Search results

  1. Ntate Mogolo

    Azam FC Bus at Kazungula Border post

  2. Ntate Mogolo

    Serikali fungeni shule na vyuo kuokoa maisha

    Tunazidi kupoteza nguvu kazi ya taifa! Hii siyo habari njema hata kidogo! Wizara ya afya, funga shule na vyuo. Watoto na vijana wanapata sana covid lakini, haina madhara makubwa kwao! Covid haina madhara makubwa kwa vijana na watoto, wanaugua na kupona tena bila dawa za maana. Tatizo ni kuwa...
  3. Ntate Mogolo

    Ushauri: Kwako Waziri Mpya wa Viwanda na Biashara

    Hongera kwa kupata dhamana ya kuiongoza wizara muhimu kwa taifa letu pendwa! Lakini..! Hii nukuu hapa chini, Unaikumbuka! "Unakuwa na wizara kama hii ya nini sasa?......Tani 223,000 zipo kwenye maghala......., wizara ya viwanda na biashara wamebangua tani 2,000 tu! Hizi nyingine......, zaidi...
  4. Ntate Mogolo

    Can you name anything that was invented in Tanzania?

    This goes to all Respected Jamii Forums Members: "ARE YOU ABLE TO NAME SOMETHING THAT WAS INVENTED AND USED ONLY IN TANZANIA?"
  5. Ntate Mogolo

    Uongozi wa Benki ya Kilimo (TADB) Unahujumu Juhudi za Kukuza Kilimo

    Uongozi wa Benki ya Maendeleo ya Kilimo (TADB) unamdharau Mkuu wa nchi! Mwezi Juni, 2018 wakati wa uzinduzi wa Programu ya Kuendeleza Sekta ya Kilimo awamu ya pili (SADP II), jijini Dar es Salaam, Rais John Magufuli alikemea vitendo vya ufisadi vinavyofanywa na maafisa wake katika miradi ya...
  6. Ntate Mogolo

    News Alert: Donald Trump invites Uhuru to the US

    President Uhuru Kenyatta of Kenya will be visiting the United States of America in August after Trump’s invitation.
  7. Ntate Mogolo

    Maandamano Kajiado

    Wakaazi walalamikia kuhangaishwa. Walalamikia maafisa wa usalama Namanga, Tanzania. Wadai wenzao wanakamatwa kiholela. Chanzo. Citizentv.
  8. Ntate Mogolo

    Namanga

    Transport between Kenya and Tanzania paralysed as motorists block Namanga-Nairobi road over alleged harassment by Tanzanian police. Source. Citizentv
  9. Ntate Mogolo

    2015 Tulipambana Sana! Tukumbukane!

    “Kulikuwa na mtu aliyekuwa na watoto wawili wa kiume. Yule mdogo akamwambia baba yake, ‘Baba, nipe urithi wangu.’ Basi huyo baba akagawanya mali yake kati yao. “Baada ya muda mfupi yule mdogo akakusanya vitu vyote alivyokuwa navyo akaenda nchi ya mbali akaitapanya mali yake kwa maisha ya anasa...
  10. Ntate Mogolo

    Kama uko Mererani naomba kuuliza!

    Wadau wa Mererani na maeneo jirani, naomba mnisaidie kujua kama mgodi wa TanzaniteOne ya Hussein Gonga na wenzake umeshaanza kazi ya kutoa mawe.
  11. Ntate Mogolo

    Wazee wa mistari: Vijana waleo wanaweza kupangilia tungo kama zama zetu.

    Maisha yalikuwa zamani! Sasa ni usanii tu! Enzi zetu "Wahenga na Wahenguliwa" kumpata mtoto wa kike ilikuwa si kazi rahisi! Bila kuwa na utaalam wa kupangilia mistari yako kisawasawa, usingeweza kupewa papuchi! Watoto walikuwa wagumu kweli! Kwanza, kabla ya kwenda kumtongoza, ulipaswa kupewa...
  12. Ntate Mogolo

    Vipodozi Haramu: Basi la Tanzania lakamatwa Kitwe

    Jana mchana niliona basi la Taqwa likiwa limekamatwa na maafisa wa ZRA Zambia Revenue Authorty hapa Kitwe. Walishusha viroba vingi sana toka ndani ya basi na kwenye buti. Baadhi ya wasafiri, akinadada kama wanne ama watano walionekana kushikiliwa kwa mahojiano na maafisa wa ZRA. Huenda...
  13. Ntate Mogolo

    Poleni Wahanga wa Bomoa bomoa.

