuna unabii katika maandiko upatao kufasiriwa kama apendavyo mtu fulani tu. Maana unabii haukuletwa popote kwa mapenzi ya mwanadamu; bali wanadamu walinena yaliyotoka kwa Mungu, wakiongozwa na Roho Mtakatifu.” 2Petro 1:20-21. Hatupaswi kumuacha mtu flani atafsri unabii kwa jinsi yake mwenyewe, badala yake tunapaswa kuiacha Biblia ijitafsiri yenyewe.

Katika Danieli 7 wametajwa “wanyama wanne” ambao wanawakilisha falme nne. Kumbuka mmyama wa 4 aliyetajwa katika Danieli 7 ndiye mnyama aliyetajwa katika kitabu chote cha Ufunuo. Hivyo hapa tutaangalia sifa za mnyama wa nne wa kitabu cha Danieli, na mnyama wa kitabu cha Ufunuo, kisha tutaangalia ni wapi hapa duniani ambapo sifa za mnyama zinatimizwa kikamilifu.

1. Mnyama atakuwa na uwezo wa kisiasa na kidini (kanisa na serikali).

Ufunuo 17:3 “Akanichukua katika Roho hata jangwani, nikaona MWANAMKE, AMEKETI JUU YA MNYAMA mwekundu sana, mwenye kujaa majina ya makufuru, mwenye vichwa saba na pembe kumi.”

Mwanamke au bibi-arusi katika unabii huwakilisha kanisa.

Ufunuo 21:2 “…Yerusalemu mpya…umewekwa tayari, kama bibi-arusi aliyekwisha kupambwa kwa mumewe.”

Ufunuo 21:9 “…Njoo huku, nami nitakuonyesha yule Bibi-arusi, mke wa Mwana-Kondoo.”

Mnyama huwakilisha taifa au ufalme

Danieli 7:17 “Wanyama hao…wanne ni wafalme wanne watakaotokea duniani”

Danieli 7:23 “…Huyo mnyama wa nne atakuwa ni ufalme wa nne juu ya dunia…”

Kutokana na Ufunuo 17:3, mnyama huyu ana mwanamke aliyeketi juu yake, na kwa sababu unabii unatafisiri mwanamke kama kanisa, na mnyama kama taifa. Je kuna taifa au serikali ambayo imechanganywa pamoja na kanisa kama kitu kimoja? Ndiyo! Vatican, ni serikali au taifa ambalo limechanganywa pamoja na kanisa la Romani Katoliki kama kitu kimoja, na kuongozwa na mtu mmoja ambaye ni Papa.

2. Mnyama atakuwa na kanisa & serikali vimekaa juu ya milima 7.

Ufunuo 17:3 “Akanichukua katika Roho hata jangwani, nikaona mwanamke, ameketi juu ya mnyama mwekundu sana…mwenye VICHWA SABA na pembe kumi.”

Vichwa saba katika unabii vinawakilisha milima saba.

Ufunuo 17:9 “Hapo ndipo penye akili zenye hekima. Vile vichwa saba ni milima saba anayokalia mwanamke huyo.”

Je hapa duniani kuna kanisa na serikali vimekaa juu ya milima saba?

“Ni ndani ya mji wa Roma, uitwao Mji wa vilima saba, hivyo eneo lote la Serikali ya Vatican limewekewa mpaka kikamilifu.” –The Catholic Encyclopedia, p 529.

“Je vilima saba vya Roma ni nini?

