2012 as Pasword

kalooo

JF-Expert Member
Jun 14, 2016
270
154
The wonderful Password,Give me a Pasword,a word of middle East.

A wonderful Number,A number of Pale Ni katikati ya Yule Muungwana aliyebalance idadi yao juu na Chini yaani alipiga tatu bila mbele yao na nyuma yao akijijenga Chamani,

Sasa Kingemfiaje na Kuruhusu Kichwa Chambuzi Kutumia Nguvu ya Umma, Basi Vipo vichwa Vingi,Vilivyo vya Chini Vinasumbua kweli, Hata Kabla ya Kuamka ila vile Vya juu ndo Angalau Katika Kupiga picha sehemu yeyote Ni Wewe tu kichwa chako ewe kizazi Cha 90.

Basi mbele yake huyu mtu hovyo(Vita vyake) wa waebrania Kulikuwepo Kile Kichwa kilichoinuka Kabla ya binti Yule Aliyekujaga Kifuani mwa Yule Sura baya, aogee mtego gani(Vita vyake),Na angekuwa na Mwili tungekoma(Vita vyake), usiniangalie nisije zaa mtoto Kama wewe(Vita vyake).

Huyo Kama anukaye harufu ya madonda ya usaha mbele ya Watu(Vita vyake) hasa kuonekana kwake kusini ya Km37 kwa Padri Lambern msikauti Mda ule tangu 2018,

Huyo 2012 aliyekaa kibobmarley tumboni kutoka kwa Binti macho malegevu,Lakini yanaona(aonaye ya sirini) msemo wake ,asili yao wanavutia,Wana wa mtume wa ashuru ya kale, wote hao mfuatano wao tangu 1961,huyo Muashuru Kabla ya Isa,

na ndani ya 14km toka Siku ya 2300 ya donga la madonga Hadi 2035km Siyo wa kutania Binti huyu wa Mkuu wa kusini/malkia wa kusini,Akaja kutoka Baharini kwa weusi akazidi hesabu ya kumi tukampa 20Km kabisa,

Siasa ulimi kilimponza Kichwa(ulimi wake akawa Rais kamili yaani wa sita),Kilikaa kidogo ila Uongo ulikuwa Mwingi, Matumaini Mengi , Kujisahihisha Big No,Dubu Amka Amka Basi,ikabidi tutumie tu picha ya Kifua maana Miradi Ilikuwa Mingi hela Hakuna.

Basi asipokuwepo Mkuu anayefuata ndo mkuu,Reform of Katiba waje Na Nini? si Maboresho mazuri tu Na wakakumbuke miaka 14 haipingiki ya Mkuu Afananaye na Jibril na sababu anampenda Basi Ni Kama Yeye,Huyo malkia Wa kusini,

Ukweli, ee mtoto Wa ubatizo Wa Musa wa 61December Wewe Mhuru,Nasema Hili nalo Mkalifanyie Kazi.


Yeye ajaye Ni mkorinto wa pili mtaa wa kumi Na mbili au Bwana zekaria wa 13 Na nyota 7 mpaka kenda, si yeye Kama yeye huyo mweupe ila Huyo aliyesimama juu Yake kwa upanga ulioinuka 21-2-21,

Si nguvu Yake Katika kuinuka?, nini 17-03-21 nyinyi Makinda Eti Anna ni Siri ya Mungu,Ona tusingempinga ingekuwaje Leo na Kwa Weusi wenzetu ?maana Sisi hatuonekani.

Na Akasema kwa Nini damu hii imwagige ovyo Basi Katika mkao wa mijadala hakuonekana mwingine mbele za baba yake aliyemwamini na kumtegemea Kama Yeye,

Basi Funguka mbingu, Roma mwe mbona mafarakano Kanisa liko wapi Tena jamani, enzi mpya na huo mti mnene na mrefu kuliko yote na ukakua kufika mbinguni Na Huyooo aliyemwamini akaja kutoka Mawinguni uko Wapi uso wake ila kifuani akakaa akamkalisha kwenye kiti meza na fimbo akakabidhiwa Watu wa sehemu zote za hiyo Nuru NI furaha tu na shangwe,kaki yake na fimbo nogesha Umati.

