Niko Jangwani Nashukuru Maji Msimbazi

Niko Jangwani Nashukuru Maji Msimbazi

kalooo 25594

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2016
Posts
303
Reaction score
195
Kula uonacho,Chukueni BC yenu NIELEWENI,Nipeni AD Maua yangu NIELEWENI, kweli bila kufunika kikombe mwanaharamu haipiti,zililongwa mbali na zikatendwa Mbali,Sikia kazi yake ili kazi iendelee.

Na Ni Bora zaidi Kama kazi inaendelea,Basi yamefumbwa Mengi,Mengine Sababu Ni Nchi na dunia inahitaji Mwelekeo Fulani ufike,Kwa Hiyo Even the Master ,Can't talk no lie.

Mambo yako hivo kumbe ili iwepo Hatima ya yote na mwanzo wa yote.Nipeni na Mimi Maua Yangu maana Maji ya mto msimbazi ndo yananijaza mjangwani,Tunachokitaka Ni Amani tu katika Taifa letu tukawalete Kwa Mkapa Kwa Second Chimurenga.

Hadithi hii,Hadithi ile hutupeleka kwenye kuuthibitisha ukweli wa Kesho na leo Kama Siyo wa Jana,Uoneni Ukweli wa hadithi hii,

Ni ukweli ndani ya Hadithi ya vizazi na vizazi, ule mwanzo wa Wote. Naam Japo Papo Mahala pa ukweli panasema Mambo yote Ni ubatili,ubatili mtupu,Vizazi huondoka,Vizazi huja nayo Dunia Hudumu Daima,Na Wala Hakuna Kumbukumbu la kudumu la Wafu Katika walio Hai.

Basi paliinuka Mzee mmoja aliyekuwa hapendi kusikia Maonyo Katika Nchi na dunia,Mzee Yule aliweza Kujihakikishia Mambo Mengi ikiwemo Maisha yake kuwa Ni ya kudumu Kama atakavyo yeye na kwa Uongo wake akawa anasema namimi nitakufa nikifa Mungu anisaidie niwe Kiongozi wa Malaika maana hajawahi Kuona Wafalme wakifa madarakani,Na ulimwengu unadanganya kuwa kila ufalme hutoka kwa Mungu, asiweze kujua kwamba Mungu hawi Radhi na wapumbavu bali Walio na Hekima.

Basi mzee Yule aliweza kuinuka na gadhabu Nyingi za Kujenga Ngome ili waingie Watu awatakao tu,Na akaonywa na Wengi lakini Hakusikia na akazidi kusema Utawala huu na Serikali hii iandikwe kwa Jina Langu ili kila mtu aingiaye alitukuze jina langu.

Jina la kuwafunga wote katika Nchi kwa kutaka faida aijuaye yeye maana Nani Anaweza kusema tofauti naye,wangapi wamelala,Mliochini yangu Mnajua iwapasavyo kuishi nami,Mimi Niko vitani alafu adui mmwangalie hiiiiiii sivhezewi,Asijue tafthida za vitani na Serikali. Mzee akawika tamaa ya kuendelea kulila papai hata Lile la Npeni Maua yangu ,Asijue miti yote kula isipokuwa huo wa Uzima,mpaka damu zikamkolea na roho za wasio na hatia hapo Akasema Basi niwe Mimi tu mpaka 2000 na usete 5 hivi,Msaidizi wake alikuwa mlokole muumini , Akasema mwisho wa dunia 20fourty2.yaani aitumie nyakati mbili pekee.

Ukafika Uchaguzi twenty20 asitake Kuona Rangi nyingine,Na Rangi yake isiwe kundi jingine awe yeye tu.Basi Hilo likafanikiwa mkononi mwake,Wapo walioumizwa kwa kila Namna na mpaka Nchi ikakoswa Amani.

Wote walikuwa kimia Hakuna wa Kumshauri tena maana alijitukuza bure.Wote wakaufyata Mkia,Alishinda kwa Uongo na Badae ulikuja kuonekana dhahiri Uongo.Basi akaendelea na Kiini Hapa kazi tu macho.

Baada ya Mwaka Mmoja kuisha kumbe kulikuwa na kijana mmoja wa nipeni Maua yangu maskini asiyejua chochote kuhusu uzuri wa Kidunia,Kijana alikuwa Maskini Sana,Baba yake na Mama yake Hakuna walichompatia hata Maua,Alipotaka kutoka kwenda Kuijua Kazi Mahala pa mto alipoitwa ili asimame upande wa kingo hii na nyingine kwa kuachanisha Miguu Yake.

Wao walichokifanya Kila mmoja Kwa wakati wake Waliweza Kumuaga Kwa Upendo wa juu Mwishoni mwa Imani Yao,Yaani Mungu amtangulie na lililobaya alitendalo walaumiwe wao mbele ya Mungu.Basi kwa wakati wa kila mmoja wakamuombea hivo.

Maisha Ni Imani,Na imani Ni tunu,Na tunu safi hushinda milenium na milenium nyingine ulimwenguni kote.

Kijana Yule Mahala pale pamto aliweza kuinua Mikono yake kila ilipobidi ili aweze kumjua Huyu Anayesemwa Huwatangulia Watu maskini,Basi Nia Ni njia, Akaona na akafurahi kwa kuwa alikuwa kipofu kwa namna ya kwanza.

Mtu Ni chake,mtu Ni wito na Mtu ni Imani, Mwelekeo wake ukawa,Ona ifikapo wakati wa nyakati mbili na nusu la kuvunda halina ubani,Katika nyakati katili atakuwa Kifua Kabla ya Tumbo la Mipaka ya mtoto pendwa wa Haile Selase the king of Ethopia aliyekuwa Mjamaika kwelikweli.