Roma inajulikana kuwa imejengwa juu ya vilima saba. Roma ilisemwa imepatikana wakati Romulus na Remus, wana mapacha wa Mars, walifika katika futi ya kilima Palatine na wakauanzisha mji, Vilima sita vingine ni Capitoline (kiti cha serikali), Quirinal, Viminal, Esquiline, Caelian, na Aventine.” –Geography.about.com

ENCYCLOPÆDIA BRITANNICA
Vilima saba vya Roma

“…kundi la vilima juu au kuhusu ambapo mji wa Roma wa zamani ulijengwa. Mji wa awali wa Romulus ulijegwa juu ya kilima Palatine (#1) (Kilatini: Mons Palatinus). Vilima vingine ni Capitoline, (#2) Quirinal, (#3) Viminal, (#4) Esquiline, (#5) Caelian, (#6) na Aventine (#7) (Vinavyojulikana kimoja kimoja kwa kilatini kama Mons Capitolinus, Mons Quirinalis, Mons Viminalis, Mons Esquilinus, Mons Caelius, na Mons Aventinus).” –http://www.britannica.com/seo/s /seven-hills-of-rome/

Kwa hiyo unabii huu wa Ufunuo 17:3, unaonyesha wazi kuwa mwanamke aliyeketi juu ya mnyama, amekaa juu ya vilima saba vya mji wa Roma. Kwa vyovyote, ni Vaticani na kanisa la Romani Katoliki ambavyo vimekaa juu ya milima saba, na kutimiza unabii huu. Danieli 7:23 inasema mnyama wa mwisho (Roma) anatofautiana na wanyama wengine watatu waliopita. Kwa hakika hakuna taifa wala ufalme mwingine ambao una kanisa na serikali, harafu kwa wakati huo huo umekaa juu ya milima saba. Ila ni kanisa la Romani Katoliki pekee.

3. Mnyama atatoka baharini

Ufunuo 13:1 “Kisha nikaona mnyama AKITOKA KATIKA BAHARI, mwenye pembe kumi, na vichwa saba, na juu ya pembe zake ana vilemba kumi, na juu ya vichwa vyake majina ya makufuru.”

Bahari katika unabii huwakilisha watu/jamaa, mataifa, lugha.

Ufunuo 17:15 “Kisha akaniambia, Yale maji uliyoyaona, hapo aketipo yule kahaba, ni jamaa na makutano na mataifa na lugha.”

Ukatoliki wa Romani ulitokea ulaya ya magharibi pamoja na makutano ya “watu/jamaa, mataifa, na lugha.” Na kwa wakati huu kanisa la Romani Katoliki lina idadi kubwa ya “watu, mataifa, na lugha,” kuliko kanisa jingine lolote duniani mwote. Na sasa, baada ya kuanzishwa kanisa moja duniani, Juni 26, 2000, Papa alichaguliwa kama kiongozi wa makanisa yote ambayo yameungana na lake. Hii ilifanya kanisa liongezeke mara mbili. Na hivi karibuni, makanisa yote pamoja na yasiyo ya Kikristo yatatangaza kwamba Papa ni kiongozi wao mwema.

Na Juni, 2008 mataifa 174 katika mataifa 192 duniani, yana serikali zao zikiwakilisha Vatican. Hivyo, kanisa la Romani Katoliki linatimiza unabii huu kwa ukamilifu.

4. Mnyama atatawala miaka 1260. (kabla hajapata jeraha la mauti).

Danieli 7:25 “Naye atanena maneno kinyume chake aliye juu, naye atawadhoofisha watakatifu wake Aliye juu; naye ataadhimu kubadili majira na sheria; nao watatiwa mikononi mwake KWA WAKATI, NA NYAKATI MBILI, NA NUSU WAKATI.”

Ufunuo 12:6 “Yule mwanamke akakimbilia nyikani, ambapo ana mahali palipotengenezwa na Mungu, ili wamlishe huko mda wa SIKU ELFU NA MIA MBILI NA SITINI.”

Ufunuo 13:5 “Naye akapewa kinywa cha kunena maneno makuu, ya makufuru. Akapewa uwezo wa kufanya kazi yake MIEZI AROBAINI NA MBILI.”

Danieli 7:25 inaonyesha muda ambao angetawala mnyama, kama wakati, na nyakati mbili, na nusu wakati. Ufunuo 13:5 inauonyesha mda huu wa utawala wa mnyama, kama miezi 42, miezi 42 = miaka 3 na 1/2. Hivyo, ukiangalia kwa makini hapa utaona kuwa, wakati = mwaka 1, na nyakati mbili = miaka 2, na nusu wakati = nusu mwaka.