Wewe toto wewe !! umekuja na miaka yako 34 umeanza Kazi uliyoiacha @33 huko nyuma,Basi Kama ilivyo injili nayo itadumu Kama ilivyo torati na torati hiyo ya Musa kutakuwepo kiini chake, wapi sasa tutakapoanzia eti 1991 au lini maana tumeona BC na AD upo Basi Haina budi tuanze upya kwa kila Jambo,

Mpo nyinyi Kizazi Kipya Cha Bongo forever yaani Dar stand up Milele tutakapouona Moshi wa Majani siku tatu unusu baada ya kuufukia mzoga wa mbwa Yule, Basi Masista du Wajimix Na Marastafaran,Ey My African people Nawawakilisha Ninyi Msinichoke,Duh watoto wa 90 mnasinxia,ninyi Ni tofauti na Sisi kabisa dah yaani Wako tofauti hivi,Ona wanajibu et tujikatae hahah hahaha basi BC and After ndo kujikataa kwenyewe.


Wanamahesabu,Watafiti na Watathimini tuanze upya yaani New era( 2025 years Now again of Blacks ), Walioko baharini wamelala iwe nguvu yetu Basi Kama tusemavyo wameshawaamusha Walipolala.

Tuko Kwa Mungu Leo tukiongozwa na Walioko nchi ya mlima wa uzuri na bendera na Bahari huko kwa weusi.Leo Jimbo la Tanzan Iclam ahhamadya, wapi Black Uhuru?, wapi black mamba?tuyaunge hayo majimbo yao hayo 50+ Ni vizuri nchi kubwa hi Sasa wenzenu walianza na nchi ngapi 12 za Maziwa Makuu au? thanks tusome tu 2wakorinto12 tusione mwisho wa vita mwisho wa njaa na Kuleta Amani ya Milele duniani?.


Wapi East Africa wanane ama Saba mtunyime UNA Basi Kongo na Sudani kielelezo Cha Upatanisho wa kindugu Yohana17;21 haikuwa February Mwanzoni siyo wiki Moja Lile Basi + majuma (7 maombi+62 ya maji yatiririkayo ya msekondo ) ukiipata hesabu Muulize Bory Samory, alpha blond alikuja kujaza uwanda wa Reggae kwa Marley Basi aminini Katika Second,Na leo Ni Second.

Imekuwemo second Chimurenga pale Kwa mkapa Hatoki Mtu ,Yeye muumini wa 1964 Kama Mimi Daniel 9 na 11 kwa kipawa Cha Akili, yaani Kamba iliyoshingoni imwezeshayo Mnyama Kuundea Mwelekeo wa Mkuu wake, Second Came na tusubili ole wa tatu wa kwanza Si galilaya na ipo Second Chance if you failed Katika kila Jambo.


Kula Uonacho nacho Nilipokila kilinitia uchungu tumboni na mdomoni mwangu kikawa kitamu Kama asali Basi njooni mkitwae hiki kitabu, mdomoni kitakuwa kitamu Kama asali ila tumboni kitakuwa kichungu, wew Ni mchoyo au unafadhaa ya uso Basi jingine la uchungu kupita yote Ni mwanamke ambaye ni Mitego na Mikono yake Ni Kama vifungo Huyo naye akawa sehemu ya utimilifu ili haki ya milele ije na ubawa wake Wa pili.

Nami, nikamwendea Huyo nabii mke akapata mtoto,Bwana akanambia Muite jina lake Maha nami nitatafut Watu waaminifu juu yke, maana Kwa kalamu ya mwanadamu Andika kwake, ndo Huyo atakayetawala sehemu zote zilizobakia na kuyakamilisha yaliyoyako na Rejea ya baada ya ninyi mnasema ya Kusamehe na leo Nasema ya ubavu wa pili Wa mbwa huyu,Ipo rejea Yake Ni hiyo 571 au ujumlishe na 40 kama haijashuka Aya, upo wakati wa kila Jambo na kila kusudi Chini ya Mbingu Wala si Mawinguni mlikotazama Bado na mnaujua Msemo mawingu Ni dalili ya Mvua,Na mvua ndo hushuka Chini Na kristo alishuka basi yote Ni majira Mapya yaani kumtangaza Mwaka wa bwana Uliokubaliwa?Basi aendeleaye kutazama Mawingu hatavuna kamwe leo na majira yote.


Sasa baada ya miaka 30/40+ ya Mwisho 50 ya Nuhu kulingania ya Huyo mlima wa Saba,Mbingu ya Saba,Makanisa Saba,wafalme Saba,roho Saba,ndiye ya Saba(ufufuo na Uzima),Huyo Tarumbeta la Saba, Huyo Mnyika na mtanga wa Magogo meusi juu ya Mbomba Meusi Akawepo pwani Huyo Makoti meusi, Aliyesimama badala ya Fungu la sita Katika nchi iliyopangwa Riziki kuwa Mafungu Saba tangu mwanzo,Dhabihu yake si damu yake? au mwili ulivyoburutwa ovyo msitoke kumwendea, Ni Yeye wa pili aliyesimama badala ya Yule atakayeendewa na Watu wote wa duniani Kama Mungu aagizvyo hata 1000 Mara 2 ya urefu wa January Mpaka December, atakayemwaga na kutupwa nje ya malango,Kambi kwa Ajili ya Ukombozi Wa mweusi (huyo Cheusi Mangala), utukufu wa Mkuu wa Wakuu,Huyo Nkoyi.