    Polo kwa wahanga wa bomoa bomoa! Kweli ni majonzi kupoteza makazi yako, na hasa ukiwa na umri mkubwa, ni shida kweli kweli. Ukiangalia mtazamo wa jamii iliyokumbwa na kadhia hii ya bomoa bomoa, lawama zinaiangukia serikali kwa kuongezea vipimo vya upana wa hifadhi ya barabara, lakini pia kwa...
  14. Ntate Mogolo

    Serikali anzisha Wakala wa Usimamizi Mipango Miji. Mtaani kwetu, hatulali!

    Serikali, kupitia jamvi la JF nakuomba uanzishe "wakala wa upangaji na usimamizi mipango miji Tanzania". Kama ilivyo kwa Tanroads au Temesa. Hii inatokana na ukweli kwamba, serikali za mitaa huenda hawana uwezo na utashi kusimamia mipango miji kwa uadilifu na weledi. Hebu ona yanayotokea mtaani...
  15. Ntate Mogolo

    Matokeo ya kutokufanyiwa Tohara: Mtoto wa kike miaka 12 nayeye anataka azalishwe!

    Mkataa kwao ni mtumwa! Wanajamvi, jamii zetu za kale zilikuwa na mila na desturi nzuri ambazo zilitumika katika kulinda na kusimamia maadili ya watu wake. Lakini baada ya wakoloni kututawala, walitufanya tuzichukie mila na desturi za mababu zetu kwa kupandikiza elimu ya kikoloni ambayo inazidi...
  16. Ntate Mogolo

    Kwako Mheshimiwa Rais.

    Mheshimiwa Rais, napenda kukupongeza kwa ziara yako uliyoifanya mkoani Pwani. Ziara hii, imezidi kudhirisha uchapakazi wako, uzalendo wako na ujasiri wako katika kuliendesha Taifa hili. Pongezi sana Mkuu! Katika ziara ya Pwani, mheshimiwa Rais, umezindua na kufungua miradi mingi ya maendeleo...
  17. Ntate Mogolo

    Wizara ya Elimu: Rudesheni utaratibu wa kuwapima ujauzito watoto wa kike mashuleni

    Mheshiwa Magufuli nimekuelewa! "Shule za msingi na sekondari, si shule za wazazi" Hii itasaidia kuwafanya watoto wetu wa kike kutafakari kabla ya kujiingiza na kujihusisha na mahusiano yatakayopelekea kupata ujauzito. Mheshimiwa Rais, sisi ambao tumekuwa na umri mkubwa kidogo kuelekea utu...
  18. Ntate Mogolo

    MFANO HALISI: Road Licence inavyoikosesha serikali mapato

    Kama mimi ningelikuwa ndo mkuu wa hii kaya Tanzania ningelifuta "Road Licence" mara moja! Sababu, inaikosesha serikali mapato halali na makubwa. Leo nimetembelea machinjio ya magari mabovu nikiwa na rafiki yangu akitafuta vipuri kwa ajili ya daladala lake. Nimekuta daladala nyingi zimechinjwa...
  19. Ntate Mogolo

    ACACIA Mining, kupimana nguvu na IKULU ni Uhaini!

    Nasisitiza! Acacia Mining Plc, kupimana nguvu na Mamlaka ya IKULU huo ni Uhaini! 1- Uongozi wa Acacia Mining Plc kupinga ripoti ya kamati iliyoteuliwa na RAIS. Huo ni uhaini. 2- Uongozi wà Acacia Mining Plc kumzuia mkuu wa mkoa wa Shinyanga, Mheshimiwa Zainab Tellaack kuingia mgodini kukagua...
  20. Ntate Mogolo

    Anahitajika: Clearing & Forwarding Agent

    Anahitajika, clearing and forwarding agent mwenye uzoefu na kutambuliwa na aliyesajiliwa na mamlaka ya mapato Tuwasiliane inbox
Back
Top Bottom