Kwa hiyo, wakati nyakati mbili nusu wakati = miaka 3 na nusu ya Danieli 7:25, au miezi 42 ya Ufunuo 13:5, au siku 1260. Mahesabu haya yanathibitishwa katika Ufunuo 12:6 ambapo inasema, “Yule mwanamke (kanisa) akakimbilia nyikani…wamlishe huko mda wa siku 1260.” Kwa hiyo miaka 3 na 1/2 = miezi 42 au siku 1260 ambazo mnyama angetawala kabla hajapata jeraha la mauti.

Bado, wengine watakataa na kusema, hapana, miezi 42 haiwezi kuwa sawa na siku 1260, kwa sababu miezi mingine haina siku 30. Lakini katika unabii mwezi 1 = siku 30. Mwanzo 7:11 inasema, mvua za garika zilianza siku ya 17 ya mwezi wa pili, na Mwanzo 8:3, 4. inasema kuwa maji yakapunguka mwishoni mwa siku 150, harafu safina ikatua siku ya 17 ya mwezi wa saba. Hizo ni miezi 5 tangu mvua zilipoanza. Kama ukigawanya siku 150, kwa miezi 5, utapata siku 30 kwa kila mwezi. Hivyo, miezi 42 ikizidishwa kwa 30 jibu litakuwa 1260. Kwa hiyo wakati, nyakati mbili, na nusu wakati, ni sawa na miaka 3 na nusu, au miezi 42, au siku 1260. Kwa hakika, Ufunuo 12:6 inathibitisha mahesabu haya inaposema kuwa watoto wa Mungu watakimbilia nyikani kwa muda wa siku 1260 wakati wa utawala wa mnyama (upapa).

Katika unabii siku 1 ni sawa na mwaka 1,

Ezekieli 4:6 “…siku arobaini, siku moja kwa mwaka mmoja, nimekuagiza.”

Hesabu 14:34 “…siku arobaini kila siku kuhesabiwa mwaka…”

Kutokana na Ezekieli 4:6 na Hesabu 14:34, ni hakika kwamba siku 1260 ni sawa na miaka 1260 ambayo Upapa ungetawala na kuwadhofisha watakatifu. Je hii ilitokea? Je unabii huu ulitimia? Au Je kuna ushahidi wowote unaothibitisha kuwa unabii huu ulitimia?

Kwanza kabisa tunatakiwa kujua ni lini kanisa la Romani Katoliki lilipata nguvu zote za kutawala kama “mwanamke juu ya mnyama” (kanisa na serikali), na kutawala kisiasa na kidini kwa wakati mmoja kama Ufunuo 17:3 inavyosema.

“Vigillius…alikalia kiti cha upapa (538 B.K.) chini ya ulinzi wa jeshi la Belisarius.” –History of the Christian Church, Vol. 3, p. 327

Hiistoria inathibitisha kuwa upapa umeanza utawala wake kama “kanisa na serikali” mwaka 538 B.K. juu ya amri ya mfalme Jastinian, na chini ya ulinzi wa jeshi la Belisarius. Na unabii unasema mnyama (upapa) atatawala miaka 1260 kabla haujapata jeraha la mauti.

Ukiongeza miaka 1260 katika mwaka ambao kanisa la Romani Katoliki lilianza kutawala kisiasa na kidini, mwaka 538 B.K., utapata 1798 B.K. Hivyo, unabii unasema utawala wa kwanza wa mnyama ungeisha 1798 B.K. Je utawala wa mnyama uliisha mwaka huo 1798 B.K?

“Katika mwaka 1798 Generali Berthier aliingia Roma, akauondoa kabisa utawala wa upapa, na kuanzisha mwingine.” –Encyclopedia Britannica 1941 edition

Kwa hakika, hizo ni miaka 3 na 1/2 au wakati, nyakati mbili, na nusu wakati, ambazo ni miezi 42 au siku 1260 za unabii ambazo mnyama angetawala kisha angepata pigo la mauti au kuchukuliwa mateka. Je mnyama alipata pigo la mauti mwaka huo 1798 B.K?