Basi Najua wamvumilia Huyo mwanamke ajiitaye nabii(kanyampilika)kwa kjifanya hodari wa Kupika na kuwafanya watumishi Wangu kula vyakula vyake vya aibu umwambie auache uzinzi wake na hao waziinio pamoja naye pasipo hivo watanijua Mimi ndiye ninayejua kuchunguza viuno na mioyo,

Moyo wa waliowangu huona Yaliyo Yangu Na kiuno huona yaliyo Ya dunia, Ole wake akataaye onyo la watumishi,Waja wangu kwa Kuwadharau eti Sababu wana fadhaa ya Uso kwa Onyo Hilo wakajifunze Tena ili wasimkejeli mtumwa wangu,Ewaa Watoto wao wanajitupa kitandani tu hawapati kuamka Katika Majira hayo na wakati huu wa Mwisho, Mwanawangu Ni Mkuu Katika dhamira na haitegemei ya Dunia.

Eti wanasema Chukua Chako Mapema,Nililia Kuchi Kuchi kwenye Daniel 2 ama Daniel11 je ulinielewa Kama Yeye Katika Hali yangu hiyo ya Mwisho wa Mateso katika Handaki la Daniel9 ama Surat muuminuna?

Hii Nchi ya Wanyonge,Roho saba,Tarumbeta la Saba Ndo Baragumu La Mwisho,Ole waKo,Ole wako Kisha Ole wako,Ole Wako Wewe uliyefanya kuwa dhiki kuu ya Miaka kadhaa Mwishoni mwa mwaka Wa mvua huo Ukame 2022,

Ewe Mtawala wa Kifua na Mikono,Namba yako 14 uliyekiendeleza kichwa2300 uliaye na Nafuu ya Tumbo liliokufuatia Katika Kuwepo kwako maana Wapi aliyekuleta?

Huyo Kama Asingekuwepo sijui roho ya ubinadamu ungeiona Wapi,

ee Mimi Nina jinsia ya kike ila Nina Akili timamu. Na Akili Ni kipawa kutoka Kwa Mungu Basi nifungulieni Password hizo.


Nami sinabudi kujisifu ijapokuwa haipendezi,(2wakorinto12) Katika nchi ya ewe binti wa Isaya wa leo muashuru malangoni kwa Zamani( Isaya1;7-18) ondoka Sasa na wote wenu Kazi iendelee uliutaka wa kura vyovyote hata Mara 2 na Leo Ni miaka 14 Sasa upo mzigoni wew ona 31-12-22 ,et miaka Saba tumefungwa midomo hawakuijua hesabu ya Mtiririko ule.

Kilio, Maombolezo na Ole wa chama Cha Kaskazini, katika dhiki kuu hiyo miaka 7 ya kufungwa midomo na Kukataa Biashara ya Watu Kisa Pesa na Uhai na Basi kutoka kusini tulikiona Chama Kama tuuonavyo Mti uangukapo baada ya Mafungu Sita,Riziki Mafungu Saba,

Tayari chini pwaa baada ya Siku 3335 katika hesabu ya baada ya Miaka miwili ya Ziada toka Uandishi wa Kichwa Cha habari Hiki chake yeye,huyo aliyetuamlia Ugomvi kurudi kwake eti nitaanza na Mashangazi zake,wa Huyo mwenye nguvu Huko nangwanda sijaona kwa kina Kichuya na Chilwa, Malikia wa kusini au wa Mwisho tangu 1977?,

Huyo binti Sasa wa Mfalme wa mpito Huyo wa kusini/malkia wa kusini ) ambaye kwa mwaliko wake Twendeni tukatumie Namba moja ya mtanzania(Atakayesimama Kama moja juu amepinda Kama Saba),aliyaona Yaliyokuwa kwa ezekieli 2hata 3 baada ya hayo majuma 62 ili uwepo upatanisho,

Nao waondoe chuki Moyoni mwao wawe viti vinavyoelekeana Kama ilivyo Chini ya nembo Kwa salamu Ya Amani I we juu yenu, ikawa Nchi iko salama na mfalme mdogo wa Kusini akajaga kusema Mungu katuamulia ugomvi bahari imetulia.