Leo naona Tanzania na Afrika wanaenda Bado na Nywele zake katika kuweka Mapaa ya nyumba zao,Nyasi Nyasi kweli huyu Mtoto,Na Majani Majani Kweli hii Afrika aililiaye iungane.

Basi Kijana maskini Yule akitumikia No Woman No cry,Ayubu 7;1-4 ndiye aliyeweza kusema hata hapo alipobidiwa aseme kuwa Kwa wakati wa Nyakati 2 na nusu Mambo yote ya Kukataliwa kwake na Watu kwa Jinsi Ile ya Isaya hamsini na 3 yataanza kueleweka kwa Watu,Ndipo Akasema Ni lazima tufanye selection Mda huo na waliofungiwa nje waone wako ndani.

Basi nyakati za utandawazi na Maarifa kuongezeka Katika Hali yote ya Nchi na dunia ikaonekna mzee Yule haonekani kwa Watu na ule Mwanzo wake alikuwa mtu wa yeye ainjoyi na aionjiwe yeye.

Maswali yakawa Mengi katika Nchi na Dunia,Wapo waliosema Mpendwa Yuko Wapi twambieni please!Wapo waliodanganya na Wapo waliosema aliko kwa kubashiri Rafiki mwema wa vipofu.

Basi Kijana mdhaifu wa Wadhaifu naye akijua kuwa Alisihiwa asiondoke,Abaki Pale, Akiwa Tanga korogwe Kwa Lukongwe Masaini na Dama mkuu wa wenzie wa Maji ya Mguu wa Nchi pamoja na hayo akasema, nimeambiwa Nisiondoke nibaki na kaki Yangu.

Basi 15/3/ weka mbili moja Akasema morogoro sor morokutwa watatutangazia habari hii ila si nzuri Kama ilivyo Hali ya Mtu atokaye chooni aumiavyo akiona najisi machoni mwake.

Basi ikawa hivo Mda mwanzo wa wiki ile kati kwa Mtumishi wa umma Kama yeye na Siku ijumaa Ndo wiki end,

Basi kula uonacho,uroho huo,itakupasa utoe unabii kwa Watu wa Lugha nyingi haijalishi hata unafadhaa nyingi ya Uso.

Sema; baada ya Miaka 10 lakini hesabu ya siku,Makanisa,milima,Madhaifu,Tarumbeta,Fungu na wanyama wa angani na kila kionekanavyo kitatimia baada ya nyakati mbili na nusu katika Wakati ule.

Basi kichwa kikaanguka,Tukafumbiwa kwa Kifua tuimalize miradi kwa Kazi iendelee,Heri aligonjeaye Tumbo lile lililobadilika likawa Mti mpaka mwisho mwingine.

Ama kweli siku elfu mbili na mia3 Kama Basa weka ta na Tec wangeona Kuna haja ya Kuwaambia ukweli Watu Kama Bob Marley wa Natural mystic,Na Time will tell,oh time alone Kazi ilikuwa Haiendelei kabisa.

Na kikuu kazi iendelee na Maua yangu nipeni, maana miaka 14 tusingeiona tungetaka tuyatoe Macho yetu Mawinguni tu mpaka Mda huo 14 Yake madam P maybe 18 yake ya Machi zi sole kazi isingeendelea,kila mtu ingekuwa kuyaangalia Mawingu mpaka yamtoe Huyo waliemsubili wakitaka wapewe miili mipya wakati hii ya matamanio tu wanalingishana.

Na hili ndo Fumbo Ni heri uwe Mjinga kazi iendelee maana wanao watakula na Kunywa na kumshukru Mungu,Nilipoona hayo Basi Kijana Yule Alipewa Amri ya Kuondoka Mahala pale na Hakuna aliyemkumbuka na hata zile wiki 7 za huo mwakamsiba Na Mungu Siyo sprian msiba asiweze kumlipa Membe na aliondoks kwenda Huko palipokuwa na hayo mengine Majuma 62 ya pamoja na fungato la Nchi wa Chama kilicho chelewesha siku 21 yeye katika Kuona Fumbo la dhiki kuu,Basi Vita Ni vyake aliye vitani ili ampendeze yeye aliyempeleka,

Juma moja lililobaki kwenye hayo Sabini ili mdomoni mwake awepo yeye mfasiri wa Nebu Huko babeli kwa maana yapo Mafungu Saba kuwa Ridhiki kwenye Nchi liziwa na Mola Kama mlima wa uzuri na nchi Bahari ya kule atokaye Huyo binti( Kiume mkubwa) wa Aliyejaliwa Kuona Mji mdogo wa utimilifu wa Isaya ya hamsini na tatu katika Uayubu ule wa fungu la kwanza mistari 1-4,Naye alikujapo akilia kwa sauti ya kuwa Kwanini neno lake lipitwe na wakati na ingali nyuma ilikuwepo wakati wake,Basi watakuwa Pamoja nami kuwa Baba yangu Ambaye Ni Mungu kwao Anaishi katika Hilo. Nao sudani ya Kusini nawewe Kongo hamkuona mwaliko(welcome) wa kujidhatiti na upatanisho Chini ya mlio wa kutoka vitani: wote wawe na Umoja,Yohana17 ishirini na 1.

Basi oneni kidogo kwanza: ili kazi iendelee.
 
Nguli [emoji257]
 
Back
Top Bottom