5. Mnyama atapokea jeraha la mauti.

Ufunuo 13:3 “Nikaona kimoja cha vichwa vyake kana kwamba kimetiwa jeraha la mauti, na pigo lake lake la mauti likapona…”

Ufunuo 13:10 “Mtu akichukua mateka, atachukuliwa mateka. Mtu akiua kwa upanga, atauawa kwa upanga…”

Kama tulivyoona huko nyuma baada ya mnyama kutawala miaka 1260 angepata jeraha la mauti na kuuawa kwa upanga (upanga = vita). Baada ya mnyama kumaliza utawala wake wa miaka 1260, ambao ulianza 538 B.K. hadi 1798 B.K., Napoleon alimtuma Generali/Jemedari wake Berthier pamoja na jeshi lake, kwenda Roma kuuondoa utawala wa upapa.

“Katika mwaka 1798 Generali Berthier aliingia Roma, akauondoa kabisa utawala wa upapa, na kuanzisha mwingine.” –Encyclopedia Britannica 1941 edition

Napoleon alipomtuma Generali wake Berthier kwenda kumuondoa Papa madarakani, hapo ndipo jeraha la mauti lilipompata mnyama, na mwaka uliofuata 1799 B.K. Papa alikufa. Hii ndiyo sababu watoto wa kikatoliki katika parokia hufundishwa kuwa Napoleoni alikuwa mpinga Kristo.

“Nusu ya Ulaya walidhani…kwamba pamoja na papa upapa ulikuwa umekufa.” –Joseph Rickaby “The Modern Papacy” Lectures on the History of Religion, Lecture 24, (London Catholic Truth Society, 1910), p. 1

Lakini unabii ulisema kuwa jeraha hili lililompata mnyama lingepona. Je jeraha hili lilipona? Je utawala wa upapa ulipoondolewa madarakani na Generali Berthier ulipata nguvu zake tena?

6. Mnyama atapona jeraha lake la mauti.

Ufunuo 13:3 “Nikaona kimoja cha vichwa vyake kana kwamba kimetiwa jeraha la mauti, NA PIGO LAKE LA MAUTI LIKAPONA. Dunia yote ikamstaajabia mnyama yule.”

Kama tulivyoona, upapa ulipata jeraha la mauti mwaka 1798 B.K. Vaticani ilibaki kama kanisa tu bila nguvu za kisiasa, na unabii ulisema jeraha hili lingepona. Je jeraha la mauti lilipona? Baada ya jeraha la mauti kutokea miaka kadhaa badaye katika mwaka 1929 B.K. Italia ikautambua mji wa Vaticani kama serikali ya kujitegemea, hii ilimfanya papa kuwa na nguvu tena kama mtawala wa kisiasa na kidini. kama unabii ulivyosema kwamba jeraha la mauti lingepona, na upapa ungerudishiwa tena uwezo wake wa kanisa na serikali kwa pamoja. Hebu angalia magaziti yaliyotoa taarifa hiyo jinsi waandishi wake walivyotumia lugha ya unabii bila ya wao wenyewe kujua.

Kusaini kwa Mussolini na (Kadinali) Gasspari mkataba wa kihistoria wa Romani

“Suala la Romani usiku huu lilikuwa ni jambo lililopita, na Vaticani ilikuwa katika amani na Italia…katika kuweka sahihi kwenye mkataba wa kukumbukwa kuponya jeraha la miaka mingi, uchangamfu wa kupindukia ulionyeshwa na pande zote.” –The San Francisco Chronicle. Feb. 11, 1929