Kione Chama Cha Kusini na Ajae kuwa Mkuu wake Tutamwambia Akalale Nakapanya alafu aamkie Namtumbo Siyo aamkie mahali patakatifu pa Kambarage,

Zione Siku tatu badae Kabla Moshi haujatanda juu hakuanguka,Na ukitanda Moshi juu ndo yeye ndiye Mara 1,mara2 mpaka Mara Saba ya Mimi ndiye na huo ndo ufufuo na Uzima wa pili.

Ole wako ewe nchi iliyokuwa ya kijani ya ukomo wa wafalme 6 na namba yako 666 yaani Miaka 14 ipo kwako ewe sita wa pili Katika huu Ole wa pili na Bado Wa Tatu na nchi isemayo Riziki Mafungu Saba pasipo Fungu la Saba haijawa riziki hata iwepo Ari mpya,Nguvu mpya na Kasi mpya.

Tena Ila nchi ya Ukiwa na kufaidi wageni katika matukio ya miaka sabini Etihad hatutaki Muungano,unajitambulisha Mtanzania, 1964 likawa Taifa hili? ona et 1821+70+70 Mimi sitaki nataka kashinda huijui hii hesabu 64+70 hupati hesabu ya Mwaka Mmoja Baada ya Kuondoka Kwake Katika huo wakati Na hutafurahi kumbe, siku 2300 tumeziona je zingeongezwa na hizo 1290+3335 ingekuwaje wew mwana Wa Polepole kuzungumza kuhusu 2042 na ujue Vizazi huja Vizazi huondoka Nayo dunia Hudumu Daima na si mkweli Huyo kwa mwaka wako tajwa ndani ya 34 ya msitari mwekundu wa Kijani Wala na 35 ya mwekundu si kaja tena au ulitaka Njano?.


Basi Kama Isemavyo Daniel 13;7 Kama Ushahidi wake Mzee wa wazee, Kwa Jakaya Ni mzee Kikwete kwa Samia Ni Mzee Hassan kwa Ushindi wa Waebrania Basi ndo Huyo melkizedeki atatujuza mengine yote Ila majira Ni hayo,Time will tell,oh time alone Nani Huyo aliimba Nesta Rasta yaani Tata Jamaica eyaa Afriki Yee blond( hashbazi wa leo) anasikika vema njoo uje kujaza kingo zote.Na ipo,kurani90,kuran100,kuran35;47,kuran2;61 kuran yote.

Ni wewe tu Ila Mimi namjua alikuwepo mjukuu wa Nyerere katika kubeba fimbo na Leo Yuko uingeleza,atakuja kutusaidia maaana nchi Ni ya wote hata huko Pembe tatu yenye jicho iliyoko kwenye dola ndo hapo tutaelewana?

Angalizo.
Nilipokosea Unisamehe Ni Uandishi tu ila Viongozi wa Serikali na vyama vyote Tena na Dini Zote Ni watu Muhimu kwa Nchi yetu na dunia yetu Kama Tulivyo sisi wa kawaida,Kwa ukawaida wangu Niliyeandika Kama nimemkosea yeyote na Ni hivo Basi naomba Anisamehe.

Hitimisho,,,,,,,Siasa yetu na Desturi ndo imetuletea Uhuru(2035+),Kwa hiyo Kama asemavyo Kambarage Wa Butyama na wageni watakuja, kwa hiyo Bongo si Bahati mbaya.
 
20230330_104424.jpg
 
Umeoa??kama umeoa achana na huyo waifu wako,,tafuta mwingine alafu nipasie namba za huyo waifu wako uliyemwacha,,,utakuja nishukuru!!
 
Uandishi wa hivi haukufanyi uonekane mwenye 'akili' bali ni kama umezidisha kipimo cha bange! Kila mtu anajifanya nabii, ooh walipanga iwe hivi iwe vile? Tanzania hi hii?

Haya mambo ya voices tumwachie Pascal, anajua namna ya kuwasilisha.
 
Uandishi wa hivi haukufanyi uonekane mwenye 'akili' bali ni kama umezidisha kipimo cha bange! Kila mtu anajifanya nabii, ooh walipanga iwe hivi iwe vile? Tanzania hi hii?

Haya mambo ya voices tumwachie Pascal, anajua namna ya kuwasilisha.
Paulo,Mathayo,Daniel Ni waandishi,Unahisi na Wao vipi
 
Uandishi wa hivi haukufanyi uonekane mwenye 'akili' bali ni kama umezidisha kipimo cha bange! Kila mtu anajifanya nabii, ooh walipanga iwe hivi iwe vile? Tanzania hi hii?

Haya mambo ya voices tumwachie Pascal, anajua namna ya kuwasilisha.
Limetajwa neno Akili,Na Bangi any way time will tell kaimba Robert Nesta Marley.
 
Back
Top Bottom