Papa Amekuwa Kiongozi Wa Serikali Tena

“Roma, Juni 7.–Kutoka saa 5 kamili asubuhi hii kulikuwa na mtawala mwingine wa serikali ya kujitegemea duniani. Katika mda huo waziri mkuu Mussolini, kama waziri wa mambo ya nje Italia akimuwakilisha mfalme Victor Emmanuel–waziri mkuu wa kwanza Italia kuvuka kizingiti cha chini cha mlango wa Vaticani–akibadilishana na kadinali Gasspari, wakala wa serikali ya upapa, akimuwakilisha papa Pius XI, makubaliano ya mikataba yalisainiwa katika ikulu ya Lateran Feb. 11. Kwa kitendo hicho rahisi mtawala wa serikali ya kujitegemea ya mji wa Vaticani amekuwepo.” — New York Times July 7, 1929

Hivyo, unabii huu ulitimia kikamilifu na jeraha la mauti lililoupata upapa 1798 B.K. lilipona kabisa tangu 1929 B.K. mpaka leo kanisa la Romani Katoliki lina nguvu za “kisiasa na kidini” au “mwanamke juu ya mnyama.” Kwa kumaliza sehemu hii tunagundua kwamba mnyama huyu ndiye aliyekuwako, naye hayuko, na sasa yupo.

7. Mnyama aliyekuwako, naye hayuko, naye yuko.

Ufunuo 17:8 “Yule mnyama…alikuwako, naye hayuko, naye yu tayari…”

Mnyama aliyekuwako: ni kanisa la Romani Katoliki tangu lilipoanza kutawala kama “kanisa & serikali” 538 B.K. na likaendelea mpaka. Napoleon alipomtuma Berthier kwenda kuuondoa utawala wa upapa. 1798 B.K.

…naye hayuko tokea 1798 B.K. mpaka kusaini kwa mkataba uliofanyika katika ikulu ya Lateran katika mwaka 1929 B.K. Vaticani ilikuwa kanisa tu bila uwezo wa kiserikali.

…naye yu tayari kutoka 1929 B.K. mpaka leo kanisa la Romani Katoliki lina nguvu za kisiasa na kidini, “kanisa & sesikali” au mwanamke juu ya mnyama.

8. Mnyama atabadili majira na sheria za Mungu.

Danieli 7:25 “…naye ataadhimu kubadili majira na sheria…”

Unabii huu ni ushahidi ulio wazi sana ambao karibu kila mtu hawezi kusumbuka kuelewa kwamba ni kanisa gani hapa duniani lililobadilisha sheria za Mungu. Ni kanisa moja tu la Romani Katoliki ndilo lililobadilisha sheria za Mungu kama Danieli 7:25 inavyodai kuwa. Kanisa la Katoliki limebadilisha sheria ya pili inayozuia kuchonga sanamu ya kitu chochote kile (angalia Kut 20:4). Katika katekism kanisa limeirarua amri ya 2 kisha likaigawa amri ya 10 katika sehemu mbili ili kuonyesha amri 10 zote. Lakini Je ni nani hapa duniani anayedai kuwa anauwezo wa kubadili amri za Mungu?

“Papa anauwezo wa kubadili majira, kubadili sheria, na kuachana na mambo yote, hata maagizo ya Kristo!” “Papa anayo mamlaka na mara nyingi ameyatumia, kuachana na amri ya Kristo.” –Decretal, de Tranlatic Episcop. Cap. (The Pope can modify divine law.) Ferraris’ Ecclesiastical Dictionary.

“Papa ni wa mamlaka kuu na nguvu kiasi kwamba anaweza kurekebisha, kuelezea au kutafsiri hata sheria za Mungu…Papa anaweza kurekebisha sheria ya Mungu, kwa sababu nguvu zake si za mwanadamu, bali ni nguvu za Mungu, na hutenda kama mwakilishi wa Mungu juu ya dunia.” –Lucius Ferraris,Prompta Ribliotheca, “Papa,” art. 2, translated.

Tangu kwamba papa ana mamlaka na maranyingi ameyatumia kubadili majira na sheria za Kristo, Je alibadili sheria ya Sabato? Je kanisa katoliki liliibadili Sabato ya siku ya saba ya wiki kwenda siku ya kwanza ya wiki? Kwa hakika kanisa lenye linakubali!

“Bila shaka kanisa la katoliki hudai kuwa badiliko, (la Sabato Jumamosi kwenda Jumapili) ilikuwa ni kitendo chake…na kitendo hicho ni ALAMA ya mamlaka yake katika mambo ya kidini.” –H.F. Thomas, Chancellor of Cardinal Gibbons

“Jumapili ni ALAMA yetu ya mamlaka…kanisa liko juu ya Biblia, na uhamishaji huu wa utunzaji wa Sabato ni ushahidi wa jambo hilo la ukweli.” –Catholic Record of London, Ontario Sept 1, 1923.

“Swali: Siku ipi ni siku ya Sabato?
Jibu: Jumamosi ni siku ya Sabato.
Swali: Kwanini tunatunza Jumapili badala ya Jumamosi?
Jibu: Tunatunza Jumapili badala ya Jumamosi kwa sababu kanisa katoliki, katika balaza la Laodikia (364 BK) liliihamisha kutoka Jumamosi kwenda Jumapili.” –The Convert’s Catechism of Catholic Doctrine,p. 50, 3rd ed.

“Kanisa la Romani (Katoliki) liliigeuza amri ya nne kwa kuiondolea mbali Sabato ya neno la Mungu, na kuanzisha Jumapili kama siku ya mapumziko.” –Nicholas Summerbell, History of the Christian Church, 3rd edition, 1873, p. 415 [Christian Church (Christian Connection)].

“Na ni wapi tumeambiwa katika maandiko kwamba tutunze siku ya kwanza kabisa? Tumeamriwa kutunza siku ya saba; lakini hakuna sehemu yoyote tuliyo amriwa kutunza siku ya kwanza. Sababu ya kutunza siku ya kwanza ya wiki kitakatifu badala ya siku ya saba ni kwa sababu ile ile kwamba tunatunza mambo mengine mengi, siyo kwa sababu ya Biblia, lakini kwa sababu kanisa, limeyaingiza [limeyaamuru].” –Isaac Williams, Plain Sermons on the Catechism, vol 1, pp. 334, 336 [Anglican].

Hivyo, kanisa la Romani Katoliki liliibadili sheria ya Sabato na kuwaamuru watu watunze jumapili badala yake. Na mwaka 1582. Papa Gregory XIII, alianzisha kalenda mpya. Kwa vyovyote, ni Vaticani ndiyo ilitimiza unabii huu kwa ukamilifu kabisa, hakuna jumuiya, wala shirika, wala sehemu yoyote ya kidini au isiyo ya kidini ambayo imetimiza unabii huu, kama ilivyo Vaticani. Ni kanisa la Romani Katoliki pekee ambalo lilibadili sheria, na majira, na kuamuru siku ihesabiwe kuanzia saa sita usiku kinyume na Maandiko yanayothibitisha kuwa siku huanza kuhesabiwa jioni.

Mwanzo 1:5 “Mungu akaiita nuru Mchana, na giza Usiku. Ikawa jioni ikawa asubuhi, siku moja.”

9. Mnyama atanena maneno ya makufuru juu ya Mungu.

Danieli 7:25 “Naye atanena maneno kinyume chake Aliye juu…”

Ufunuo 17:3 “…nikaona mwanamke ameti juu ya mnyama…mwenye kujaa majina ya makufuru…”

Ufunuo 13:1 “…nikaona mnyama…mwenye…vilemba kumi, na juu ya vichwa vyake majina ya makufuru.”

Ufunuo 13:5 “Naye akapewa kinywa cha kunena makuu, ya makufuru…”

Kukufuru katika Biblia inaelezewa kama hali ya mtu kujifanya yeye mwenyewe kama Mungu.

Yohana 10:33 “Wayahudi wakamjibu, kwa ajili ya kazi njema hatukupigi kwa mawe; bali kwa kukufuru, na kwa sababu wewe uliye mwamadamu wajifanya mwenyewe u Mungu.”

Je nani hujiita na kujifananisha na Mungu hapa duniani?

“Papa siyo mwakilishi tu wa Yesu Kristo, yeye ni Yesu Kristo mwenyewe, amejificha chini ya uficho wa mwili.” –Catholic National July 1895.

“Kwa kuwa wewe u mchungaji, wewe u tabibu, wewe u mwongozaji, wewe u mkulima, hatimaye wewe u Mungu mwingine duniani.” –Labbe and Cossart’s “History of the Councils.” Vol. XIV, col. 109

“Tunapachukulia juu ya dunia hii sehemu ya Mwenyezi Mungu…” –Pope Leo XIII Encyclical Letter of June 20, 1894,

Katika “The Bull Unam Sanctam” iliyotolewa na Papa Boniface VIII inasomeka kama ifuatavyo…
“Papa wa Roma huukumu watu wote, lakini yeye haukumiwi na mtu. Tunatangaza, kutetea, kuelezea, na kutamka; kutawaliwa na Papa wa Roma ni kwa kila kiumbe cha mwanadamu muhimu kwa ajili ya wokovu ambao ulisemwa na Kristo ‘Ameviweka vitu vyote chini ya miguu yake’ inaonekana vizuri imethibitishwa kwangu…Nina mamlaka ya Mfalme wa Wafalme. Mimi ni yote katika yote na juu ya yote, hivyo basi, Mungu Mwenyewe na mimi, kasisi wa Mungu tuna usawa mmoja, na ninaweza kufanya yote ambayo Mungu anaweza kufanya.”

“Mwokozi mwenyewe ni mlango wa zizi la kondoo; ‘Mimi ni mlango wa kondoo’. kwenye zizi hili la Yesu Kristo, hakuna mtu anayeweza kuingia mpaka awe ameingizwa na Papa mtawalawa na ni pale tu kama wameunganika naye ndipo wanadamu wanaweza kuokolewa, kwa sababu Papa wa Roma ni kasisi wa Kristo na ni mwakilishi wake kwa nafisi duniani.” –(Pope John XXIII in his homily to the Bishops and faithful assisting at his coronation on November 4, 1958).

Kudai kuwa Mungu duniani Biblia inathibitisha kuwa ni kukufuru ju ya Mungu aliye hai. Kufuru nyingine ni kudai kuwa na uwezo wa kusamehe dhambi.

Marko 2:7 “Mbona huyu anasema hivi? Anakufuru. Ni nani awezaye kusamehe dhambi ispokuwa mmoja, ndiye Mungu?”

Je makuhani wa kanisa la Romani Katoliki hudai wana uwezo wa kusamehe dhambi?

“Kuhani kiukweli kabisa husamehe dhambi kwa uwezo aliopewa na Kristo.” -Joseph Devarbe’s Catechism, p. 279

“Dhambi zinaweza kusamehewa kupitia sakramenti pekee…wote makuhani na sakramenti ni vifaa ambavyo Kristo anavitumia kukamilisha msamaha ndani yetu na neema ya utakaso.” -Catechism of Trent, p. 115.

“Haya mamlaka ya jaji (Judicial authority) yatajumuisha hata uwezo wa kusamehe dhambi.” –[The Catholic Encyclopaedia Vol 12, -article “Pope” pg 265]

“Na Mungu mwenyewe analazimika kufungwa na hukumu ya kuhani wake na ama kutokuomba msamaha au kuomba msamaha, kutokana na kama wanakataa kutoa ukamilifu, unaotoa toba inayoridhisha.” –Liguori, «Duties and Dignities of the Priest», p.27

10. Mnyama ana jina lenye namba 666.

Ufunuo 13:17 “tena kwamba mtu awaye yote asiweze kununua wala kuuza, ispokuwa ana chapa ile, yaani, jina la mnyama yule, au hesabu ya jina lake.”

Ufunuo 13:18 “Hapa ndipo penye hekima. Yeye aliye na akili, na aihesabu hesabu ya mnyama huyo; maana ni hesabu ya kibinaadamu. Na hesabu yake ni mia sita, sitini na sita.”

Biblia inatuambia kuwa hesabu au namba ya jina la mnyama ni 666

Kanisa la Romani Katoliki hudai kuwa Papa ni kichwa cha kanisa au mwakilishi wa Yesu.

“Maneno yaliyoandikwa katika kofia (miter) ya Papa ni haya, ‘VICURIUS FILII DEI’. ambayo ni ya kilatini kwa ajili ya ‘KASISI WA MWANA WA MUNGU’. Wakatoliki huchukulia kwamba kanisa, ambalo ni jumuiya ya kuonekana, lazima liwe na kichwa cha kuonekana. Kristo, kabla ya kupaa kwake kwenda mbinguni, alimteua M.t. Petro kuwa kama mwakilishi wake…hata hivyo Askofu wa Roma, kama kichwa cha kanisa, alipewa jina ‘KASISI WA YESU.'” –Our Sunday Visitor, (Catholic Weekly) “Bureau of information,” Huntington, Ind., April 18, 1915.

Kwa hiyo “VICARIUS FILII DEI” ndilo jina linalotumiwa na mamlaka ya Upapa na kumthibitisha Papa kama kichwa cha kanisa.

Helufi za kilatini zinaweza kutumika pia kama namba, na siku hizi hujulikana kama “Namba za Kirumi,” na helufi U inaweza pia kutumika kama V.

“VICARIVS FILII DEI”

(Kasisi wa Mwana wa Mungu)

V........5
I........1
C..... 100
A...... 0
R.......0
I........1
V.......5
S.......0
F........0
I.........1
L .......50
I.........1
I.........1
D........500
E.........0
I............1
Jumla= 666

Vicarius inamaanisha, katika nafasi ya
Filii Mwana
Dei Mungu
Hivyo, kanisa la Romani Katoliki linatimiza unabi huu wa hesabu ya mnyama 666 kwa ukamilifu kabisa.

11. Onyo la Mungu kwa wote walio katika kanisa katoliki.

Mungu anaoya vikali sana juu ya wale wote ambao wanashirikiana na mnyama huyu, kama wewe ni mmojawapo unapaswa kuchukua uamuzi sahihi sasa bila kupoteza muda; kwa maana hukumu itakuja juu ya mnyama na yule kahaba (kanisa Katoliki) aliyekaa juu mnyama. Hili ni onyo la mwisho la upendo na la rehema kutoka kwa Mungu.

Ufunuo 14:9-10. “Na mwingine, malaika watatu, akafuata, akisema kwa sauti kuu, Mtu awaye yote akimsujudu huyo mnyama na sanamu yake, na kuipokea chapa katika kipaji cha uso wake, au katika mkono wake, yeye naye atakunywa katika mvinyo ya gadhabu ya Mungu iliyotengenezwa, pasipo kuchanganywa na maji, katika kikombe cha hasira yake; naye atateswa kwa moto na kiberiti mbele ya malaika watakatifu, na mbele za Mwana-Kondoo.”

Ufunuo 19:20 “Yule mnyama akakamatwa, na yule nabii wa uongo pamoja naye, yeye aliyezifanya hizo ishara mbele yake, ambazo kwa hizo aliwadanganya watu wale walioipokea ile chapa ya huyo mnyama, nao walioisujudia sanamu yake; hao wawili wakatupwa wangali hai katika lile ziwa la moto liwakalo kwa kiberiti;”

Ufunuo 18:4 “Kisha nikasikia sauti nyingine kutoka mbinguni, ikisema, Tokeni kwake, enyi watu wangu, msishiriki dhambi zake, wala msipokee mapigo yake. Kwa maana dhambi zake zimefika hata mbinguni, na Mungu amemkumbuka maovu yake…Kwa sababu hiyo mapigo yake yatakuja katika siku moja, mauti, na huzuni, na njaa, naye atateketezwa kabisa kwa moto. Kwa maana Bwana Mungu aliyemuhukumu ni mwenye nguvu
 
Back
Top Bottom